What do you think the world will be like in 100 years?

Simple, it will be 100 years back from now. Already Waamerika wameanza kuhoji 'Capitalism'! Believe me.
 
Kwa maono yangu ni kwamba nchi nyingi za kimasikini zitacharuka kudai haki na pengine kubadilisha viongozi ili wakombolewe na hatimae kuja juu kiuchumi na zile nchi za kitajiri ambazo ndizo zinazokandamiza nchi masikini ndio zitaanguka.Na kwa miaka hiyo 100 nauhakika Technology itaongezeka zaidi kwa baadhi ya nchi na zile nchi zilizokuwapo Technology nadhani zitakuwa zinashindwa kutokana na uchumi wao kushuka zaidi.Lakini kabla ya kufika miaka hiyo hizi nchi tajiri kwa sasa ni lazima watazua balaa la vita kubwa sana ili wajiweke sawa kiuchumi kwasababu wapo hoi sana kiuchumi.
 
Ninaweza kuonekana mjinga kama mzee Nuhu, ila nasema kuna uwezekano mkubwa sana Yesu kuwa amesharudi! So plan what will happen in the next 100yrs, but be prepared for the grand surprise at Christ's second coming. Nawasilisha
 
The law of diminishing returns 'll be applied in few yrs to come!! We will be back in stone age!!
 
I think,
the average life expectancy will be over 100 in Europe but below 40 in Africa asia and America
nudity and sex will be common place on TV(both local and international Tv stations)
everything will probably be purchased on credit cards
free internet worldwide

am not sure if we'll be over populated or
we'll be dead from global warming

I think you have some thoughts on it.. Tell us.. Wanasayansi tell us about tectonic plates,bonde la ufa litakuaje.. Wanahistoria tell something about capitalism,globalization vitakuwepo au la? Watu wa dini hali itakuje kwa maoni yenu..
Karibu..

Leonard, hapo kwenye red, mbona imeshaanza kutokea...
hujasikia ile maonyesho ya live sex kule denmark? lengo la Exhibition hiyo ni kuanzisha debate on sexuality
fungua hii link BBC News - Danish exhibition shows couples having sex as art

in 100 years, the world would have burnt up!
 
Up to year 2100.. Tanzania will be the 6th most populated country in the world.



Population Division of the department of economics and social affairs. United Nations Secretariat (2013)
 

Attachments

  • Screenshot_20200815-220813.png
    Screenshot_20200815-220813.png
    93.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom