Lady N
JF-Expert Member
- Nov 1, 2009
- 1,914
- 131
1) Jana asubuhi nilipata taarifa ya msiba wa mmoja wa madereva wetu hapa ofisini, ndo tunajianadaa kumpeleka kwao miono leo kwenda kuzika saa 10 jioni
2) Jana kwenye majira ya saa 5:30 ucku nikapata taarifa nyingine, ni rafiki, boss wa zamani ambaye alihamua kuacha kazi za kuajiriwa akawa mjasiriamali, kafiwa na mamaye mzazi, msiba uko kwa mbezi
3) Leo alifajiri majira ya saa 10:30 nikapata taarifa nyingine mama mzazi wa msdhamini wangu wa ndoa (matron) kafariki na msiba uko tmk vetenary
what a bad day to me!!!???