What a bad day!

Lady N

JF-Expert Member
Nov 1, 2009
1,914
131
1) Jana asubuhi nilipata taarifa ya msiba wa mmoja wa madereva wetu hapa ofisini, ndo tunajianadaa kumpeleka kwao miono leo kwenda kuzika saa 10 jioni

2) Jana kwenye majira ya saa 5:30 ucku nikapata taarifa nyingine, ni rafiki, boss wa zamani ambaye alihamua kuacha kazi za kuajiriwa akawa mjasiriamali, kafiwa na mamaye mzazi, msiba uko kwa mbezi

3) Leo alifajiri majira ya saa 10:30 nikapata taarifa nyingine mama mzazi wa msdhamini wangu wa ndoa (matron) kafariki na msiba uko tmk vetenary

what a bad day to me!!!???
 
Pole sana LN!
Sasa utaanzia wapi?
Kiswahili kinasema kuwa kila msiba huja na mwenza!...kAZA moyo ndio ukubwa
 
Pole ssana ndgu,

Hiyo ni mitihani mikubwa sana. Mwombe Mungu akupe nguvu ya kupishana nayo...


Roho za Marehemu zipate rehema kwa Mungu, zipumzike kwa Amani, Amina!
 
Pole sana LN!
Sasa utaanzia wapi?
Kiswahili kinasema kuwa kila msiba huja na mwenza!...kAZA moyo ndio ukubwa
najikaza kweli yaani, tunapeleka kwanza wa miono leo, hao wengine mpaka vikao vikae
 
We utakuwa na nuksi, nenda kaoge na maji ya Ziwa Tanganyika mchana kweupeeeee

sikutegemea kama kuna Great thinker wa namna yako....
pole sana Lady N.....hiyo ni moja ya mambo katika maisha....Mungu akupe nguvu ya kuweza kukabiliana na hali nzima
 
sikutegemea kama kuna Great thinker wa namna yako....
pole sana Lady N.....hiyo ni moja ya mambo katika maisha....Mungu akupe nguvu ya kuweza kukabiliana na hali nzima
asante my dia Preta, ndio binadamu tulivyo, tunatofautiana
 
praying+for+you+call+upon.gif

MUNGU atafanya na yote yatakwenda sawa. Pole sana
 
pole mamii. nenda kazike,usisahau kuwapigia simu hao walioko mjini kuwapa pole na kuwacheki mipango inaendeleaje.mungu atakujaalia uweze kushiriki pote. mitihani ya dunia mingi sana!
 
Hii ndio mitihani ya Mungu dada yangu,kumbuka aliyopitia ayubu na bado alisimama kwenye neno.
 
nawashukuruni wote kwa kutia moyo, tumemaliza salama misiba yo na nimerudi kulisongengesha gurudumu la kujenga taifa
 
Back
Top Bottom