Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,116
- 100,986
Wake za watu how? Hamjiamini au?Saiz vijana wanajuhudi sana katika kuwajali wake za watu
Wake za watu how? Hamjiamini au?Saiz vijana wanajuhudi sana katika kuwajali wake za watu
Mh wewe ni mwanamke unatakiwa na misimamo sasa umeolewa na bado unapagawa na mwanaume anayesuka kama wewe au zile sendo zao za sori kubwa ndo mnapagawa zaidiWake za watu how? Hamjiamini au?
Duhh kijana, kabisa? Ukanifananishe na wendawazimu unaokutana nao kitambaa😃Mh wewe ni mwanamke unatakiwa na misimamo sasa umeolewa na bado unapagawa na mwanaume anayesuka kama wewe au zile sendo zao za sori kubwa ndo mnapagawa zaidi
Ndo unajitetea ivyo ila niamani wewe ni 20's generation uliejitwika utu uzima umuDuhh kijana, kabisa? Ukanifananishe na wendawazimu unaokutana nao kitambaa😃
Mwanaume wangu, kusuka? Makobaz? Never!!😱
Mzee timing ilifelSawa mama ushauri ila soko la mahusiano ni gumu sana watu wanarudiana mno naona kuna mzee mmoja anatrend kwa sana sasa mtandaoni akiimba nyimbo ya maumivu ya mapenzi kwa hisia sana anasema alimsomesha mpaka kuhitimu akauza nyumba zake tatu ili amtibie alipokua akiumwa na bado alipona na kuachwa
Lemi ongala anawimbo wake mmoja unaitwa WEMA KUMANYOKO
Nazungumzia Hela ambazo huwezi kuwaza habari za kulipa Kodi.Swala kutafuta hela tulianza kusaKa tokea 20 yrs mzee.. na bado tunaendelea kusaka pesa... kusubili tuwe bilionea af nd tuoe mpaka lini, nikuoa huku tunatafuta pèsa
kabisaYani ujinga ujinga tu
Akishakuwa high anaona impossible tense!
Mahusiano yanaendeshwa na nnMahusiano yanaendesha dunia
Hapo sasa, na pesa sio solution kweny mahusiano.Watakwambia pesa!
chunga utakosa zana za kazi mzeeHili suala la kuibiwa Nyeti naona vijana wenzangu wote hapa masikani wana kinga, mm pekee nimekaza Fuvu lakini Nyeti hazina confidence... Ntaoajee mkuu
Hamniwezi..Wewe dawa yako ule udongo tu