Wewe kaza fuvu Tu kuhusu kuoa

Wewe kaza fuvu Tu kuhusu kuoa

Acha kukariri naweza nikawa nachat alafu nawaza ni lini itakuwa siku.
Its meditation but results are different.
One can meditate and enter into spiritual realm with calmness , deep focus , strong imagination , Meditating word of God.

do that and you will see
 
Imagine yesu angezaliwa na mama asiye bikira. Angepata vipi uhalali wa kukemea uzinzi. Watu si wangemwambia nenda kwanza kamuubirie mama ako.
 
Its meditation but results are different.
One can meditate and enter into spiritual realm with calmness , deep focus , strong imagination , Meditating word of God.

do that and you will see
IMG_20260331_202557.jpg
 
Vijana wenzio wanapambania bikra we upo wapi kwani! Kazaa..
Sawa mama ushauri ila soko la mahusiano ni gumu sana watu wanarudiana mno naona kuna mzee mmoja anatrend kwa sana sasa mtandaoni akiimba nyimbo ya maumivu ya mapenzi kwa hisia sana anasema alimsomesha mpaka kuhitimu akauza nyumba zake tatu ili amtibie alipokua akiumwa na bado alipona na kuachwa

Lemi ongala anawimbo wake mmoja unaitwa WEMA KUMANYOKO
 
We hapo umechukua lipi? Unakaza au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom