Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,125
- 101,017
Ili nigundue nini? Mimi mshangazi mnene mnene, waulize wanaonifahamu🫢Ndo unajitetea ivyo ila niamani wewe ni 20's generation uliejitwika utu uzima umu
Ili nigundue nini? Mimi mshangazi mnene mnene, waulize wanaonifahamu🫢Ndo unajitetea ivyo ila niamani wewe ni 20's generation uliejitwika utu uzima umu
Kwahiyo kutotaka wanaosuka ni kuwa high class? Hii nayo mpya aiseeUnajikuta high class mwenyewe au sio
Hebu nisafirishie joint moja tufaidi wote..Wagwan
Jah bless hii pis ionje stim ya kaya.
Anaona nafaidi
Kutotambua tu unataka nini kwenye maisha ya ndoa/mahusiano unaishia kutangatanga na tamaa zisizo na mbele wala nyuma!Hapo sasa, na pesa sio solution kweny mahusiano.
wengi tu wanaume wenye uhuru wa kipesa wanachapiwa, na mlalahoi.
sijui kwanin tu
Hao madogo wa kike aakifika miaka 12 tu anataka kubanduliwaSio wote
Tulia kabinti kadogodogo uleleweIli nigundue nini? Mimi mshangazi mnene mnene, waulize wanaonifahamu🫢
Ahh wapi nitacheka nikiwa mwenyewe! Ukiwepo nita-seizeUnataka kuanza kunichekea chekea.
Kitu kidogo utaanza kicheko.
Hahahhaha wagwan

Kwanini unafanya assumptions? Mimi nakuzaa eti🫴🏾Tulia kabinti kadogodogo ulelewe
Labda angekuwa drake, namkubali sana jamaa
Watoto nilionao wananitosha!Tulia wewe najua wewe sio tasa na mimba utashika soon.
Udongo ndio dawa yako hahahhaha
Unalewa pombe za kisukuma eeh embu muandalie mumeo lunchKwanini unafanya assumptions? Mimi nakuzaa eti🫴🏾
Uu ukweli ni mchungu sana kwangu maisha sio malaisi😢We ni mgeni hapa duniani? Kuna tajiri mwenzako kachapiwa na wahini, kaza fuvu tu
Ndio zikoje hizo? Mume kwa usawa huu?Unalewa pombe za kisukuma eeh embu muandalie mumeo lunch
We huna mume sasa hisia unamalizia wapi weyeNdio zikoje hizo? Mume kwa usawa huu?
😅🙆🙆Wewe rudi kule hatujamalizana uzi wa mabikra umeanzisha mwingine
Wagwaan😆