Najimaliza mwenyewe..We huna mume sasa hisia unamalizia wapi weye
Sina dada mimi ndio dada kwetuWatoto wa dada yako bana
Tofautisha vichaa wa buza na kina drake😂Kumbe unakubali waliosuka Akali Za wanawake bana
Atajaa tu kwenye mfumo
Diwaniii niajeAtajaa tu kwenye mfumo
umekosea reply auDiwaniii niaje
tangazaji la wasafiumekosea reply au
AMbangile autangazaji la wasafi
Huyu asuburi tu, wajukuu na kuitwa Aunt muda wake unaishaUmeamini huyu Seran friji lake haligandishi hahahahha
Umenena vyema hapa. huu ujumbe mabint wauoneKutotambua tu unataka nini kwenye maisha ya ndoa/mahusiano unaishia kutangatanga na tamaa zisizo na mbele wala nyuma!
Kwani mnawahi wapi?Huyu asuburi tu, wajukuu na kuitwa Aunt muda wake unaisha
Nikimsikia mtu anasema ili ufaidi mapenzi tafuta hela, najinyamazia tangu nisikie MKE wa don wa madini ana liwa na kinyozi dahUu ukweli ni mchungu sana kwangu maisha sio malaisi😢
Imagine imetoka 1982.Kitu kikali sana
🙂chunga utakosa zana za kazi mzee