Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,696
- 68,700
Nisingeweza kabisa ku-survive shule za boding!
Ungeweza tu,mbona sie tuliwezaa tukawa tunaoga hadi nje tu sasa, boys kwa mbali wanatupiga chabo, lo stak kukumbuka tena
Nisingeweza kabisa ku-survive shule za boding!
Unaweza kuwa umeandika kwa hisia tu lakini sivyo majibu ya tafiti za kisayansi yaoneshavyo...
Unaweza kuweka sababu za kisayansi kwa nini watu hupata weusi makwapani?
Ungeweza tu,mbona sie tuliwezaa tukawa tunaoga hadi nje tu sasa, boys kwa mbali wanatupiga chabo, lo stak kukumbuka tena
Sio Makongo kweli??
mh! hii sasa inataka kupitiliza. Weusi katikati ya mapaja kwa wake kwa waume unatokana na msuguano. Kwapa jeusi pia linaweza kusababishwa na wembe au vipodozi vikali. Wengine ni maumbile tu. Sasa wale wenye makalio au mapumbu au papuchi nyeusi nao wasugue kwa mawe ya kusugua visigino au wapake karolaiti ili wasionekane wachafu kwa sababu mtu mmoja mweupe au ambaye ana rango moja mwili mzima kasema? Halafu wewe ukioga na ukajifuta kwa taulo kwa kujisugua ili utafute uchafu utaupata tu, ndo maana mataulo nayo yanafuliwa ili kuyaondoa uchafu.
hahahahaha!!!! shosti ulikuwa unawapigaje chabo wenzio!!! ila binadamu akivua nguo anatisha jamani. nguo zinaficha mengi ati.
Siku ile ulipovaa "sleeveless" !!!!
Shost nilikua siwapigi chabo si unajua hivyo vidude vinachungulia nje yaan hizi nguo zinatusitirii sanaa, kuna watu wanatisha wakivua,ila wengine wakivua wanapendezaa si eti shogaa
Hutwu natwo twuneno.Tunaendelea kusisitiza ishu ya usafi, Iwe kwa wanawake au wanaume, ngozi ya makwapani ni rangi sawa na sehemu nyingine za mwili.Uvivu tu wa kusugua ndio unafanya baadhi ya watu wawe na mikwapa myeusi kuliko sehemu zingine.
Mtu anakomaa na mideodorant tuu asubuhi mchana na jioni but kusugua kwapa hataki.
Since you are such a dedicated 'understudy' let not your heart be troubled. I got you.
This time we are going full Under Armour, from head to toe.
Let's start with these tight Capri pants....
What do you think? You likey?
Then onto the sports bra.....hii ina ka zip hapo katikati....naahidi sitakuchungulia siku ukiamua kukalegeza kidogo. Ntakuwa focused na kazi yangu. I'm a professional, you know! Hahahaaaaa
Tuje kwenye hoodie...hii utakuwa unavaa ukiwa unatoka nyumbani kuja kwenye session siku za baridi baridi lakini ukisha warm up itabidi uivue ubakie na hiyo sports bra. Logo ya Under Armour ipo hapo kwa mbele na ipo kishikaji....siyo kubwa kivile. I think this hoodie will be perfect for your body type......
Kwenye kicks nadhani hizi nyeusi zitaenda vizuri sana na hiyo ensemble nzima ya dark colors....
Tunakamilisha na hizi accessories.......head band.....backpack....na water bottle
Sasa usije umenyuka hizo gear halafu kikwapa kiwe kimechacha. Ntakutangazaa!!!
Kuepusha hayo na recommend hii makitu......
Ha ha ha huwa sielewi.... unakuta mtu ngoz ya goti imekomaaa au kiwiko huku mikononi.
Na kucha hukati kabisa?
uwiii, umenikumbusha kiwiko (kipepsi), halafu unakuta cheusiiiii, kimepaukaaaaa! Unatamani utemee mate umpake mtu. Ila hiyo nilidhani ni kwa sababu ya kujichubua?
Mmmhhh hao wanaojichubua utatamani uwakwangue hyo ngozi....hata baadhi hawajichubui lakin sijui wanaisusa hata kuipaka rays jamani.
Anhaaaaa! !!!!
hahaha, afu kuna mikaka unakuta kafuga ukucha mmoja mrefu kama mwewe, una rangi ya brown. Yucksssss!
i dont even use nail polish, hata colorless!
Usafishaji wa kawaida tu HoE... Kusugua kwa kitambaa cha kawaida cha kuogea, but ijulikane kuwa ngozi ya makwapani (na sehemu nyingine chache) ina tabia ya kutunza dead cells hivyo kusugua lazima kuwe very thorough