Wachawi wengi wa kibongo ni wachafu wa mwili, roho na mazingira

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,867
Kaliba ya ushirikina yenye heshina kubwa duniani na inayosaidia kufanya mengi kwa jamii kwetu hapa ni tofauti kabisa.. Kuwa mchawi bongo ni ishu sana ujue! Na hii yote inatokana na kubaki kulekule enzi za ujima, kutotaka kujifunza maarifa mapya kuendana na wakati huku wakiruhusu kaliba yao hii kuingiwa na wezi na matapeli bila kusahau madalali
Imagine mtu anakudalalia mpaka kwenye kupiga ramli!

Washirikina wengi (waganga wa kienyeji, walozi, wachawi na wanga) hali zao ni duni, wanaishi maisha ya kimasikini kuanzia wao, familia zao mpaka vilinge vyao
Ufukara unaweza usiwe ishu sana lakini swala la usafi kwakweli hawa ndugu wanefeli pakubwa.. Nadhani hapa na elimu dunia pia inachangia
Kama wewe ni mshirikina wa kikwelikweli basi onesha nguvu yako hata kwenye vitu vya kidunia.. Kilinge kibaki na uasili wake kwasababu za kiroho lakini walau uwanja na mazingira yanayozunguka kilinge yawe safi.. Sehemu ya kupokelea wageni nayo iwe safi na ya kisasa zaidi

Onesha uwezo hata wa kufunga smart tv na WiFi, chini tiles na maliwatoni fanya finishing ya kueleweka
Vazi lako la kichawi lisiwe mkoti mweusi mchafu unaonuka na likanzu lililochoka, kufubaa na kuchanikachanika

Wengi wameishia darasa la saba la kufeli.. Mikoba waliyorithishwa haijawahi kufanyiwa service au kuwa upgraded kwenye version mpya kuendana na mazingira
Mapembe ni yaleyale
Singe ni zilezile
Shanga ni zilezile
Tunguli ni zilezile
Makombe ni yaleyale
Kuna baadhi ya zana ukiziona mwenyewe mgonjwa unachoka na kupona hapo hapo kwa jinsi zilivyochoka, kuchaka na zilivyo duni!

Uchafu wa kiroho sasa! Hivi hawajui kwamba mwili na mazingira vikiwa safi na kwenye mipangilio hata halmashauri ya kiroho inakuwa hivyohivyo? Kiuhalisia mshirikina yeyote hapaswi kutumia usafiri wa umma! Humo kuna kila roho, kila uchafu na kila nishati.. Na ikibidi kutumia usafiri wa umma basi mkoba wake hautakiwi kuguswa au kugusana na yeyote au na chochote

Mshirikina yeyote hapaswi kulala nyumba ya wageni na ikibidi kufanya hivyo ahakikishe sio zile gesti zenye short time! Mgeni anafika anataka chumba saa tisa mchana anaambiwa asubiri kifanyiwe usafi hakuna usafi wowote wa maana zaidi ya kubadilishiwa shuka na taulo uchafu mwingine wote unakutana nao humo

Pata chumba kilichotumiwa na mtu mmoja usiku mzima na asubuhi kikafanyiwa usafi wote kikafungwa na kusubiro mteja mwingine! Lakini je wana uwezo wa kulipia hivyo vyumba visivyo na short time?

Anaingia kwenye chumba ambacho tangu asubuhi kishapokea roho zaidi ya sita! Naye anaingia humo na kuweka makazi yake.. Wateja wakija hasa wa kike anawapelekea moto humohumo.. Hapo kuna witchdoctor tena? Unaenda na lako moja likapatiwe ufumbuzi unatoka na mengine kabisa mabaya mabovu kuliko ulilokuja nalo

Kaliba ya ushirikina kwasasa iko chumba cha mahututi, kilichobaki ni upigaji na utapeli..
Kuendelea kutumia mitishamba isiyo na uwezo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, na matumizi makubwa ya mbolea za viwandani nknk ni ujinga wa aina yake
Hata hao kuku mbuzi na ng'ombe kama hawana chanjo ya kizungu, basi kuna chakula wanakula kisicho asili.. Damu yao tayari iko contaminated haifai haina nguvu tena kiroho..!

Zana zimechakaa zimechoka
Mitishamba imechakachuliwa
Damu imechakachuliwa...
Mganga ni mchafu kimwili na kiroho.. Halafu utegemee kupona! Subutuu...
FB_IMG_1699048623571.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaliba ya ushirikina yenye heshina kubwa duniani na inayosaidia kufanya mengi kwa jamii kwetu hapa ni tofauti kabisa.. Kuwa mchawi bongo ni ishu sana ujue! Na hii yote inatokana na kubaki kulekule enzi za ujima, kutotaka kujifunza maarifa mapya kuendana na wakati huku wakiruhusu kaliba yao hii kuingiwa na wezi na matapeli bila kusahau madalali
Imagine mtu anakudalalia mpaka kwenye kupiga ramli!

Washirikina wengi (waganga wa kienyeji, walozi, wachawi na wanga) hali zao ni duni, wanaishi maisha ya kimasikini kuanzia wao, familia zao mpaka vilinge vyao
Ufukara unaweza usiwe ishu sana lakini swala la usafi kwakweli hawa ndugu wanefeli pakubwa.. Nadhani hapa na elimu dunia pia inachangia
Kama wewe ni mshirikina wa kikwelikweli basi onesha nguvu yako hata kwenye vitu vya kidunia.. Kilinge kibaki na uasili wake kwasababu za kiroho lakini walau uwanja na mazingira yanayozunguka kilinge yawe safi.. Sehemu ya kupokelea wageni nayo iwe safi na ya kisasa zaidi

Onesha uwezo hata wa kufunga smart tv na WiFi, chini tiles na maliwatoni fanya finishing ya kueleweka
Vazi lako la kichawi lisiwe mkoti mweusi mchafu unaonuka na likanzu lililochoka, kufubaa na kuchanikachanika

Wengi wameishia darasa la saba la kufeli.. Mikoba waliyorithishwa haijawahi kufanyiwa service au kuwa upgraded kwenye version mpya kuendana na mazingira
Mapembe ni yaleyale
Singe ni zilezile
Shanga ni zilezile
Tunguli ni zilezile
Makombe ni yaleyale
Kuna baadhi ya zana ukiziona mwenyewe mgonjwa unachoka na kupona hapo hapo kwa jinsi zilivyochoka, kuchaka na zilivyo duni!

Uchafu wa kiroho sasa! Hivi hawajui kwamba mwili na mazingira vikiwa safi na kwenye mipangilio hata halmashauri ya kiroho inakuwa hivyohivyo?
Kiuhalisia mshirikina yeyote hapaswi kutumia usafiri wa umma! Humo kuna kila roho, kila uchafu na kila nishati.. Na ikibidi kutumia usafiri wa umma basi mkoba wake hautakiwi kuguswa au kugusana na yeyote au na chochote

Mshirikina yeyote hapaswi kulala nyumba ya wageni na ikibidi kufanya hivyo ahakikishe sio zile gesti zenye short time! Mgeni anafika anataka chumba saa tisa mchana anaambiwa asubiri kifanyiwe usafi hakuna usafi wowote wa maana zaidi ya kubadilishiwa shuka na taulo uchafu mwingine wote unakutana nao humo

Pata chumba kilichotumiwa na mtu mmoja usiku mzima na asubuhi kikafanyiwa usafi wote kikafungwa na kusubiro mteja mwingine! Lakini je wana uwezo wa kulipia hivyo vyumba visivyo na short time?

Anaingia kwenye chumba ambacho tangu asubuhi kishapokea roho zaidi ya sita! Naye anaingia humo na kuweka makazi yake.. Wateja wakija hasa wa kike anawapelekea moto humohumo.. Hapo kuna witchdoctor tena? Unaenda na lako moja likapatiwe ufumbuzi unatoka na mengine kabisa mabaya mabovu kuliko ulilokuja nalo

Kaliba ya ushirikina kwasasa iko chumba cha mahututi, kilichobaki ni upigaji na utapeli..
Kuendelea kutumia mitishamba isiyo na uwezo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, na matumizi makubwa ya mbolea za viwandani nknk ni ujinga wa aina yake
Hata hao kuku mbuzi na ng'ombe kama hawana chanjo ya kizungu, basi kuna chakula wanakula kisicho asili.. Damu yao tayari iko contaminated haifai haina nguvu tena kiroho..!

Zana zimechakaa zimechoka
Mitishamba imechakachuliwa
Damu imechakachuliwa...
Mganga ni mchafu kimwili na kiroho.. Halafu utegemee kupona! Subutuu...View attachment 2803037

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unasapoti uganga na ushirikina?

Au unakandia uganga na ushirikina ?
 
Inafikirisha lakini kama Wana furaha hiyo sio mbaya

Then Kuna mchawi mmoja nimemthibiti ila naona kaanza kunichukia Sana .inaonekana wachawi huwa wanapata furaha Sana usiku kutuchezea🙀
 
Inafikirisha lakini kama Wana furaha hiyo sio mbaya

Then Kuna mchawi mmoja nimemthibiti ila naona kaanza kunichukia Sana .inaonekana wachawi huwa wanapata furaha Sana usiku kutuchezea
Wachawi sio watu wenye furaha hata kidogo ni watu waliojawa na msongo wa mawazo na upweke.. Kwenda kuroga na kuwanga ni namna fulani ya kutafuta faraja
Kitu kingine ni wivu na roho ya kwanini.. Wengi hufanya ushirikina kwasababu hizo mbili
Mbaya zaidi uchawi ni tofauti na vilevi vingine ambavyo unaweza ukaamua kwa dhati kuacha na ukaweza! Kwenye ushirikina ni kama kwenye madawa ya kulevya.. Haya ni mambo yanayofanywa kwa usiri mkubwa hivyo kuamua kuacha ni sawa na kusaliti kambi.. Hawawezi kukuacha salama

Duh ! Inafikirisha Sana kiufupi Mimi nimetumia chumvi ya mawe tu nimezungushia ila tangu siku ile ameanza kunipita kwa mbali Sana .

Then huyo Dada she looking too desparated , Hana furaha most of the time anaongea matusi Always anatukana watoto wake na mme wake.
 
Hana furaha most of the time anaongea matusi Always anatukana watoto wake na mme wake.
Ana stress huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi sio watu wenye furaha hata kidogo ni watu waliojawa na msongo wa mawazo na upweke.. Kwenda kuroga na kuwanga ni namna fulani ya kutafuta faraja
Kitu kingine ni wivu na roho ya kwanini.. Wengi hufanya ushirikina kwasababu hizo mbili
Mbaya zaidi uchawi ni tofauti na vilevi vingine ambavyo unaweza ukaamua kwa dhati kuacha na ukaweza! Kwenye ushirikina ni kama kwenye madawa ya kulevya.. Haya ni mambo yanayofanywa kwa usiri mkubwa hivyo kuamua kuacha ni sawa na kusaliti kambi.. Hawawezi kukuacha salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nadhani tusiwaone wachawi katika ubaya tu, bali hebu tuangalie na kutambua Umuhimu na Faida za wachawi (Mimi nataja chache hapa):
1. Wachawi huwanyenyekesha watu.e.g. mtu anapata ka-cheo Ofisini tu tayari anaanza kuwanyanyasa walio chini yake na kuwaona hawana maana.. Kwa bahati akitokea "mtaalam" akampiga kipapai utaona fasta heshima inarudi kama akiweza akijinasua hapo.
2. Kuna Watu hawajishughulishi kufanya kazi bali wanadhulumu kwa kuiba e.g. mazao au mifugo. Akitokea mtaalam akamvimbisha tumbo huyo mwizi utaona wezi wenzake wakisambaratika na hawathubutu tena kunyoosha mkono kwa mali za watu.
3.Wapo baadhi ya watu wanavamia ndoa za wengine kibabe. Wakifinywa
(Wakishughulikiwa kwa hydraulic kufeli /kutokushusha jembe) adabu huwakaa kichwani.
Kwa kifupi wachawi hu-Normalise situations.
 
Umeongea vizuri sana ila umeongea positives! Ukija kwenye negatives ni habari nyingine kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom