Weusi makwapani sio asili ni uchafu

Unaweza kuwa umeandika kwa hisia tu lakini sivyo majibu ya tafiti za kisayansi yaoneshavyo...

Unaweza kuweka sababu za kisayansi kwa nini watu hupata weusi makwapani?

Sababu Kubwa Ya Kisayansi Ni Uchafu tu Period!
 
mh! hii sasa inataka kupitiliza. Weusi katikati ya mapaja kwa wake kwa waume unatokana na msuguano. Kwapa jeusi pia linaweza kusababishwa na wembe au vipodozi vikali. Wengine ni maumbile tu. Sasa wale wenye makalio au mapumbu au papuchi nyeusi nao wasugue kwa mawe ya kusugua visigino au wapake karolaiti ili wasionekane wachafu kwa sababu mtu mmoja mweupe au ambaye ana rango moja mwili mzima kasema? Halafu wewe ukioga na ukajifuta kwa taulo kwa kujisugua ili utafute uchafu utaupata tu, ndo maana mataulo nayo yanafuliwa ili kuyaondoa uchafu.

Umemalizia vizuri sana... ukiona umeoga alafu ukijisugua bado ukoko unatoka... then huo ni uchafu
 
hahahahaha!!!! shosti ulikuwa unawapigaje chabo wenzio!!! ila binadamu akivua nguo anatisha jamani. nguo zinaficha mengi ati.

Shost nilikua siwapigi chabo si unajua hivyo vidude vinachungulia nje yaan hizi nguo zinatusitirii sanaa, kuna watu wanatisha wakivua,ila wengine wakivua wanapendezaa si eti shogaa
 
Shost nilikua siwapigi chabo si unajua hivyo vidude vinachungulia nje yaan hizi nguo zinatusitirii sanaa, kuna watu wanatisha wakivua,ila wengine wakivua wanapendezaa si eti shogaa

mhm ngoja nikuPM unisimulie vzuri samahan lakn.
 
Swala la usafiri ni la kila mmoja tena wanaume ndo wachafu balaa. Kwapa jeusi tofauti na maeneo mengine ni uchafu. Sugua Kwapa kaushavizuri na Taylor kisha paka mafuta kama sehemu nyengine.
 
Tunaendelea kusisitiza ishu ya usafi, Iwe kwa wanawake au wanaume, ngozi ya makwapani ni rangi sawa na sehemu nyingine za mwili.Uvivu tu wa kusugua ndio unafanya baadhi ya watu wawe na mikwapa myeusi kuliko sehemu zingine.

Mtu anakomaa na mideodorant tuu asubuhi mchana na jioni but kusugua kwapa hataki.
Hutwu natwo twuneno.
 
me likey, likey!

Hapo kwenye kuchungulia iko shida. Ila ntakuja na paw daily, kazi kwako.

Hiviii, starter kit ni juu yako sio?
Since you are such a dedicated 'understudy' let not your heart be troubled. I got you.

This time we are going full Under Armour, from head to toe.

Let's start with these tight Capri pants....

V5ProdWithBadge


What do you think? You likey?

Then onto the sports bra.....hii ina ka zip hapo katikati....naahidi sitakuchungulia siku ukiamua kukalegeza kidogo. Ntakuwa focused na kazi yangu. I'm a professional, you know! Hahahaaaaa

V5ProdWithBadge


Tuje kwenye hoodie...hii utakuwa unavaa ukiwa unatoka nyumbani kuja kwenye session siku za baridi baridi lakini ukisha warm up itabidi uivue ubakie na hiyo sports bra. Logo ya Under Armour ipo hapo kwa mbele na ipo kishikaji....siyo kubwa kivile. I think this hoodie will be perfect for your body type......

V5ProdWithBadge



Kwenye kicks nadhani hizi nyeusi zitaenda vizuri sana na hiyo ensemble nzima ya dark colors....

V5ProdWithBadge


Tunakamilisha na hizi accessories.......head band.....backpack....na water bottle

V5ProdWithBadge
V5ProdWithBadge
V5ProdWithBadge


Sasa usije umenyuka hizo gear halafu kikwapa kiwe kimechacha. Ntakutangazaa!!!

Kuepusha hayo na recommend hii makitu......

DWMSsexyintriguelarge1104-361763.png
 
uwiii, umenikumbusha kiwiko (kipepsi), halafu unakuta cheusiiiii, kimepaukaaaaa! Unatamani utemee mate umpake mtu. Ila hiyo nilidhani ni kwa sababu ya kujichubua?
Ha ha ha huwa sielewi.... unakuta mtu ngoz ya goti imekomaaa au kiwiko huku mikononi.
 
uwiii, umenikumbusha kiwiko (kipepsi), halafu unakuta cheusiiiii, kimepaukaaaaa! Unatamani utemee mate umpake mtu. Ila hiyo nilidhani ni kwa sababu ya kujichubua?

Mmmhhh hao wanaojichubua utatamani uwakwangue hyo ngozi....hata baadhi hawajichubui lakin sijui wanaisusa hata kuipaka rays jamani.
 
Mmmhhh hao wanaojichubua utatamani uwakwangue hyo ngozi....hata baadhi hawajichubui lakin sijui wanaisusa hata kuipaka rays jamani.

Nikipaka lotion mikononi mwanzo naanza kwenye viwiko basi mpaka mtt wangu juzi tu kaniuliza kwa nn naanza hapo. Tunajisahau sana kwa kweli, mi nlikuja kujishtukizia naanza kupauka ndo nkaanza hio style, sasa nshazoea sisahau.
 
He he he he, hivi lile kucha huwa linachakura nini?


Nilidhani hukati kila kitu kila kitu baada ya kuona ni rastafari wa kwapa

hahaha, afu kuna mikaka unakuta kafuga ukucha mmoja mrefu kama mwewe, una rangi ya brown. Yucksssss!
i dont even use nail polish, hata colorless!
 
Kama hujapewa kikwapa cha cheusi mshukuru Muumba wako...La sivyo tutakuombea upate......Siku zote mtu kama hajaexperience kitu huweza kuongea saaana ila akiexperience hunyamaza.....


Kikwapa kuwa cheusi si uchafu pekee, husababishwa na mambo mengi...Ikiwa ni aina ya Deodorant zinaharibu, Body spray, Viwembe nk.




Usafishaji wa kawaida tu HoE... Kusugua kwa kitambaa cha kawaida cha kuogea, but ijulikane kuwa ngozi ya makwapani (na sehemu nyingine chache) ina tabia ya kutunza dead cells hivyo kusugua lazima kuwe very thorough
 
Back
Top Bottom