Kiongozi wao si mlafi. Ugonjwa wetu ni viongozi walafi wasio na nia njema na hao wanaowaongoza. Mifano iko mingi, anza jirani yao kwa yule ambae anapenda kuoa, nenda Angola, panda Nigeria n.k. Halafu angalia Botswana. Jibu utapata. Ni ulafi ndio unaotumaliza.
Amandla......
Responding to pressure from Boers, hunters, and traders moving into the area, the Bafokeng King, Kgosi Mokgatle Mokgatle (1836-1891), embarked on a land acquisition program in the late 19th century, to secure the community's rights to its land. The King sent regiments of Bafokeng men to the Kimberley diamond mines to earn cash wages to help buy the land, which was then held in trust by Lutheran missionaries and others in the days before Blacks could legally acquire land.
Nyani utumbo uko wapi hapa?Pure utumbo kama kawaida yako
Nadhani kuna Mchaga mmoja anayewasaidia kwenye misheni zao; anaitwa MUSHI: teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!! teh!!!!!!!!
View attachment 10119
Nyani hayuko tayari kuona nadharia yake ikiwekwa kapuni. Asanteni sana kwa kudhihirisha kuwa tunaweza. Tubadili na hii tabia hapa chini:
]
True, very true....Lakini Nyerere si alifanya hivyo kwa nchi nzima tukamwona Mjamaa! kisha tulipobadilisha mfumo tukasahau kwa nini tulipigania UHURU wetu..Mkandara, Nyani; this is what puzzles me!!
how was this possible in the 19th century?
Nadharia yangu haiwezi kuwekwa kapuni. Hao Bafokeng wala hawadhihirishi chochote. Wangekuwa kwa mfano wako huko ndani ndani ya Dahomey hapo ningevutiwa kidogo maana huko hakuna wazungu wengi kama ilivyo Afrika Kusini. Ukaribu wa Bafokeng na wazungu ndio kwa kiasi kikubwa umechangia wao kufika hapo walipofika.
Na swali kwako, mchango wa Bafokeng ktk sayansi na teknolojia na uvumbuzi wa vitu mbalimbali vilivyo rahisisha maisha ya mwanadamu ni upi? Nitajie kanuni moja tu ya sayansi iliyoasisiwa na Mbafokeng?
Hata hujafanya utafiti wa kisayansi unakurupuka na hitimisho. Nitakujibu maswali yako nikimaliza utafiti wangu kuhusu hawa watu. Kumbuka hata Picasso aliiba kanuni ya Cubism kutoka ndani ndani ya Congo. Na hiyo Dahomey ilikuwa juu sana enzi zile za ustaarabu wa Afrika ya Kale na wala hakukuwa na hao wazungu!
Hata hujafanya utafiti wa kisayansi unakurupuka na hitimisho. Nitakujibu maswali yako nikimaliza utafiti wangu kuhusu hawa watu. Kumbuka hata Picasso aliiba kanuni ya Cubism kutoka ndani ndani ya Congo. Na hiyo Dahomey ilikuwa juu sana enzi zile za ustaarabu wa Afrika ya Kale na wala hakukuwa na hao wazungu!
Mkuu all in all ni consistency - good, commited and responsible leadership.
True, very true....Lakini Nyerere si alifanya hivyo kwa nchi nzima tukamwona Mjamaa! kisha tulipobadilisha mfumo tukasahau kwa nini tulipigania UHURU wetu..
Wewe nawe bana...pablo picasso alifikaje kongo...hizi ndio stori zenu za kujifanya mjisikie vizuri