Folks,Mie ninabahati niko huku nafanya kazi na nimetokea kufanya kwenye province ya North west liliko hili Bafokeng Tribe( sio nchi), around Rusternberg, na kwa kifupi ni kwamba wao wamepewa fursa na Government as a Bafokeng Tribe kuendelea na zile royalities tax for any big investors especially on mining in their area na kuna minerals nyingi kwenye eneo lao , hivyo wanapata royalities tax nzuri ( percentage)kutoka kampuni za mining zinazo operate North west around their area like for platinum , Gold , etc na wana Chief wao na well established Royal Bafokeng leadership inayo reinvest pesa thro construction of infracture like freeways within the North West Province and they have erected some toll roads plaza for collection of money for returns on capital invested and use for maintainance of the those freeways.
Kumbe inawezekana. Inataka nia. Nimekuwa nazungumzia haki ya wakazi wa maeneo ya madini kupewa royalties badala ya kuhamishwa na kusukumwa kama ng'ombe. Kumbe inawezekana na inafanyika hapa hapa Afrika. Mwanakijiji siku nyingine unikumbushe tukianza mjadala tena wa madini na Sinclair kuwa Bafokeng wameweza. Sisi Nyamongo na Bulyankulu tunaendelea kula mchanga tu.