bintimacho
Member
- Apr 25, 2008
- 41
- 1
i truly support huyo Mugabe anavyokuwa shujaa kutosikiliza westeners but at the same time, anawaumiza wananchi wake ambao wanakufa njaa, wengine kufa na political violence. sasa yeye hajali kama watu wake wanaumia ilimradi tu aonyeshe kuwa yeye ni mbabe kwa westeners.
[pia ile ya kunyang'ana mashamba na kugawa kwa waafrika wenzake was abrave thing..lakini hayo mashamba yanakufa kwasababu aligawa kwa watu wake na sio watu ambao they can manage ..which proves a point kuwa at times waafrika kwa ufisadi hatutafika kokote]