Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Mandela, Mandela. Mbona kaenda kuongelea Uingereza? Tena kasentensi kamoja. Halafu alikuwa wapi wakati waafrika wanauwawa na kuvamiwa South Africa? Hana dili huyo Mzee.

Kuhusu Zimbabwe, mimi namwelewa Mugabe (every african leader knows the score, but they also know that the only winner is mzungu who control africa's economy. Once africans decide to control their economies, this wont happen. But I cant see it happening, so this will be a vicious cycle. Today Mugabe, tomorrow maybe Tanzania). Ila ya uchaguzi, kachemsha. Yeye na Morgan Manundu, wote nawaona wachizi na hawafai. Kila mtu anacheza na propaganda zake. Mugabe is in so deep, its hard to turn back. Morgan is such a sell-out, he aint better either. The losers are Zimbambwe people.

Haya mambo yatakuja yatugeukie sisi siku moja........na ndio maana kina Zitto wanajihami. In truth, nyie upinzani shughulikieni matatizo ya nyumbani, kwani ishu ya Zimbambwe si nyepesi.

*Nyani Ngabu, waafrika ndivyo tulivyo. Kwani wewe unaweza kueleza kwanini waafrika walikuwa wanakusanywa kama watumwa kutoka Tabora mpaka Pwani wakisimamiwa na mwarabu ana kimjeledi au kigobole?

Asante sana mkuu...
Viongozi wengi wa kiafrika wanaelewa vizuri sana kiini cha matatizo ya Zimbabwe ila wanaogopa kusema ukweli kwa kuwa watawachukiza wazungu na kunyimwa misaada.
Namheshimu sana Mandela ila kwenda kusema maneno yale Uingereza tena mbele ya Waingereza na tena ka-sentensi kamoja na kushindwa kutumia busara zake,umaarufu wake,ujuzi wake,uafrika wake kuziita pande zote zinazopingana katika mgogoro huu na kufanya dialogue ili kuleta mema Zimbabwe naona naye anaingia kwenye group lile lile la kutowaudhi wazungu!! Ni lazima waafrika tukaelewa kuwa leo hii yametokea Zimbabwe na kesho yanaweza kabisa kutokea Afrika ya Kusini na sitashangaa yatatokea tena hata katika nchi zingine Afrika.Kwa hiyo nilazima tukemee kwa nguvu zote mtindo wa mataifa ya magharibi kuingilia,kuzivuruga,na kuchagulia viongozi nchi za kiafrika kwa manufaa yao na siyo manufaa ya wengi.

Wembe.
 
Chemical warfare waged on civilians
http://www.thezimbabwetimes.com
June 18, 2008

assaultvictim.gif

Z$1bn note highlights a foe that Robert Mugabe cannot threaten with violence

Note385_346325a.jpg

A Zimbabwean with two new Z$5 billion bills ? worth a total of £10

cart160508.jpg

Gado cartoons, credit: nationmedia.com

GDP%20per%20capita%20Zimbabwe-Botswana.jpg

Watetezi wa serikali za kimabavu karibumi.

Gukurahundi by any other name

mubw.jpg

No Arrests made

_44632249_casts_afp226b.jpg

MDC supporters say they have
been attacked by Zanu-PF supporters

ST_IMAGES_JEWEEK26B.jpg

BLISTERING WOUNDS: An opposition supporter waiting for treatment for severe burns at a Harare clinic on Thursday. Civil rights groups in Zimbabwe say security forces and party thugs loyal to President Mugabe have unleashed a campaign of violence against opposition supporters after the disputed elections on March 29.

PHOTO CREDIT: REUTERS

1.jpg

CREDIT: AP

A Zimbabwean beggar poses with wads of Z$200,000 notes in the capital, Harare, where on the black market Z$200,000 is worth one US cent.

Kama unaweza kutetea haya huwezi kubishana na yoyote. Hizo ni propaganda za UK na USA. Tuna kazi kubwa sana tunapenda maisha bora lakini hatuwezi kukubali ukweli.

Mugabe hakuwekewa vikwazo kama wengi wanavyotaka tuamini. Waliowekewa vikwazo ni wale wanaotumia pesa ya walipa kodi kwenda shopping Europe na familia zao. Sikuona Ian Smith akiua wazungu wenzake au kuwachoma moto na kutumia chemicals kuwadhuru wakati wa ukoloni lakini hili lijamaa limekithiri ndio sababu lilikuwa na litaendelea kuwa toto la ki****
 
asante Sana Mkuu...
Viongozi Wengi Wa Kiafrika Wanaelewa Vizuri Sana Kiini Cha Matatizo Ya Zimbabwe Ila Wanaogopa Kusema Ukweli Kwa Kuwa Watawachukiza Wazungu Na Kunyimwa Misaada.
Namheshimu Sana Mandela Ila Kwenda Kusema Maneno Yale Uingereza Tena Mbele Ya Waingereza Na Tena Ka-sentensi Kamoja Na Kushindwa Kutumia Busara Zake,umaarufu Wake,ujuzi Wake,uafrika Wake Kuziita Pande Zote Zinazopingana Katika Mgogoro Huu Na Kufanya Dialogue Ili Kuleta Mema Zimbabwe Naona Naye Anaingia Kwenye Group Lile Lile La Kutowaudhi Wazungu!! Ni Lazima Waafrika Tukaelewa Kuwa Leo Hii Yametokea Zimbabwe Na Kesho Yanaweza Kabisa Kutokea Afrika Ya Kusini Na Sitashangaa Yatatokea Tena Hata Katika Nchi Zingine Afrika.kwa Hiyo Nilazima Tukemee Kwa Nguvu Zote Mtindo Wa Mataifa Ya Magharibi Kuingilia,kuzivuruga,na Kuchagulia Viongozi Nchi Za Kiafrika Kwa Manufaa Yao Na Siyo Manufaa Ya Wengi.

Wembe.

Wembe Mkali Mandela Ni Mwenzetu!
Anawatega Magharibi Waliomuweka Ndani Karibia Maisha Yake Yote!
Mmarekani Hathubutu Hata Siku Moja Kupigana Na Mchina!
Narudia..china Ndiye Namba One Super Power Kwa Sasa!
Na Kama Akirogwa Akimvamia Mugabe...basi Ndugu Yangu Taifa La Marekani Litaanguka..afrika Tukae Pembeni.
Tusiingizwe Huko!
Marekani Keshapigwa Bao Na Sasa Anatapa Tapa!
Wazalendo Wana Siri Zote...ila Mandela Anawatega Kwani Anataka Kuona Mwisho Wao Kabla Hajafa!
 
Chemical warfare waged on civilians
http://www.thezimbabwetimes.com
June 18, 2008

assaultvictim.gif

Z$1bn note highlights a foe that Robert Mugabe cannot threaten with violence

Note385_346325a.jpg

A Zimbabwean with two new Z$5 billion bills ? worth a total of £10

GDP%20per%20capita%20Zimbabwe-Botswana.jpg

Watetezi wa serikali za kimabavu karibumi.

Gukurahundi by any other name

mubw.jpg

No Arrests made

_44632249_casts_afp226b.jpg

MDC supporters say they have
been attacked by Zanu-PF supporters

ST_IMAGES_JEWEEK26B.jpg

BLISTERING WOUNDS: An opposition supporter waiting for treatment for severe burns at a Harare clinic on Thursday. Civil rights groups in Zimbabwe say security forces and party thugs loyal to President Mugabe have unleashed a campaign of violence against opposition supporters after the disputed elections on March 29.

PHOTO CREDIT: REUTERS

1.jpg

CREDIT: AP

A Zimbabwean beggar poses with wads of Z$200,000 notes in the capital, Harare, where on the black market Z$200,000 is worth one US cent.

Kama unaweza kutetea haya huwezi kubishana na yoyote. Hizo ni propaganda za UK na USA. Tuna kazi kubwa sana tunapenda maisha bora lakini hatuwezi kukubali ukweli.

Mugabe hakuwekewa vikwazo kama wengi wanavyotaka tuamini. Waliowekewa vikwazo ni wale wanaotumia pesa ya walipa kodi kwenda shopping Europe na familia zao. Sikuona Ian Smith akiua wazungu wenzake au kuwachoma moto na kutumia chemicals kuwadhuru wakati wa ukoloni lakini hili lijamaa limekithiri ndio sababu lilikuwa na litaendelea kuwa toto la ki****

Kama Mugabe asingewanyang'anya mashamba hao makaburu..Then nyie mungemwona mbaya?

Mnataka na mimi nikalete picha za wananchi wa iraqi?

Saddam pamoja na ubaya wake..alikataa kuwauzia marekani mafuta kwa bei wanaotaka wao!

iliposhindikana wakaivamia..wakawagawana..na sasa wanapigana wenyewe kwa wenyewe kwani yale majimbo ambayo hayana mafuta yameshatengwa!Hii inawasaidia wamarekani kununua mafuta kwa bei rahisi kwani sasa badala ya kuwalipa wa iraqi kama Taifa...Sasa wanawalipa kama jimbo!

makaburu hawataki kutupa pesa za kutosha kwa Taifa zima ama bara zima....Ni pesa nyingi sana!

Badala yake wanakupa bei yao..Na ukikataa wanampa mpinzani wako silaha na taifa linagawanyika huku majeshi yao yakilinda rasilimali badala ya wananchi!

Iraq ilipovamiwa...Majeshi yote ya magharibi badala ya kulinda raia wakawa wanalinda tu visima vya mafuta na the rest to hell!
 
Mkuu YNIM,
Ni wazi kabisa kuwa Mugabe has to go hili linajulikana na hata yeye analifahamu. Tatizo linakuwa ni aondokeje? Offcourse sio kwa vita kama alivyosema JK.

Kama usalama wake ungehakikishwa, huyu mzee alishakuwa tayari kuyamwaga manyanga siku nyingi. Shida ni kuwa wapo wanaotaka shingo yake ndio maana akaamua kufia madarakani? Niliwahi kusema hapo awali kuwa Tsvangirai anayo nafasi kubwa hivi sasa ya kuongea na huyu mzee na kumpa terms nzuri za kuondokea, kitu ambacho kingerahisisha mambo, shida ni kuwa amri za nini afanye Tsvangirai zinatoka kwa masponsa wake wasiotaka Mugabe akaritaya bila kufikishwa mahakamani. Hapo kazi ndio ilipo.

Mugabe alikuwa anaheshimu sana wajumbe wa Tanzania, lakini staments za Membe na JK zitakuwa zimeharibu kila kitu na kufanya azidi kuwa na roho ngumu.

Ni kweli mkuu...Tanzania tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kusuluhisha mgogoro huu hata Jongwe mwenyewe anajua hili ila baada ya matamshi ya Membe basi tena tumepoteza nafasi ile.Nafikiri kuwa Membe alipewa desa lile ama kutoka Washington au Downing street na kwa bahati mbaya akalipaste hivyo hivyo bila ya kulifanyia kazi kwanza.

-Wembe
 
Mugabe hakuwekewa vikwazo kama wengi wanavyotaka tuamini. Waliowekewa vikwazo ni wale wanaotumia pesa ya walipa kodi kwenda shopping Europe na familia zao. Sikuona Ian Smith akiua wazungu wenzake au kuwachoma moto na kutumia chemicals kuwadhuru wakati wa ukoloni lakini hili lijamaa limekithiri ndio sababu lilikuwa na litaendelea kuwa toto la ki****

Mkuu nadhani hapo si sawa, naomba usome hii excerpt

In December 2001, the US passed the Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Act, which decreed that Mugabe could restore relations with international financial institutions only if he agreed to conditions on Zimbabwe’s rule of law, the presence of its troops in the Congo, and the conduct of its internal elections. The American law also instructed all US members of international financial institutions to oppose and vote against any extension of loans, credits or guarantees to Zimbabwe. In 2002, then British foreign secretary Jack Straw declared that Britain would ‘oppose any access by Zimbabwe to international financial institutions’. Also in 2002, British officials threatened to withdraw financial assistance to other countries in southern Africa unless they, too, imposed sanctions against Zimbabwe. This led Benjamin Mkapa, then president of Tanzania, to complain that African members of the British Commonwealth were enduring ‘a bombardment for an alliance against Mugabe’ (9). The European Union imposed ‘smart’ sanctions against Zimbabwe, refusing to allocate visas for travel in EU countries to Mugabe and his officials and freezing all of their economic assets in Europe (10). In the early and mid-2000s, both the World Bank and the IMF tried to dissuade states and institutions from extending financial credit to Zimbabwe. A Zimbabwean official claimed that: ‘Our contacts in various countries have indicated that these institutions are using all sorts of tactics to cow all those who are keen to assist Zimbabwe.’ (11)

The economic punishment of ‘evil Mugabe’ by powerful Western forces had a massive impact on Zimbabwe. According to one critical observer, Gregory Elich, author of Strange Liberators: Militarism, Mayhem and the Pursuit of Profit, ‘Western financial restrictions made it nearly impossible for Zimbabwe to engage in normal international trade’. And ‘for a nation that had to import 100 per cent of its oil, 40 per cent of its electricity and most of its spare parts, Zimbabwe was highly vulnerable to being cut off from access to foreign exchange’. Elich argues that the impact of Western restrictions on trading and crediting with Zimbabwe was ‘immediate and dire’: ‘The supply of oil fell sharply, and periodically ran out entirely. It became increasingly difficult to muster the foreign currency to maintain an adequate level of imported electricity, and the nation was frequently beset by blackouts. The shortage of oil and electricity in turn severely hobbled industrial production, as did the inability to import raw materials and spare parts. Business after business closed down and the unemployment rate soared...’ (12)

source http://www.spiked-online.com/index.php?/site/article/4942/
 
Hivi vita vya mchina na mmarekani tukae pembeni!
Bush aliitisha dunia kwa kusema you are either with us or NOT!

TAFAKARINI KWASABABU MIMI NAFUATILIA SANA HII ISSUE!
MMAREKANI ANADAIWA NA MCHINA KULIKO ANAVYODAIWA NA TAIFA LOLOTE LILE!

MAREKANI YENYEWE UKIJA KWENYE FINANCIAL INSITITUTIONS KAMA MABENKI NK..ZOTE ZINAMILIKIWA NA EITHER MJAPANI AMA MCHINA!

NA KAMA KWELI MCHINA ANAMSAPOTI MUGABE...BASI JUA WAZI KUWA MMAREKANI HATATHUBUTU KUINGIA VITANI UNLESS SISI WAAFRIKA TUINGIE MKENGE NA PROPAGANDA ZAO!

IRAQI YENYEWE IMEWASHINDA!

MAREKANI WASIPOANGALI WANAENDA CHINI!
 
Mkuu nadhani hapo si sawa, naomba usome hii excerpt

In December 2001, the US passed the Zimbabwe Democracy and Economic Recovery Act, which decreed that Mugabe could restore relations with international financial institutions only if he agreed to conditions on Zimbabwe's rule of law, the presence of its troops in the Congo, and the conduct of its internal elections. The American law also instructed all US members of international financial institutions to oppose and vote against any extension of loans, credits or guarantees to Zimbabwe. In 2002,

then British foreign secretary Jack Straw declared that Britain would ‘oppose any access by Zimbabwe to international financial institutions'.
Also in 2002, British officials threatened to withdraw financial assistance to other countries in southern Africa unless they, too, imposed sanctions against Zimbabwe. This led Benjamin Mkapa, then president of Tanzania, to complain that African members of the British Commonwealth were enduring ‘a bombardment for an alliance against Mugabe' (9). The European Union imposed ‘smart' sanctions against Zimbabwe, refusing to allocate visas for travel in EU countries to Mugabe and his officials and freezing all of their economic assets in Europe (10). In the early and mid-2000s, both the World Bank and the IMF tried to dissuade states and institutions from extending financial credit to Zimbabwe. A Zimbabwean official claimed that: ‘Our contacts in various countries have indicated that these institutions are using all sorts of tactics to cow all those who are keen to assist Zimbabwe.' (11)

The economic punishment of ‘evil Mugabe' by powerful Western forces had a massive impact on Zimbabwe. According to one critical observer, Gregory Elich, author of Strange Liberators: Militarism, Mayhem and the Pursuit of Profit, ‘Western financial restrictions made it nearly impossible for Zimbabwe to engage in normal international trade'.

And ‘for a nation that had to import 100 per cent of its oil, 40 per cent of its electricity and most of its spare parts, Zimbabwe was highly vulnerable to being cut off from access to foreign exchange'. Elich argues that the impact of Western restrictions on trading and crediting with Zimbabwe was ‘immediate and dire': ‘The supply of oil fell sharply, and periodically ran out entirely. It became increasingly difficult to muster the foreign currency to maintain an adequate level of imported electricity, and the nation was frequently beset by blackouts. The shortage of oil and electricity in turn severely hobbled industrial production, as did the inability to import raw materials and spare parts. Business after business closed down and the unemployment rate soared...' (12)

source http://www.spiked-online.com/index.php?/site/article/4942/

That's why Mugabe thinks UK or USA is his father. Zimbabwe farms were not given to landless blacks but to his friends and cronies. He failed to account for monies given to him for the land i.e. willing seller and willing buyer of which the UK was sponsoring. If you can support a thug like him you do not have a place in politics, and to say the least those people being maimed aren't British or Americans? If he wants to fight the UK and USA he should follow them the sane way Osama did. More than 4 millions of Zimbabweans have fled the country what else do you want?

Zimbabweans do not want him unless if you want to go to vote for him it's just a matter of time he is living in a borrowed time like all who preceded him. Mobutu, Idi Amin etc.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=2261&page=50

You better relocate and be a trillionare in Zim ..........................
 
Wembe Mkali Mandela Ni Mwenzetu!
Anawatega Magharibi Waliomuweka Ndani Karibia Maisha Yake Yote!
Mmarekani Hathubutu Hata Siku Moja Kupigana Na Mchina!
Narudia..china Ndiye Namba One Super Power Kwa Sasa!
Na Kama Akirogwa Akimvamia Mugabe...basi Ndugu Yangu Taifa La Marekani Litaanguka..afrika Tukae Pembeni.
Tusiingizwe Huko!
Marekani Keshapigwa Bao Na Sasa Anatapa Tapa!
Wazalendo Wana Siri Zote...ila Mandela Anawatega Kwani Anataka Kuona Mwisho Wao Kabla Hajafa!

Sikujua kama kuna ndoto za mchana.
 
Morgan amempa Mugabe 24 hrs ambazo zitaisha mara jua kitakapochonoza 3:00 GMT (27/06/2008)kama asipojibu utaona watakavyomfanya, you just wait - Haendi popote huyu hivi sasa ni wa Wazimbabwe ....... watakula naye sahani moja ..............stay tuned.....
 
Morgan amempa Mugabe 24 hrs ambazo zitaisha mara jua kitakapochonoza 3:00 GMT (27/06/200kama asipojibu utaona watakavyomfanya, you just wait - Haendi popote huyu hivi sasa ni wa Wazimbabwe ....... watakula naye sahani moja ..............stay tuned.....

We'll see!
Mugabe wont waver!
Marekani hawatathubutu kwa Mchina unless mapumbavu ya ZIMBABWE YAAMUE KUPIGANIA MABWANA BADALA YA TAIFA!
 
jmushi,

Hivi kitu kama haujui uwezi kukaa kimya ?
 
Marekani Inamilikiwa Na Mchina Na Mjapani!
Hawatathubutu Zaidi Ya Kuwapa Silaha Hao Wazimbabwe Wapumbavu Wanaotaka Kuirudisha Zimbabwe Kwa Mkoloni!
Tutawasikiliza Vipi Watu Ambao Waligoma Kutupa Uhuru Hadi Tukamwaga Damu!
Nyie Naive...mkoloni Ana Nia Gani Nzuri Na Afrika?
Licha Ya Kwamba Simsapoti Mugabe Moja Kwa Moja...nikiambiwa Nitake Side Basi Sitaki Upande Wa Malikia,blair Na Bush!
Matatizo Ya Waafrika Yatamalizwa Na Waafrika Wenyewe Na Si Wakoloni Ambao Hata Kuondoka Afrika Hawakutaka!
Someni Historia Ya Dunia!
 
Mkuu Kichuguu....

Ardhi siyo jambo la kupuuzia katika nchi iliyo huru.Wewe fikiria leo hii ungekuwa Tanzania halafu ardhi yote yenye rutuba iko kwa wahindi na wazungu wachache na wanaendelea kukuambia kuwa watu weusi hawawezi kumiliki ardhi kwa kuwa hawawezi kuzalisha wewe ndugu yangu ungelielewaje hilo???? na mbaya zaidi mkijadili suala hilo kwa kuwa linahusu wazungu wachache then UK na Marekani inaweka vikwazo vya kiuchumi na kukataa kulipa fidia kama mlivyokubaliana utalielewa hilo???..
Afadhali kama Zimbabwe ingekuwa ni nchi ya viwanda tungesema basi hawa ndugu zetu weusi wataenda viwandani lakini Zimbabwe ardhi ndiyo viwanda,ndiyo maisha,ndiyo utu sasa utafanyaje??? Hata Tsvangirai mwenyewe anaelewa kuwa akiigusa issue ya ardhi itakuwa ndiyo mwisho wa urafiki wake na UK na Marekani....upoo hapo mkuu

-Wembe.

Kwakwelsi hapa ndugu yangu sijaelewa kwani bora Zimbabwe ardhi ilikua kwa wazungu kuliko Tanzania ambayo ardhi yenye rutuba na kila pembe zao la biashara Viomgozi na mafisadi wanavyochukua ardhi kubwa mpaka wana vijiji wanakosa sehemu ya kulima, mifano halisi Mkapa na Sumai na wengine wengi wenye heka zaidi ya mi600 huko Mtibwa wanakolima miwa, niambie hapo kuna tofauti gani na zimbabwe? mbaya zaidi hawa watu wote walikua viongozi na wanajua shida za wakulima na wananchi wakipato cha chini kwa ujumla, waulizeni wakulima wa Mtibwa miwa imekatwa je wamelipwa mpaka leo na nimiwa aliotakiwa kuvunwa mwaka jana shamba la ndugu mkapa lilivunwa na ameshalipwa kitambo walala hoi wanashangaa bado huku wakifanya vikao kila siku, wanategemea pesa hizo waandae mashamba na pia ada za watoto na mambo mengine mengi muhimu ya maisha. Kiufupi tofauti ya TZ na Zimbabwe ni kuwa wake ni wahamiaji na sisi ni wazawa na viongozi wangazi za juu na MAFISADI waliokithiri.
 
Baeleze baeleze bandugu!
TAIFA LETU WENYEWE HALIKO HURU!
 
Mambo si mambo huko Zimbabwe.
Bush na Tsivagarai kweli hawajui siasa na Mugabe mwenyewe anaelekea kuwapiga bao!
Kwani keshatoa kauli ya kisiasa ambayo kwa baadhi ya wachambuzi wa mambo...Ni ya kimtego!
Kasema yuko tayari kushirikiana na wapinzani.
Lakini wakati huo huo uchaguzi bado utaendelea na hivyo hata wakikaa mezani Mugabe ndiyo atakuwa ana call the shots!
Ban ki moon naye keshapewa order na Bush na anadai uchaguzi huo si huru!
Kaazi kweli kweli!
Furaha yangu ni kuwa Kikwete hajashirikishwa huko na hivyo tunataka watupe uhuru wetu kwanza!
 
Ndugu zangu, ninaposoma hoja za watetezi wa Robert Mugabe ninajisikia mwili kutetemeka na kusikitika sana. Kisha ninajiuliza, hivi kama haya yanayotokea Zimbabwe wakati huu (mauaji ya raia kwa sababu tu ya kutompigia kura Mugabe) yangekuwa yanatokea Tanzania na kuwaathiri ndugu na jamaa za watetezi wa Mugabe, je hawa watetezi wa Mugabe wangebaki na misimamo waliyo nayo sasa?

Na ile hoja kwamba UK na US wanataka kumweka Morgan madarakani, je kura ambazo Morgan alipata katika duru ya kwanza ya uchaguzi zilipigwa na Waingerza na Wamarekani?

Kutokana na hoja za utetezi wa Mugabe, ninapatwa na hofu kuwa hata ukombozi kwa ajili Tanzania yetu itakuwa vigumu kuufikia. Nasema hivi kwa sababu kama kuna watu watajitoa mhanga kwa njia halali kutetea kwa dhati ukombozi wa wananchi wanaodhulumiwa na kukandamizwa na AFISADI watetezi wa watu kama Mugabe watawaita mashujaa hao "vibaraka wa Wazungu." Hali hii itavunja moyo wenye vuguvugu la mabadiliko ya kweli nchini mwetu.

Mimi ninadhani, tuwe wajasiri wa kukemea maovu bila kujali anayefanya maovu hayo ni mtu wa rangi nyeupe au nyeusi, Mzungu au Mwafrika, 'mwenzetu au asiye mwenzetu.'

Wanaotofautiana na maoni yangu nawashauri wajaribu 'KUOMBA' kwamba yanayotokea Zimbabwe sasa yatokee Tanzania na miongoni mwa waathirika wawe ni watu wanaowahusu kwa karibu.

Naomba kutoa hoja.
 
Vikwazo ni TACTICS ZA KUI ISOLATE SERIKALI NA WATU WAKE!
KAMA SI SANCTIONS...BASI MUGABE ANGEWEZA KUSHINDA USHINDI WA TSUNAMI!
KUNA NJIA YA KUUSHUGHULIKIA MGOGORO HUU LAKINI OPTION SI KUFANYA WANACHOTAKA BUSH NA BLAIR.
BUSH NA BLAIR WALISHAKUBALIANA KITAMBO TU ON IRAQ AND ZIMBABWE AS IN SADDAM AND MUGABE.
WASIWAPANGIE WAAFRIKA CHA KUFANYA KWANI MATOKEO YAKE HAYATAMNUFAISHA MWAFRIKA BALI MKOLONI.
 
Back
Top Bottom