Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

kumbe Sasa Napata Sababu Kwa Nini Dada Zetu Wanajichubua, Na Hata Baadhi Ya Kaka Zetu Nao Wanajichubua.......!
Ni Ile Hali Ya Kuchukia Kila Cheusi......!
Hatred Hii Imeenda Mpaka Kwenye Zimbabwe Issue.....!

Ni Propaganda Na Ndio Maana Wakakataa Kumweka Papa Mweusi Na Kumweka Ambaye Ni Mjerumani Mwenye Kashfa Ya Unazi!
Sisemi Kwamba Ni Kweli!
Lakini You Dont Gotta Be White To Be Right!
 
Chukueni ushauri wangu at least once!
kusini mwa AFRIKA WASHAJUA DILI LOTE NA KIKWETE HAWEZI TENA KUINGILIA MASULA HAYO!
PLAN B...TUNATAKA NCHI YETU BACK FROM SINCLAIR...ROSTAM...BUSH ET ETC!
HUU NI WAKATI WA AFRIKA HIVYO TUSIENDE VITANI KWANI MUNGU KESHACHAGUA AFRIKA!
TUMUOMBE YEYE NA KUWEKA WAZALENDO MBELE!
WANA JF I AM NO BODY...! I AGREE!
BUT APPARENTLY EVERYTHING I SAID SINCE I JOINED JF HAPPENED TO BE TRUE!
 
Nakwenda Kulala Lakini Kesho Zitto Aje Na Kuwaomba Wazalendo Msamaha!
Tunamwitaji Kijana Huyu Aliyedanganywa Na Mkuu Wa Nchi Kwa Maslahi Ya Chama!
Kikwete Nitakulaumu Kama Maisha Ya Zitto Ya Kisiasa Yakiwa Tabu!
Zitto Ni Kijana Wetu Na Tunamwitaji!
Zitto!
Come Back! Pls!
 
Obama Ni Mpango Wa Mungu!

Ni Mweusi,ni Mweupe,ni Muislam,ni Mkristo!

Wazungu Wanasema Ni Pundamilia Mweupe Mwenye Miraba Miyeusi!

Na Sisi Tunasema Ni Mweusi Mwenye Miraba Myeupe!

Hatutaki Hayo!

Wote Ni Binadamu!

AFRIKA INATAKA WAZALENDO REGARDLESS OF RELIGION OR ANY SORT OF AFFILIATION!

Lets Change The World!

Dunia Nzima Inajua Tz Ni The Best!

Tusikubali Kina Mkapa,kikwete Na Wengineo Watuharibiei Sifa Yetu Kwa Uelewa Wao Mdogo!

Nilichukia Sana Viongozi Wadini Walipokuwa Wakisema Kikwete Ni Mpango Wa Mungu Kwani Maisha Still Ni Magumu!

Lakini nilelewa majuzi!

Nikatoa Mfano Wa Ayubu!

Six Naona Alikwa Hapa Kwani Aliutoa Mfano Wangu Na Kumwalika Mwakasege!

Waislam sijui kama walisikilza ushauri!

ila wamkumbuke mwalimu!

Tanzania Wake Up!
Mafisadi Wakishinda Basi Tunarudi Utumwani!
 
Nakwenda Kulala Lakini Kesho Zitto Ake Na Kuwaomba Wazalendo Msamaha!
Tunamwtaji Kijana Huyu Aliyedanganywa Na Mkuu Wa Nchi Kwa Maslahi Ya Chama!
Kikwete Nitakulaumu Kama Maisha Ya Zitto Ya Kisiasa Yakiwa Tabu!
Zitto Ni Kijana Wetu Na Tunamwitaji!
Zitto!
Come Back! Pls!

sisi huku nyumbani ndo asubuhi nami nimeamka nakwenda kwenye paper....!
wish me best performance....!
 
Ninakataa kwa nguvu zangu zote vita hivi vya zimbabwe kwasababu najua kinachoendelea!

Naomba tusidharauliane maoni yetu!
Mpango huu ulishapangwa kitambo!

Blair alimpa Bush support Iraq kinyume na matakwa ya wananchi ili na yeye apewe sapoti huko zimbabwe!

Mugabe ni saddam wa Blair kama ilivyo Saddam kuwa Mugabe wa Bush.
Dili lilishapangwa kule kwenye g8 summitt!

Ndugu Jmushi1,

Sijui niwaeleze vipi ndugu zangu hawa nao japo waelewe kuwa issue ya Zimbabwe ni mchezo wa kimahesabu ambao ulishasukwa muda mrefu na UK na Marekani.Lengo ni kumwadhibu Mugabe kwa kuleta kiburi na kutowasikiliza pale alipoamua kutwaa mashamba ya weupe kule Zimbabwe na kuwagawia weusi.
Kinachoiua Zimbabwe ni ECONOMIC SANCTIONS which were put in place by UK and AMERICA!!!!!!!
Mbinu hii huwa ndiyo silaha yao ya kwanza kwa adui wao.Saadam alidondoka bila ya yeye mwenyewe kutambua ninini kimempata,Uchumi wake ulikuwa dhaifu,majeshi yake yalikuwa dhoofu ukilinganisha na ile vita ya awali ya ghuba.Ghadafi na ubabe wake wote alisalimu amri na kujirudisha kundini kutokana na vikwazo vya kiuchumi.Tunaona pia wanajaribu kule Iran,lakini kule inakuwa vigumu kwani Urusi na Uchina nao wanazointerests zao.Walijaribu pia North Korea ila yule bingwa akasema siku UK na Marekani watakapo weka vikwazo vya uchumi kwa N.korea watakuwa wametangaza vita dhidi ya Taifa hilo na mchezo mzima ukawa mgumu.
Sasa wengi wetu tunaona matokeo tu ya hivi vikwazo vya kiuchumi na tayari tunaanza kukurupuka na kila aina ya maneno na kuona kuwa solution anayo Tsvangirai na si vinginevyo.
Hata kama Tsvangirai akiingia madarakani leo na vikwazo vya kiuchumi kuendelea basi usitegemee kuwe na mabadiliko yoyote yale ya uchumi.
Sasa kama tunawatakia mema wazimbabwe inabidi viongozi wa kiafrika kuungana na kuzipresha UK na Marekani kuondoa mara moja hivyo vikwazo vya kiuchumi kabla ya kuanza any kind of dialogue.

-Wembe.
 
........western Propaganda.....turns Mugabe....into A Tyrant....!
 
sisi huku nyumbani ndo asubuhi nami nimeamka nakwenda kwenye paper....!
wish me best performance....!

Thanks comrade!

PLS FIGHT FOR RIGHTEOUSNESS! AND JUSTICE!

GOD WILLING LIKE I BELIEVE OR LIKE ALL PATRIOTS SEES SOMETHING LIKE A LIGHT IN A TUNNEL!

WE WILL BE VICTORIOUS!

SAY HI TO THE FELLAS WHO BELIEVE IN THE CAUSE!

LETS GET IN THE HISTORY!
LETS FIGHT FOR THE COMING GENERATIONS JUST LIKE OUR BELOVED GRAND GRAND PARENTS FOUGHT FOR OUR IMMEDIATE FREEDOM!

WE ARE IN AOTHER FREEDOM FIGHTING!
FREEDOM NOT TO DIE FOR HUNGER OR PREVENTABLE DISESES!
FREEDOM TO BE FRR OF CORRUPTION SO THAT WE CAN MAKE OUR OWN DECISION WITHOUT FEAR!
 
........western Propaganda.....turns Mugabe....into A Tyrant....!

He wasn't a tyrant when he sold them the land!
But when he realised and kicked him out...They made him a tyrant just like SADDAM!
Just like KIKWETE WHO SOLD OUT THE COUNTRY YET HE IS THE BEST FOR THEM!
WE DONT NEED NO ONE TO TELL US WHO IS RIGHT FOR US!
IF WE ARE FREE...WE WILL KNOW WHO IS THE BEST FOR US!
AMANDLA!SEE YOU TOMMOROW MATHS!
DO SOME MATH FOR ME CAUSE I KNOW ITS YOUR FAVORITE SUBJECT!
 
Sidhani kama kuna watu wanabishia uningiliaji wa nchi za magharibi kwa interests zao lakini tusifumbie macho kwa jinsi naye Mugabe ambavyo anaiendesha Zimbabwe.

Hivi mugabe anataka kutuambia ni yeye peke yake ndio alipigania uhuru wa Zimbabwe au ni yeye peke yake ndio ana uchungu na Zimbabwe?

Tufanye hayo hapo juu ni kweli, basi ajifunze kurithisha wengine ambao anaona wana uchungu na hiyo nchi kama yeye, kwani naamini wapo. Urais miaka 28? Tangu hatujui mambo ya computer, internet, mobile phones, TV/Flat screen TVs na mengineyo mengi, yeye bado tu ni rais? Jamani hata akili yake imechoka na kama ni ufalme basi ni bora angesema na kama wazimbabwe wanakubali hakuna ambaye angemsumbua.

Lakini kama ni demokrasia basi yeye hayuko kabisa katika eneo hilo. Mugabe atalaumu nchi za magharibi na itaonekana sahihi na baadhi lakini hata yeye amekaa vibaya na kujisahau ambako kumepelekea watu wa Zimbabwe wawe katika hali mbaya mno.

Aondoke. Zimbabwe sio mali binafsi. Any Zimbabwean can make a good president kama ana uchungu na nchi yake. Of course sikubaliani na Tsivangarai anavyopelekesha mambo yake, lakini hao sio watu pekee waipendao na wenye uchungu na nchi yao.
 
Mugabe hafai na anaiaibisha Zimbabwe na Afrika nzima; hayo madai ya USA na UK ni uongo anaotumia kujstfy hali ngumu ya nchi yake bila kuangalia madhara ya utawala wake mwenyewe. Mugabe ameanza kupigwa vita na watu wake kutokana na uongozi mbovu tangu mwaka 1997 hata kabla hajanyang'anya hayo mashamba. Alikurupukia kunyang'anya mashamba yale kusudi kulinda kiti chake wakati wa uchaguzi wa mwaka 2000 alipokuwa na wakati mgumu sana kisiasa. Katika kampeini hizi za sasa amekuwa anarudia maneno hayo kuwa hataondoka madarakani mpaka amemaliza kugawa mashamba yote ya wazungu.

Mkuu Kichuguu,

Unaposema MUGABE anaiaibisha ZIMBABWE na AFRIKA NZIMA unamaana gani??!! Anaiaibisha AFRIKA kwa nani??!! Ni nani huyo unayemuheshimu na kumtukuza kwa woga kiasi hicho??!! Au na wee ni wale wale akina Masanja wanaoendelea kuwatukuza wazungu akina bushh, condole na uk?? Msemo wako wa Mugabe anaiaibisha Zimbabwe na AFRIKA NZIMA kwa mtu mwenye akili kishaelewa kwamba unaongelea AFRIKA kuaibika machoni mwa WAZUNGU na WAASIA. Hakika unashangaza sana mkuu! Jipange upya.
 
Sidhani kama kuna watu wanabishia uningiliaji wa nchi za magharibi kwa interests zao lakini tusifumbie macho kwa jinsi naye Mugabe ambavyo anaiendesha Zimbabwe.

Wakuu acheni hizi nyepesi nyepesi, kwani kina Kubenea walimwagiwa tindikali na nani? Sasa wanaohusika sio sawa na Muagbe? Kinachowauma sana kuhusu huko Zimbabwe lakini sio hapa bongo ni nini hasa?

Yanayotendeka huko kwa Mugabe na hapa bongo ni yale yale, lakini in different level, mbona inakuwa unafiki mtupu na sisi wabongo?
 
Mkuu Kichuguu,

Unaposema MUGABE anaiaibisha ZIMBABWE na AFRIKA NZIMA unamaana gani??!! Anaiaibisha AFRIKA kwa nani??!! Ni nani huyo unayemuheshimu na kumtukuza kwa woga kiasi hicho??!! Au na wee ni wale wale akina Masanja wanaoendelea kuwatukuza wazungu akina bushh, condole na uk?? Msemo wako wa Mugabe anaiaibisha Zimbabwe na AFRIKA NZIMA kwa mtu mwenye akili kishaelewa kwamba unaongelea AFRIKA kuaibika machoni mwa WAZUNGU na WAASIA. Hakina unashangaza sana mkuu! Jipange upya.
Debate inafurahisha hii
 
Mpaka sasa,katika ng'we hii tuu ya uchaguzi huko Zimbabwe, takhriban watu 86 wameuawa na wengi zaidi kuteswa, kuumizwa na kupoteza makazi. Katika mwaka huu ni watanzania wangapi wamepoteza maisha yao, kuteswa na kupoteza makazi yao kutokana na ku'support' upande mwingine katika siasa?

Tanzania si Zimbabwe. Tunakemea ya Zimbabwe ili na sisi tusifike huko na kama ikitokea tukafika huko, wawepo wa kuwakemea watakaokuwa wanatutendea maovu. Pamoja na hili, hawa ni ndugu zetu. Kama tunavyowakemea waisraeli na wamerekani basi hata huyu Mugabe naye akemewe.

Aluta Continua!

Amandla.........
 
Bila kujali motive ya westernes, mtu anayesababisha mamilioni ya raia wake kukimbia nchi kwa njaa na matatizo mengi hastahili kuwa kiongozi Afrika.

Hawa ndio wanaipa nguvu dhana ya Ngabu....wanaabisha Afrika.

mkuu...

Wanaiaibisha afrika kwa nani???!!!...........

Wazanzibar walipokimbilia Kenya kwa mauwaji yaliyofanywa na jeshin la serikali ya ccm ulichukua hatua gani?! Acheni unafiki na kujikomba kwa wazungu.

Kwa taarifa yako Tvangr.. hata akipewa urais na hao akina us na uk nakuhakikishia hatafika popote kwani usalama wa taifa na jeshi kwa ujumla hawamtaki. Na haohao wenye nchi (JESH) ndio waliomtaka Mzee Mugabe asiachie madaraka kwani wameapa kumlinda kwa gharama yoyote ile, na wako tayari kumwangusha kibaraka yeyote atakayewekwa na wahuni wa kizungu.
 
Unfortunately hizi propaganda ndio pia zimewafanya wakuu wetu ikiwa ni pamoja na wabunge vijana kama Zitto, kumuona kuwa Mugabe ni kituko cha Africa. Upande mwingine wa shilingi wala hawahangaiki nao tena kuungalia.


Shame on them all.

That's correct!
 
mkuu...

Wanaiaibisha afrika kwa nani???!!!...........

Wazanzibar walipokimbilia Kenya kwa mauwaji yaliyofanywa na jeshin la serikali ya ccm ulichukua hatua gani?! Acheni unafiki na kujikomba kwa wazungu.

Kwa taarifa yako Tvangr.. hata akipewa urais na hao akina us na uk nakuhakikishia hatafika popote kwani usalama wa taifa na jeshi kwa ujumla hawamtaki. Na haohao wenye nchi (JESH) ndio waliomtaka Mzee Mugabe asiachie madaraka kwani wameapa kumlinda kwa gharama yoyote ile, na wako tayari kumwangusha kibaraka yeyote atakayewekwa na wahuni wa kizungu.


Sasa utamwambia nini mtu anayeamini kuwa jeshi ndiyo lenye nchi? Kama Mkuu mwenyewe alivyosema; yaani kweli niondoke kwa sababu ya ki X kwenye karatasi wakati nina bunduki?

Halafu bado mnahoji kwa nini tunaonekana kama vikaragosi?

Lord have mercy.

By the way, kwa nini usiwe kunguruMWEUSI!!!?
 
Back
Top Bottom