Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Hapendi Usocialist or Ucommunist; anakuwa nao sababu hana njia

Yeye kagundua Almasi kibao Zimbabwe na wachimbaji ni Local Investors Unajua Zimbabwe wafanya biashara wao wana pesa za kuendesha biashara au kuanzisha biashara za Madini sio sawa sawa na wafanya biashara wetu wanyonge hawana Capital in the Bank or Capital Investment

Almasi zao ni bora, kwahiyo nchi nyingi wanazipenda haswa China wananunua, wanawapa Zimbabwe Us Dollars, pia wanaweka Swiss Bank kulipia madeni yao

Hapo wanafanya vizuri - na hauoni Umasikini wa wazimbabwe sana kwasababu wamesoma kweli hadi vijijini

Elimu inaficha Mpweke na Masikini
 
polisi wa tz wanawaua wa tz wakilinda migodi at the same time salary yake...
 
Mugabe sio Rais wa kutembembeza bakuli na kujichekesha chekesha kma wa wa kwetu Watanzani tuamuke jaman muda wa kulalA umekwisha sasa, muda wa kusema tumuachie Mungu umekwisha sasa,tuungane na wapigania haki ya kweli na kuiangusha CCM 2015
 
Baada ya kumfanyia mibano ya kiuchumi iliyopeleikea kushusha thamani ya pesa ya Zimbabwe, Rais Mugabe ameruhusu matumizi ya dola za Marekani katika matumizi yote ya kawaida ndani ya nchi.

Mkuu I think the guy is a lunatic (when it comes to this issue anyway) in order to use something lazima uwe nacho.., sasa wewe uanze kutumia dollar leo wakati hazipo kwenye mifuko ya watu wala kwenye mabenki (and worse still government haiwezi kuziprint).

kwahio mkuu bei ya vitu au dhamani ya kitu hupanda na kushuka kutokana na demand and supply.., kwa vile dollar itakuwa scarce vitu vitakuwa bei rahisi kwa mwananchi lakini still hatakuwa hawezi ku-afford, pia sijui mishahara ya civil servants italipwa kwa nini na hizo dollar zitatoka wapi...

In short in this issue sioni mantiki yake kabisa...., To put it bluntly... This does not make economic sense
 
Hakuna Mzimbabwe wa kawaida anaifaidia na hali ya sasa. Wanaofaidika ni Mugabe na jeshi tu! Tatizo la Africa si wazungu wala wawekezaji ni Wafrica wenyewe! muda wa mkoloni umeshapita hakuna lawama tena!
sina hakika sana nawe but you sound like you are not in here,i mean Africa,though indigeneous you might be
 
Back
Top Bottom