Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

IRAQI SI IRAQI TENA!

WALIKUWA WAMOJA NA SASA WANAPIGANA TU! SUNNI VS SHIITE VS KURDI ETC ETC!

WE DONT WANT MANDEBELE BROTHERS IN THE RHODESIAN LAND TO FIGHT FOR THE MAKABURUS...SINCLAIR,BUSH,CLINTON, BLAIR..ETC ETC

WE WANT FREEDOM!

IRAQI NI NCHI YA PILI KWA MAFUTA DUNIANI LAKINI SASA WANAPANGA FOLENI KWA MAFUTA AMBAYO NI YAO!

HAWANA UMEME! MAISHA YALIKUWA BORA KULIKO SASA CHINI YA SADDAM AMBAYE WALISEMA NI MUUAJI!

WANACHI WA IRAQI ALIOWAUWA BUSH NI WENGI KULIKO ALIOWAUWA SADDAM!

MADINI NI YETU HATUNA MAJI,BARABARA WALA HOSPITALI!

AFRIKANS DONT NEED MUCH! JUST A LITTLE BIT!

HATUTAKI VITA ,HATUTAKI SILAHA ZA CHENNEY!

TUNATAKA UHURU UPENDO,UMOJA,HAKI NA DIGNITY!

TUNATAKA RASILIMALI NA UTAJIRI WETU UTUKOMBOE DHIDI YA MAGONJWA NA NJAA!

WAZALENDO...WE NEED AFRIKA BACK SO THAT WE CAN CALL THE SHOTS! INSTEAD OF YOUNG, BLAIR, TISIVANGARAI, KIKWETE, ZITTO, BUSH AND BLAIR!

TANZANIA YOU ARE THE LIGHT OF AFRIKA!

WAZALENDO CHUKUENI NCHI MUPANDISHE BENDERA YA UHURU MLIMA KILIMANJARO...ILI AFRIKA NA MADELA NA WAZAlendo wafurahie matunda kabla ya kifo!

Mandela na wazalendo wengine ni wakombozi!
Afrika should be ONE!

Asante OBASANJO NA WENGINEO!

GOD WILL RECEIVE YOU!

GOD WILL MAKE YOU HIGHER!
 
Kama marekani wana nia nzuri!

Basi wamuondoe MANDELA KWENYE LISTI YA UGAIDI!

MANDELA AMBAYE HAWAKUTAKA AACHIWE HURU!

WAMUONDOE HUKO NA ANC KABLA HATUJAAMUA KUWA NI KWELI WANA NIA NZURI NA AFRIKA!

KIKWETE NA ZITTO MPIGIENI MANDELA SIMU NA AKIKUBALI VITA NA MIMI NITAWASAPOTI KWANI YEYE NDIYE SHUJAA ALIYEBAKI!

NDIYE KIONGOZI WA AFRIKA...SI BUSH,SI KIKWETE,SI SINCLAIR,SI ADREW YOUNG,SI DICK CHENNEY,SI TSIVANGARAI!

AFRIKA NEEDS TO BE FREE!

AFRIKA IS THE RICHEST CONTINENT IN THE WORLD!

AFRICA SHOULD LEAD THE WORLD!

AFRIKA SHOULD NEVER STARVE...SHOULD NEVER DIE WITH PREVETED DISEASES!

LETS GET TOGETHER AND CHANGE THE WORLD!

...Mush Mandela ameshaondolewa kwenye hiyo list like 3 month ago na motion iliyowekwa na Congresswoman from California(dont remember the name),lakini technically he was not considered terrorist na United States na ndi maana anaweza kuingia states na kufanya chochote na ni kiongozi wa kwanza mwafrika kuhutubia Congress na kutunukiwa Gold congressional medal(highest honor from the congress)...acha kumfanya Mandela yuko considered as Osama in States ni mtu anaheshimika sana huku na hata serikali ya Marekani wanamuheshimu na hata akija ingawaje sio Raisi ana uwezo wa kwenda White House na last time alivyokuja ingawaje hakuonana na Bush lakini alipewa secret service(i was there)....so no such thing as terrorist Mandela!
 
Ni Kivipi Tuwape Madini Kama Gold Na Diamond Na Wao Watupe Silaha?
Tsivagarai Ni Chaguo Lao Baada Ya Kuwafanya Wanachi Wa Zimbawe Wafe Njaa Licha Ya Kwamba Taifa Lao Limewalisha Makaburu Kwa Maisha Yao Yote!

Afrika Iliijenga Marekani,uk Nk!

Si Tu Kwa Rasilamali...bali Hata Kwa Nguvu Kazi Kwa Kutumia Utumwa!

Hatustahili Kuwa Na Deni Kwa Mzungu!

Mzungu Ndio Ana Deni Kwetu!

Ni Haki Yetu!

Tumrudie Mungu Atatupa!
 
..possibily unazungumzia Congresswoman Maxime Waters, D-Compton!!!

...thanks kwa kutaja jina maana hawa jamaa wangeweza kuniona fix,waambie hawa vijana na mambo yao ya kumpa unnecessary excuse huyu criminal huku millions wana suffer kutokana na upumbavu wa Mugabe,mnalia mafisadi kina Mushi lakini ndio wa kwanza kutetea mafisadi kama Mugabe,kuna ufisadi zaidi ya kuwafanya nusu ya wananchi wako wakimbizi na 80% unemployment? just think!
 
...Mush Mandela ameshaondolewa kwenye hiyo list like 3 month ago na motion iliyowekwa na Congresswoman from California(dont remember the name),lakini technically he was not considered terrorist na United States na ndi maana anaweza kuingia states na kufanya chochote na ni kiongozi wa kwanza mwafrika kuhutubia Congress na kutunukiwa Gold congressional medal(highest honor from the congress)...acha kumfanya Mandela yuko considered as Osama in States ni mtu anaheshimika sana huku na hata serikali ya Marekani wanamuheshimu na hata akija ingawaje sio Raisi ana uwezo wa kwenda White House na last time alivyokuja ingawaje hakuonana na Bush lakini alipewa secret service(i was there)....so no such thing as terrorist Mandela!

Leta udhibitisho kuwa mandela katolewa kwenye listi ya ugaidi!
we unafikiri kwanini Mandela yuko kimya?
Anajua anachofanya!
Akimtetea Mugabe wazi wazi wanaweza kumkamata tena! BUSH NA CHENNEY NA LABDA CONDOLLEZA RICE HAWAKUTAKA AWE HURU!

MWALIMU KAFA...BALI MADIBA YU HAI!

TUMUUNGE MKONO!

AKIMWAMBIA KIKWETE AENDE VITANI HATA MIMI NITAJIADIKISHA KWENDA VITANI KUMUONDOA MUGABE KAMA KWELI HIO NDO LAST OPTION!

MWALIMU ALING'ATUKA KWA SHINIKIZO LA MAGHARIBI MARA BAADA YA USSR KUANGUKA!

HUWA NAWAAMBIA WAZUNGU HATA NADARASANI!

HAWAKUUPENDA USOSHALISTI LAKINI KAMA SIO USOSHAKISTI WALIOAMUA KUUKUMBATI KINAFIKI...BASI HATA MAREKANI INGEKUWA KAMA URUSI!

FBI ILIYOANZISHWA ILIDHIBITI HALI HIYO!

WAKAAMUA KUWAPA WATU PESA KAMA HAWANA KAZI!

YMCA IKAANZISHWA KWANI KARL MAX ALIKUWA ACHUKUE DUNIA!

NINAWAPA HATA WAMAREKANI USHAURI...SITAKI UKOMUNISTI WALA UBEPERI!

NATAKA HAKI...HAKI HAAITAJI COMMUNISM,SOCILALISM MA AYTHING ELSE!

JUSTICE,DIGNITY AND EQUALITY DEMANDS EMPATHY!

THE ABILITY TO CONSIDER OTHER HUMAN BEINGS BEFORE DOGS OR ANY KINADA PETS!

DIGNITY FIRST!

LAKINI SI SINCLAIR,BLAIR,BUSH WALA MWINGINE YEYOTE YULE!

TANZANIA...KWANINI MADIBA HAJAVUSHA MGUU TANGU MWALIMU AFE KAMA KWELI TUNA USHAWISHI NA MATAIFA YAKUSINI KAMA BEFOR?

FUNGUENI MACHO WATANZANIA!

AMANI TULIYONAYO ITATUPA CREDIBILITY YA KUWA VIONGOZI WA AFRIKA KAMA MWALIMU ALIVYOKUWA!

NA SI KAMA KIKWETE ALIVYOIPOTEZA KWA KUWAKUMBATIA NA KUWASAFISHA MAFISADI BILA YA KUSIKILIZA USHAURI KUWA HATA TANZANIA NI NCHI YA MUNGU NA SI IRAN AMA MAREKANI PEKEE!
 
Kichuguuu,
Mkuu nitasema moja tu rudia kusoma vizuri historia ya habari ulizoandika... utakuta mengi uliyosema umeyapamba kama wazungu wanvyofanya tofauti na msukumo halisi wa yale yalioajiri.. siwezi kurudia kila neno uloandika isipokuwa rudia kusoma vizuri kila ulichoandika.. yapo marekebisho mengi sana..as a fact karibu kila ibara yako ina makosa..

Kaka Mkandara, habari za siku nyingi.

Asante sana. Nimerudia yote na kugundua kuwa nilifanya kosa moja kwenye ibara ya pili ambapo nimefanyia msahihisho sentensi mwisho isomekayo hivi:

"Mugabe alifanya njama za kumwua Josiah Tongogara ambaye pamoja na kuwa mshona, alikuwa anasimama kuhakikisha kuwa Nkomo na wandebele wa ZAPU wana sauti kubwa kwenye serikali mpya baada ukombozi, jambo ambalo Mugabe aliliona kuwa ni tishio sana kwa usalama wake kisiasa."

Badala yake isomeke kama ifuatavyo:

"Mugabe alifanya njama za kumwua Josiah Tongogara ambaye pamoja na kuwa mshona, alikuwa anasimama kuhakikisha kuwa Nkomo na wandebele wa ZAPU wana sauti kwenye serikali mpya baada ukombozi, jambo ambalo Mugabe aliliona kuwa ni tishio sana kwa usalama wake kisiasa."

Mengine yote yaliyobaki ni sahihi. Kabla ya mwaka 1974 Mugabe alikuwa hajulikani mpaka pale akina Ndabaningi Sithole na Abel Muzorewa walipoboa. In fact aliwekwa madarakani kwa nguvu za Edgar Tekere ikiwa ni namna ya kum-enzi kwa vile wakati huo alikuwa jela. Lakini, je unajua leo hii Mzee huyu amemfanyia nini huyo Edgar Tekere? sijui kama kweli wazungu wanataka niseme hivyo. Labda tafuta maneno ya Edgar Tekere mwenyewe.

Leo hii dola moja ya kimarekani inakupa mamilioni kadhaa ya Zim$. Mwaka 1989 na 1990 tulikuwa tunabadilisha dola moja kwa Zim dola mbili, sijui kama kweli wazungu wanataka niseme hivyo wakati huo ndio ukweli wenyewe. Pitia forum za wazimbabwe wenyewe kama pale Newzimbabwe.com ujue yaliyoko mioyoni mwao. Ndiyo maana mzee huyu alikuwa ameshindwa outright kwenye uchaguzi lakini akalazimisha urudiwe kusudi apate mwanya wa kuwadhibiti waliomshinda.

Katika miaka kumi ya kwanza ya utawala wake angeweka order ya namna ya kugawanya ardhi upya, siyo kumnyang'anya mtu mweupe ardhi ye heka 600 zote umpe mtu mweusi mmoja bila kujua ardhi hiyo itatumikaje baada ya hapo, hayo yalikuwa ni makosa; na yote yalitokea mwaka 2000 wakati babu akiwa amekabwa shingo kutokana na kuendesha uchumi kizembe

Hayo ya mauaji ya Gukurahundi yanajulikana wazi. In fact yule kamanda aliyeendesha mauaji yale kamanda Perence Shiri alipandishwa cheo na leo hii ndiye mkuu wa majeshi ya anga. Ni kati ya makamanda wa jeshi waliosema kuwa hawataruhusu ushindani uchukue madaraka Zimbabwe. Ukitaka taarifa zaidi wewe goggle Gukurahundi. Wandebele waliuwawa kwa kutumia 5th brigade iliyokuwa imefundishwa na jeshi Korea. Ni wakati huo ndipo Nkomo akakimbia nchi. Baada ya mauaji yale Mzee Mugabe alijidai kusikitika sana na kuanzisha namna ya kutibu madonda yale hasa baada ya akina Nyerere na Kaunda kumbana. Ndipo akaamua kumrudisha Nkomo kama makamu wa Rais. Yote hayo yalikuwa ni machozi ya mamba.

Kama una rekodi nzuri ya Mugabe niambie ila mimi binafsi nimekuwa kwenye circles za wazimbabwe kwa muda mrefu sana kiasi kuwa histora yao ninaifahamu vya kutosha.
 
Marekani walimsapoti SADDAM kwasababu hawakutaka influnce ya SHIITE KUWA KUBWA!
KWANI SHIITE NI WASILAMU WASIOPENDWA NA SUNNI!

NI WAIRANI WENYE UHUSIANO WA DAMU NA MTUME WAO MUHAMMADI!

SUNNI HUENDA MEKKA!

SHIA HUENDA MEKKA PIA ILA HUENDA IRAQ KUMWABUDU HUSSEIN AMBAYE NI MJUKUU WA MUHAMMAD!

Kwa wale waliowahi waliowahi kuona DAVINCI CODE WATAELEWA KAMA WANAJUA HISTORIA YA DUNIA!

WAKRISTO WALIEPUKA MATATIZO YA IMANI YAO KWANI HAWAKUAMUA KUABUDU WALE AMBAO KIASILI WALIKUWA NA UHUSIANO WA DAMU NA YESU!

SHIITE NI KIZAZI CHA MTUME WA WAISLAMU!
WANATAKA WAHESHIMIWE KWA HILO!
SUNNI HAWATAKI KWANI SI MAMBO YA UKABILA BALI ALICHOFANYA MUHAMMAD!

WAKRISTO...WALIWAUWA WALE WENYE UHUSIANO NA JESUS...UHUSIANO WA DAMU ILI WASIWEZE KUTEKA NGUVU ZA VATICAN!

NI HISTORIA!

NI LINI TUTAPIGANIA HISTORIA NA UHURU WA AFRIKA AMBAYO WAZUNGU WALIONDOKA BILA KUPENDA?
 
Hii Mizimbabwe na yenyewe mijinga ya kutupwa!! Inakuwaje inamwacha mtu mmoja awe na mimadaraka hivyo? Kwani wakimgomea leo atafanya nini...atawapiga mboko? Miafrika bana....ianshangaza sana.....
 
Hii Mizimbabwe na yenyewe mijinga ya kutupwa!! Inakuwaje inamwacha mtu mmoja awe na mimadaraka hivyo? Kwani wakimgomea leo atafanya nini...atawapiga mboko? Miafrika bana....ianshangaza sana.....


...kwa mara ya kwanza leo una make sense,fool!
 
Jimmy Carter hapendwi na mabaguzi haswa haswa wadini ambao wanaamini MAREKANI NI NCHI YA WAKRISTO!

WAKRISTO WALIOMSAPOTI BUSH!

UONGOZI WA CARTER ANAYEMSAPOTI OBAMA HAUPENDWI NA MABAGUZI AMBAO HAWATAKI UHURU!

NA HATA MC CAIN AMBAYE KESHAINGIA UBIA NA BUSH ILIVITA YA IRAQI IENDELEE NA KUWANUFAISHA WACHACHE BADALA YA WANCHI!

UONGOZI WA CARTER ULISABABISHA MAPINDUZI YA KIISLAM YA IRANI BAADA YA MAREKANI KUWEKA UTAWALA WA KIFALME WA SHAH ALIYEKUBALI KUIUZA NCHI KWASABAU YA PRESHA YA MAREKANI

HIVYO KINA BUSH WANATUMIA GIA HIYO KUMUUA OBAMA! NA WAKATI HATA CARTER MWENYEWE NI MLOKOLE!

MKAWAULIZE UBALOZI HAPO KAMA NADANGANYA!

NA WALIPOONA BUSH MATENDO YAKE NI YA KIOVU...WAKASAMBAZA UJUMBE WA KU CONFUSE KWA WAAFRIKA KUWA HUYU NI MJUMBE WA SHETANI! NA SI MLOKOLE TENA!?

PROPAGANDA!

WALIMWEKA RICE ILI KUFICHA MAOVU NA WANATAKA KUMTUMIA KAMA TOKEN YA KUPAMBANA NA OBAMA KUWA NI MWEUSI MSIKIVU MWENYE KUMSIKILIZA BUSH KAMA KIKWETE, NA TSIVANGARAI!

WANA MWONEA KIKWETE KWASABABU YA KASHFA YA UFISADI KWANI WANAJUWA SIRI ZOTE NA WANAMTISHA ILI AWASIKILZE!

DAWA YA KUWA HURU NI KUPIGA VITA UFISADI NA SI KUSIKILIZA SINCLAIR,BUSH,YOUNG AMA YEYOTE YULE!

WALIMCHAGUA BUSH MARA MBILI KWANI ALIWAAHIDI KUWAPA DUNIA!
MIMI NI MKRISTO!

LAKINI SIMSIKILIZI KILA MKRISTO NEITHER DO I LISTEN TO EVERY MSILAMU!

KWANI KUNA MANABII WA UWONGO!

WAARABU WALITULETEA UISLAM!

WAKATUUZA KWA WAZUNGU!

NA TENA KUNA WAAFRIKA WENZETU KUTOKA ZANZIBAR AMBAO WANAJIITA WAARABU LICHA YA KWAMBA NGOZI YAO NYEUSI!

WAZUNGU WAKATUAMBIA TUCHAGUE KATI YA UISLAM AMA UKRISTO!

MIMI NI MWAFRIKA!

NAMWAMINI MUNGU KWANI NIKIMKATAA HALAFU NIKIFA NIKAMKUTA KUMBE YU HAI THEN NISHAI NI YANGU!

NITAMWAMINI MUNGU BURE KAMA MWALIMU ALIVYOSEMA!

KWAMBA NI HERI USEME MUNGU YUPO...HALAFU UFE UKAKUTE HAYUPO!
KULIKO KUSEMA HAYUPO...HALAFU UFE NAKUKUTA YUPO!


NI MUHIMU KUMRUDI MUNGU!

KAMA MWANADAMU WA KWANZA DUNIANI KIHISTORIA AILITOKEA KWETU(OLDUVAI)...THEN SISI SHOULD CALL THE SHORT ON CIVILIZATION ISSUES!

HATA WAYAHUDI WENYEWE WANABISHANA NA WAZUNGU AMBAO WANASEMA KUWA YESU ALIKUWA MWEUPE NA KUMBE SI KWELI!

KAMA MAMA KILLANGO ANAVYODAI HOJA NI YA ccm!

WE SHOULD BE THE ONES GIVING FOOD...AND NOT THE ONES STARVING!

WAKE UP AFRIKA!

WE SHOULD HONOR MWALIMU WHO WANAMTANDAO MADE HIM UNDER ESTIMATED BY NOT HONORING MANDELA WHO MADE A FIRST STOP IN TZ TO THANK THE PEOPLE!

WE SHOULD EVEN BE POWERFULL MORE THAN ANY CONTINENT!

AFRIKA IS THE MOTHERHOOD TO THE HUMAN BEING!

AS LONG AS THERE IS JUSTICE AND HUMAN DIGNITY!

AFRIKA LISTEN AT LEAST ONCE!

LETS GET TOGETHER AND FIGHT FOR OUR AFFAIRS!
 
Hii Mizimbabwe na yenyewe mijinga ya kutupwa!! Inakuwaje inamwacha mtu mmoja awe na mimadaraka hivyo? Kwani wakimgomea leo atafanya nini...atawapiga mboko? Miafrika bana....ianshangaza sana.....


Hapana; wazimbabwe walsihampiga teke Mzee Mugabe lakini Mzee mwenyewe anang'ang'ania madaraka kwa kutumia fadhila zitokanazo na madaraka aliyokuwa nayo.

Mkuu wa majeshi ni yes-man wa Mugabe. Mwanozni mwa miaka ya themanini alishindwa masomo kule cadet school, akaamua kujipiga risasi lakini bahati nzuri kwake risasi ilikosa moyo wake kwa milimeta kumi. Mugabe akaingilia kati kubadili matokeo ya mtihani wa cadet school na kumpandisha cheo kuwa brigedia. Huyu bwana aliapa kabisa kuwa upinzani ukishinda ataamuru majeshi yaweke jambaja (yaani Kunji).

Mkuu wa polisi naye ni yes-man wa Mugabe na ndiyo maana watu wa upinzani wanapata hard time sana kuendesha maisha yao.

kamishna wa uchaguzi ni yes-man wa Mugabe na ndiye aliyeamuru matokeo ya mwanzo ya uchaguzi yasitangazwe hadi baada ya wiki kama tatu hivi na kuja na madai haya ya kura ya marudio baada ya kudokta kura.

Kifupi ni kuwa Mugabe ameikamata Zimbabwe kwa nguvu ya aina yake; hata kama raia hawamtaki!!
 
Mimi Kama Mkristo!
Nasapoti Uhuru Kabla Ya Dini!
 
Mugabe Atamsikiliza Mandela Kama Bush Hataingilia Kwa Niaba Ya Blair Ambaye Alikubali Kumsapoti Bush Ili Na Yeye Amsapoti Kwenye Issue Ya Zimbawe!
Wakati Wamarekani Wakisema Saddam
Waingereza Walisema Mugabe!
Simsapoti Mugabe!
Lakini Nikiambiwa Nichague Kati Ya Mugabe Na Bushi...basi Nitachagua Mugabe Kwani Aliwakomboa Wazimbabwe Na Mwalimu Na Bob Marely Wali Acknowledge!
Waafrika Tuje Pamoja!
Matatizo Ya Afrika Tatapata Ufumbuzi Kama Tukimsikiliza Madiba Kabla Hajafa!
Ni Ushauri Wa Bure!
 
Hapana; wazimbabwe walsihampiga teke Mzee Mugabe lakini Mzee mwenye anangangania na kutumia fadhila zitokanazo na madaraka alyokuwa nayo.

Mkuu wa majeshi ni yes man wa Mugabe. Mwanozni mwa miaka ya themanini alishindwa masomo kule cadet school, akaamua kujipga risasi lakini bahati nzuri kwake risasi ilikosa moyo wake kwa milimeta kumi. Mugabe akaingilia kati kubadili matokeo ya matihani wa cadet school na kumpandisha cheo kuwa brigedia. Huyu bwana aliapa kabisa kuwa upinzani ukishinda ataamuru majeshi yaweke jambaja (yaani Kunji).

Mkuu wa polisi naye ni yes-man wa Mugabe na ndiyo maana watu wa upinzani wanapata hard time sana kuendesha maisha yao.

kamishna wa uchaguzi ni yes-man wa Mugabe na ndiye aliyeamuru matokeo ya mwanzo ya uchaguzi yasitangazwe hadi baada ya wiki kama tatu hivi na kuja na madai haya ya kura ya marudio baada ya kudokta kura.

Kifupi ni kuwa Mugabe ameikamata Zimbabwe kwa nguvu ya aina yake; hata kama raia hawamtaki!!

Hapana bana....inafikia mahala mtu unasema enough is enough.....unaweka mguu chini, unamchenjia kibao. Haiwezekani kabisa Watu zaidi ya millioni kumi kutawaliwa na vichaa (Mugabe na kundi lake) wachache. Basi tu sisi Waafrika tuna uoga na nidhamu ya ajabu sana wakati mwingine na pengine ndio maana tuluchukuliwa utumwa na kutawaliwa.
 
Matatizo Ya Zimbabwe Yamalizwe Na Madiba!
Na Si Puppets Wa Bush!
Ningesapoti Kama Ingekuwa Si Bush Ama Blair Kwasabau Naijua Historia Yote!
 
Nyani,

Hebu jiulize ni kwa nini matokeo ya uchagzu wa march yalichukua muda mrefu sana kutangazwa, na baada ya hapo watu wamepewa kibao babu kubwa.
 
Tuikomboe TANZANIA KWANZA!
NINA AHIRISHA MCHANGO WANGU KWENYE HII MADA KWANI MAJUKUMU YA TAIFA YESHAZIDI!
MANDELA ANATOSHA HUKO!
WAMSIKILIZE YEYE NA SISI TUTAKUWA NA AMANI!WASIMSIKILIZE KIWETE!
TAYARI WANAJUA HILO!
KANI OBASANJO NA MANDELA WALITAKA KIKWETE AMKAMTE MKAPA AKAGOMA!
NA KWASABABU KASHFA ZOTE ZIMESABABISHWA NA WAFUASI WA BUSH..THEN WANA HAKI YA KUMTISHA!
KAMA MIMI NAPIGANIA MASLAHI YA AFRIKA NIKIWA USA!
THEN KIKWETE NA ZITTO WANASHINDWA VIPI KUYAPIGANIA WAKIWA BONGO!?
KIKWETE PIGANIA HAKI NA UHURU WA MWAFRIKA ILI HATA UKIFA UFE KISHUJAA KAMA KINA LUMUMBA NA NKRUMAH WALIOUWAWA NA CIA!
 
Nyani,

Hebu jiulize ni kwa nini matokeo ya uchaguzi wa march yalichukua muda mrefu sana kutangazwa, na baada ya hapo watu wamepewa kibao babu kubwa.

Uchaguzi wa Tanzania haujawahi kuwa huru especially ukija kweye mambo ya ZANZIBAR!

ccm WALIWAPAKAZIA CUF KWA MATAIFA WAFADHILI YA KIKRISTO KUWA WANATAKA WAARABU WARUDI BONGO NA KWASABABU YA MAFUTA...BUSH AKAINGILIA KATI!

BUSH KESHASEMA YOU ARE EITHER WITH US OR NO!

KWA MAANA KAMA WEWE MKRISTO AMA MSILAM MWENYE KUKUBALIANA NA SERA ZAO!

LAKINI HATA WAKRISTO WENYEWE WASHANGUNDUA ALITUMIA UKRISTO KUINGIA MADARAKANI!

KAMA VILE MANABII WA UWONGO WENYE KUJIDAI WAKRISTO KUMBE MASHETANI!

KWANI KUNA WANAOAMINI MAREKANI NI TAIFA LA KIKRISTO THATS WHY KWENYE DOLLAR NI IN "GOD WE TRUST!"

KAMA WAAFRIKA WENYEWE TULIVYOTENGANA KWASABABU YA DINI ZA MABWANA WETU!

HATUKUWA NA DINI WALA UBEPARI!

TULIKUWA NA UAFRIKA!TUSITENGANE!MUNGU YUPO NA HATUHITAJI MTU KUTULEZA KUWA YUPO!

WAKITUPA PESA ZA KUTOSHA KWENYE RASILIMALI ZETU TUTAJUA MUNGU YUPO KWANI KATUPA UTAJIRI!

WE ARE BLESSED!

TUACHE KUGAWANYWA KWA DINI!

TUTAJUA MUNGU WA KWELI NI YUPI BAADA YA KUEXPLOIT BARAKA ALIZOTUPA!

KWANI AFRIKA INAWEZA KUILISHA DUNIA YOTE NA SI KUFA NJAA AMA KUFA KWA MAGONJWA YANAYOZUILIKA!
 
Kumbe Sasa Napata Sababu Kwa Nini Dada Zetu Wanajichubua, Na Hata Baadhi Ya Kaka Zetu Nao Wanajichubua.......!
Ni Ile Hali Ya Kuchukia Kila Cheusi......!
Hatred Hii Imeenda Mpaka Kwenye Zimbabwe Issue.....!
 
Back
Top Bottom