Pengine uwezo wako wa kuelewa na kuchambua mambo ni mdogo.
Kama Britain na USA wanafanya mapinduzi ya kijeshi au wamehamisha Waingereza kwenda kupiga kura hapo nitakuelewa. Lakini kama ni Wazimbabwe ndo wanapiga kura ya kuamua nani awe rais, then SIO Britain na USA wanaomuweka Tsvangirai madarakani.
Kuhusu Darful sema sielewi chochote. Britain na USA wamefanya kama walivyofanya Zimbabwe, vikwazo, pesa na vifaa kwa jeshi la kulinda amani na baadhi ya maazimio yamekwamishwa na Mchina.
Au ulitaka wapeleke wanajeshi wao? Hivi wangepeleka wanajeshi wao Zimbabwe ungesemaje? Hilo jibu ni mojawapo ya sababu zinazowafanya wasipeleke jeshi huko Darful.