Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Si waanze na Kagame na Museveni basi..maana wameuwa kweli kule Congo..au Hawana evidence?? au The Hague haiyaoni ya Congo inayaona ya Zimbabwe tu??

...justice ya bwana wakubwa haifanyi kazi unavyotaka,hata Saddam asingewaudhi leo still bado angekuwa Raisi,Mugabe kishawaudhi wakubwa sasa fate yake soon itaamuliwa na hao hao wakubwa....Mugabe is soo weak na watamshika kirahisi sana,sasa hivi watamwekea warrant of arrest na kesi wameshamjengea na itasomwa soon The Hague,Mugabe kwisha habari yake mnaomtetea endeleeni lakini ataishia jela tuu kwa upumbavu wake mwenyewe.
 
Koba Dai Nchi Irudi Kwanza!
Rudi Dodoma!
Wacha Ya Zimbabwe Kwa Sasa Tafadhali!
Nani Kasema Matatizo Ya Mwafrika Hatuwezi Kuyamaliza Wenyewe?
Na Kama Huoni Hivyo..then Unaamini Muda Wa WazalendO wanaopoteza Ni Wa Bure?
Are They Wasting Their Time?
 
Wengine wetu chuki na bias against watu weupe inatufanya tuchukue misimamo tunayochukua.

Mugabe ni opportunist supreme. Huyu Mheshimiwa ndiye aliyekuwa mwenyeji wa CHOGM 1991 ambako Harare Declaration ( angalia:http://www.dfat.gov.au/intorgs/commonwealth/harare_declaration_1991.html) ilitokea. Hii declaration, iliyopatikana chini ya uenyekiti wake, ndiyo iliyosimika msimamo wa Commonwealth kuhusu mataifa dhalimu. Kutokana nayo mataifa kama Pakistan, Fuji yaliweza kutengwa kwa kiuka democratic principles. Haki za binadamu na usawa wa wote bila kujali rangi,itikadi,jinsia zilikuwa cornerstone yake! Wakati ule alikuwa darling wa nchi za magharibi. Lakini hata wakati huo tayari manung'uniko yaliisha anza kuhusiana na hali ya wale waliohusika na vita vya uhuru. Mikopo iliyokuwa wapewe ilikuwa imeshaanza kutolewa kwa upendeleo, wale ambao hawakuwa veterans walikuwa wanafaidika kabla ya veterans.

Race card iliyozungumziwa, Mkandara, ni kuwa katika referendum ya mabadiliko ya katiba, Mugabe alisema kuwa MDC ni vibaraka wa watu weupe (kama anavyosema sasa) lakini bado haikupita maana watu walishamstukia. Ndiyo ikabaki hiyo card ya ardhi. Akawageukia the so-called war veterans 8 ambao walikuwa na wasiwasi nae hasa jinsi Grace anavyofaidika na mambo yaliyolengwa kwa veterans). Kuonyesha kuwa safari hii kweli amepania kufanya kweli, akawaruhusu kuvamia mashamba ya watu weupe na kujivika kanzu ya kuwa mtetezi mkubwa wa masuala ya watu weusi akiwaita watu weupe kuwa ni maadui wa Zimbabwe. In one stroke akalifanya swala la ardhi kuwa ni kati ya watu weupe (wakoloni) na watu weusi ( war veterans).

Huyu bwana hafai. Ni paranoid na yuko tayari kusema lolote, kufanya lolote ili abaki katika utawala. Unfortunatelu, inaelekea Afika, true to form, itapata kigugumizi kwenye kumshughulikia. Mtu kama Kibaki atamkaziaje macho Mugabe?

Mungu linusuru bara letu. Mungu inusuru Zimbabwe.

Amandla.......
 
Nani Kazungumzia Chuki Za Mweupe Hapa?
Ama Unataka Kuuza Watoto Wetu Utumwani?
 
.....Mugabe anajidanganya tuu,ataishia The Hague tuu na ita happen soon,na mauaji ya 1982 ndio yatakuwa issue,kweli mzee anajidanganya huyu na kibaya zaidi hao cronies wake nao wataishia jela tuu,seems watu wamesahau why the hague iko pale na kuna very strong case & evidence to be made against Mugabe and his cronies na wataanza na mmoja mmoja...soon mtasikia.
Hujui unachokiongea ili upelekwa huko kwenye mahakama ya kimataifa ni lazima nchi yako iwe imesaini mkataba na hiyo mahakama na Zimbabwe kwa vile wana akili kuliko wewe na viongozi wetu hawakufanya hivyo kwa kifupi Zimbabwe haina makubaliano na hiyo mahakama kwa hiyo hawana mamlaka ya kumkamata kwa kawaida!
 
Hujui unachokiongea ili upelekwa huko kwenye mahakama ya kimataifa ni lazima nchi yako iwe imesaini mkataba na hiyo mahakama na Zimbabwe kwa vile wana akili kuliko wewe na viongozi wetu hawakufanya hivyo kwa kifupi Zimbabwe haina makubaliano na hiyo mahakama kwa hiyo hawana mamlaka ya kumkamata kwa kawaida!

....look this misinformed deluded Mugabe fanatic spew his ignorance....what a dope!
 
Fundio Mchundo,

Ni lini Mugabe ameacha kusema Morgan ni Kibaraka wa wazungu?..racecard ndio wimbo wake mkubwa hata ktk uchaguzi ni nyimbo za kishujaa against white supreme zinatumika kuliko swala la ardhi!..miaka yote toka akiwa chini ya Sithole it's all been about race. Mugabe anasema siku zote kuhusu Morgan kama ni kibaraka na kuwashutumu waingereza kuingilia zaidi uchaguzi wa nchi hiyo kuliko swala la ardhi..Ardhi inajulikana moja kwa moja kuwa kama mzungu anaitaka Zimbabwe basi bila shaka ardhi itakuwa mali yao..
Na kama unabisha nakuomba nipe hutoba zake zinazozungumzia sana ARDHI maanake wote hapa tunazijua zinazohusiana na MDC kuwa vibaraka wa wazungu..
Na sio kweli kuwa Mugabe alikuwa kibaraka wa wazungu hili naomba ushahidi kwa sababu wazungu wenyewe walijua kuwa Mygabe ni MJAMAA ndani ya roho yake!.. na maisha yake yote speach zake zilikuwa subversive..Kafungwa sana jela na alijichimbia Msumbiji huko ni mpango wa Cuba tu...
katika Utawala wake ni miaka ambayo nina hakika wanachama wote hapa JF wanamjua na kama kweli angekuwa akibebwa na wazungu tungemsikia sana! wazungu hawakosi kumpa sifa mtu wao...Lini Mugabe kashika front page ya magazeti ya Western..wazungu wenyewe wazimbabwe walikuwa wamekaa mguu nje ndani wakijua kuwa Mugabe anaweza badilika siku yoyote ile. walijaribu kwa zawadi na kadhalika lakini mkuu Mugabe alikuwa Mgumu siku kibao na hata Wandebele alokuwa akiwaua unajua kuwa wengi (majority) yao ni point five.. Bulawayo kuna point five kibao kwa sababu hawa ndio walikuwa karibu sana na wazungu kuliko Washona! Sasa unafikiri mzungu angempenda mtu huyu.. walikuwa wakimpigia mahesabu tu lakini hata siku moja mzungu hakumbeba Mugabe.....habebeki!

Mkuu huyu jamaa chizi na kichaa kweli,wa zungu wanajua kwamba kisomo kimelala pale na hakuna mtu hata mmoja anaweza kum challenge one on one ktk debate pamoja na madudu yake.. Kama alivyosema Kichuguu, inaonyesha wazi kuwa Zimbabwe kuna wasomi wengi sana na wazuri sana lakini hakuna KIONGOZI labda hili linatokana na elimu Utumwani..Toka lini mtumwa akaweza kumwongoa watumwa wenzake - sawa na kipofu kuongoza kundi la vipofu.
Kwa kumalizia tu, wakuu swala la Zimbabwe toka mwanzo lilikuwa linahusiana na race/ Ardhi vyote vinaambatana kama shati na kola yake! Ubaguzi wa rangi ndio msingi wa mapinduzi na uhuru wa Zimbabwe.. Tofauti na South Africa, Zimbabwe nchi yao ilikuwa inamilikiwa na wazungu karibu kila inchi ya ardhi..Watu wakasema haiwezekani na wakaingia mwituni, leo mzungu anawanyima haki yao ya ardhi mnataka tena kuwageuka na kusema Tatizo ni Mugabe!..

Zimbabwe ni hali sawa kabisa na Palestine, dunia imeamua kukaa kimyaa wakati wayahudi wanapiga mabomu na mizinga ya vifaru kwa watoto wanaotupa mawe..sasa mzungu alivyokuwa mjanja siku hizi sio swala la mawe tena isipokuwa ile mizinga ya toka Gaza ambayo ajabu utaona mtu wa BBC akichukua picha wakati zinarushwa.. Wewe kweli mtu wa BBC awepo mahala Mpalestina anarusha mizinga yake..
Noo jamani hawa wazungu wamezidi nakumbuka miaka ya 70, Idd Amin walimpakaza kuwa hula nyama za watu ati frigi yake imejaa maini ya watu na hata mtoto wake mwenyewe alimla!... tukaamini wengi tu...
Mugabe ni mtu mbaya kwetu sisi kwa kiwango tunacxhokiona sisi sintakubali propaganda za nchi za maghharibi na sasa hivi Canada ambayo imechukua wakimbizi wengi Makaburu inashinikiza kZimbabwe kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mafaita..
Atakaye umia nani nambieni? - hali kama kweli wanamtaka Mugabe afe hiyo safari ya Eygpt asingefika...Wangem Samora vizuri!
 
The article below poped up in my inbox, I think its worth sharing.

MUGABE: MY DILEMMA
To express my dilemma on Mugabe I will use a hypothetical scenario. Let us assume (as economists are known for) that President Kikwete decided to be tough and play hard ball on corruption and on matters of national economy and national pride. He starts by securing all sources of energy, and by borrowing a leaf from Putin, he locks in the Chief Executive Officer of IPTL for tax fraud, and demand that owners of IPTL sell the company to the government at a token price after obtaining evidence that the IPTL-TANESCO deal was influenced by corruption.

Further, after obtaining convincing evidences that most of mining companies have been cheating on tax through over-invoicing capital imports and under-invoicing exports, Kikwete orders an arrest of all chief executive officers of the concerned mining companies, and place them in remand at Ukonga pending final investigation and prosecution. Most of the arrested officers are Canadians and Australians. Meanwhile, two marine officers from the UK are arrested for killing a prostitute at Silversand Beach Hotel, and the President insists that the Marines must be treated like any other suspect in the murder case, and thus must stay at Ukonga Prison pending investigation and prosecution. Tanzanian High Commissioner in London has been recalled home for talk after the government discovered that Her Majesty's government knew all along that the Radar sold to Tanzania by the company owned by Her Majesty's government was exorbitantly over-priced, and thus cheating poor Tanzania of her very scarce foreign currency. Meanwhile, an officer representative of the company that sold TPDF faulty helicopters that lead to death of members of TPDF has been arrested for fraud, and has been placed in Ukonga pending further investigation. The US government has strongly protested against this arrest, but President Kikwete refused to play ball, insisting that men in uniform have died and the law of the land must take its course regardless of the nationality of the suspect.

Ok, enough of the fantasy. Our government would not do such things, even though European and American governments would not hesitate to take such actions themselves. A member of TPDF cannot kill a prostitute in London and get away with it. No way. And so on. But the Government of the United Republic of Tanzania cannot do what a self respecting government must do for the simple reason that the "international community" would not accept this. Hugo Chaves managed because he sits on a huge reserve of oil. Castro managed to do it because he does not allow free and fair election. Should our government try to play hardball, all foreign aid would be squeezed, all credit lines cut and the country would be demonized by the CNN, the BBC and, well, by the Security Council of the UN. All of a sudden the "international community" would remember that Karume did not win a fair election in Zanzibar. And that in 1995 election officers forgot to turn up at the polling stations in Dar es Salaam. They forgot to turn up in Zanzibar town in 2000 general election too. The "international community" would want Mahita to appear in the Hague for the death of 23 people in Pemba. The EPA and RICHMOD sagas would be played time and again on the CNN and the BBC and the SKY and the El Jazeera and the SABC for the world to see how comical our leaders can get when trying not to prosecute looters of public funds, a comedy that would make Mobutu Sese Seso green with envy. You should not even be surprised that the "international community" would condemn Tanzania for interfering in the internal affairs of the Comoro, never mind that the government of Comoro invited Tanzania to interfere and the AU sanction the expedition. After all, when Mugabe sent troops to protect Kabila's administration against the invasion of Uganda and Rwanda, it was Mugabe who was condemned by the "international community", not the invaders! Mind you, Mugabe was acting under the SADC, and he was not even alone, Angola and Namibia were in Kinshasa too.
So, should our President play hardball, the "international community" would see to it that our economy takes a huge nose dive, a free fall, with hyperinflation becoming the order of the day. The pay of professors would mean nothing, as you would then need a wheel-burrow full of money to simply buy a kilogram of sugar. Professor Lipumba and Mr. Mbowe would be invited to the Buckingham Palace and the White House and consultants would be offered to advice CHADEMA and CUF on how to unite so that they can unseat Kikwete. NGOs would be given plenty of money to undermine the government, just to teach us and everybody else a lesson that you never mess up with the big brothers.

Come 2010 the "international community" would demand free and fair election in Tanzania. Most of us would be voting with our stomachs, too tired of hyperinflation to remember that we had pressed Kikwete to act against the mining companies and against corruption. We would be scrambling to help the West make a "regime change" democratically. The election would be declared free and fair only if Lipumba wins.

Again, enough of the fantasy. As I said, this would never happen here. But it seems to me that it is happening in Zimbabwe. This is not to say that Mugabe is not stealing an election. Obasanjo too stole an election for Y'radua (do you remember how Obasanjo and his VP used to fight like mad cats? Oh, how would the "international community" have loved it had it been Mugabe and his VP were giving such a comedy). Kibaki, just next door, stole one too, and the "international community" told the victim of stolen election to negotiate with the one who stole it, and divide the "loot". We know what Museveni is doing in Uganda, and that he survives on western handout in spite of all! The only reason that the "international community" is focusing on Mugabe is because he messed up with the big brothers. And he stole an election, of course. Why is it that Musharraff forced his way into Pakistani's statehouse and he is still respected in the West? Do you remember how he interfered with the judicial system?

My dilemma is, how can one condemn Mugabe without at the sametime greasing the Western machinations? And, are the people of Zimbabwe not free to even vote with their stomach? When we were fighting for Uhuru, Nyerere insisted that we want freedom, even of making our own mistakes. If Zimbabweans make a "mistake" of voting against Mugabe, forgetting that the economy would not have been in such a mess had it not been for the western embargo and sabotage who are we to tell Zimbabweans that vumilieni tuu, mbegu lazima ife kwanza kabla mti wa uhuru haujaota? Yet, I cannot bring myself to condemn Mugabe, even though I believe he stole this election. I made a mistake of celebrating Chiluba's victory back then, thinking it heralded a new democratic dispensation in Africa. Later, I discovered that Chiluba was actually bankrolled by the Boers who wanted to undermine ANC in Lusaka.

So, it is a dilemna. When I hear African leaders making statements about Mugabe, I do not know which part of the statememt was dictated from the Down Street No 10 and which part reflects our desire for a free and fair election. A desire for free and fair election can only be noble. But there is no nobility in becoming a pawn in other nations' games. I respect those who genuinely grieves the people of Zimbabwe and call for free and fair election. As for me, I am fed up with the Western machinations on the question of Mugabe, and I choose not to condemn him for stealing this election, and I am not proud of my stand either.
 
Mkandara,
Kwanza kabisa umeonyesha bias yako ambayo inadhihirisha kuwa to some extend the old politics teachings of Tanzania imetuinfluence. Sielewi kwa nini wewe ufikiri kuwa Matebele na Washona hawapatani kiasi hicho na vile vile eti walikuwa wasaliti (sielewi what is no. 5); ukweli ni kwamba wakati wa kupigania Uhuru Nkomo alikuwa moderate especially kuwa western backed. Mugabe alikuwa more socialist na hiyo ndiyo ilimfanya hata Nyerere ampende. Nyerere alifanya kazi kubwa sana kum-install Mugabe. sasa na wewe unachukua ileile cold war rethoric.
Kwa hiyo kwako wewe ku-waexterminate watu 20,000 kwa sababu tu alikuwa against na wazungu (as you say) ilikuwa sawa. Je unaweza kuniambia kwa nini baadaye alimfanya Joshua kuwa makamu wake, wakaungana. Only one thing alitaka kumcontain Nkomo.

Tukirudi nyuma, angalia na soma tena wakati wa uhuru na baada ya uhuru, Mugabe knew very well what he wanted; alijua kabisa alihitaji wazungu na vile vile the East kwa huhold power. Funua Lancaster agreement archives usome uone. Mugabe loves life siyo kama Mw. Nyerere. Anapenda british life style na alikuwa very close kwa Malkia kuliko mtu yeyote Africa. Katika matusi yake yote hajawahi hata siku moja kumtukana Malkia. Hebu funua zaidi kuhusu life style ya Mugabe halafu tu-argue.

Mkandara Mugabe hana chochote kigeni, na alivyofanya ni sawa na dikteta yeyote ile. He knows the "art of War". You cannot win a war without a barlel of gun; that is the fact. Aliwapa itikadi wanajeshi wake na supporters zake sumu yote amboyo inafanya waone kuwa Morgan ni kibaraka. Same kama Nyerere alivyotuambia mimi na wewe hatuaendelei kwa sababu wazungu ndiyo problem. Hadi kesho wanajeshi wa Zimbabwe, ZANU PF senior officials hawawezi kuachia ngazi, kwa sababu wako sure kuwa madhambi mengi lazima watalipishwa. Hawamwamini Morgan, hata mtu mwingine yeyote.

Kuhusu suala la Palestine, sioni kama lipo simple kama unavyofikiria wewe au mimi, very complicated; hata wa palestina wenyewe wako divided. Sasa sijui wewe upo kundi lipi. I was thinking if you wud discuss things on our back-yards, like Darfur where there is a cleansing which we will never mention because only Africans are involved!!
 
Joshua Nkomo alikuwa na haya ya kusema kabla hajaitwa kwa mola wake "nothing in my life had prepared me for persecution at the hands of a government led by black Africans"
 
Interested Observer,

..wakati wa kugombea Uhuru wa Zimbabwe MUGABE alikuwa akifadhiliwa na WACHINA. kwa upande mwingine NKOMO alikuwa akifadhiliwa na WARUSI.

..tatizo la Nkomo ni kwamba majeshi yake hayakupata mafanikio ktk medani kulinganisha na yale ya Mugabe. vilevile kabila la Nkomo, Ndebele, ni minority Zimbabwe.

..Chama cha Nkomo kilishindwa ktk uchaguzi wa kwanza wa Zimbabwe huru. Hakuna chama kinachoweza kushinda uchaguzi Zimbabwe bila kuwa na support kubwa ya Washona.

..Nkomo naamini made a first bad impression kwa Mwalimu pale alipotaka kuanzisha a government in exile bila hata kunyanyua silaha. baadaye pia inasemekana Nkomo alikuwa akipokea rushwa toka kwa Tiny Rowland. Mwalimu alimtimua Tiny Rowland toka Tanzania na kutaifisha mali zake.

..Mauaji ya Wandebele yameitia doa kubwa historia nzima ya Zimbabwe. lakini ni vizuri ukaelewa mtiririko wa matukio na mazingira ya wakati ule mpaka kutokea kwa mauaji yale.

..mauaji ya Wandebele yalitanguliwa na mapigano kati ya askari wa ZANU na wale wa ZAPU ktk maeneo ya Midlands na Matebeleland. kulitokea hujuma za makaburu kuteketeza ndege za jeshi la Zimbabwe. zaidi ZAPU walikuwa hawajakabidhi silaha zao toka Zambia na Botswana, na walikutwa na makasha ya silaha kwenye mashamba waliyokuwa wakimiliki. mwisho usisahau hofu iliyokuwepo ya kuanzishwa kwa maasi yanayofanana na ya Renamo.

..Mauaji ya Ndedela by nature siyo sawa na yanayotokea Darfur, it was a military operation that went out of control. pamoja na hayo kulifanyika mazungumzo ya upatanishi na matokeo yake ni kuunganishwa kwa ZANU, na ZAPU, na kuzaliwa kwa ZANU-PF. Joshua Nkomo alirudi toka exile UK na kuteuliwa VP.

..Senior officers wengi wa Zim' Defence Forces ni rika la Tsivangarai, na walipigana vita ya ukombozi. Hao ndiyo wasiomtaka Tsivangarai kwasababu yeye hakujitolea mhanga kama wenzake.

..Mwisho, siamini kama Tsivangarai atakuja kuwashitaki watuhumiwa wa mauaji ya Wandebele. akifanya hivyo ina maana atakuwa anawashitaki Washona wenzake kwa ajili ya minorities Ndebele. Zimbabwe bado kuna chuki kubwa sana za kikabila.
 
Baddo Lancaster Agreement hamjaizungumzia ambayo katika makubaliano yao kimsingi kati ya Serikali ya Zimbabwe na mkoloni wa kiingereza.Makubaliano hayo yalihusu umiliki wa mashamba makubwa pamoja na maeneo yenye rutuba kwa ajili ya wazungu wachache huku serikali ya Uingereza ikiwa inailipa ruzuku serikali ya Zimbabwe kwa ajili ya wananchi wake. Ruzuku ambayo ilifutwa na Ndg Tony Blair. Hawa wazungu sio watu wazuri itafika hata sisi huku kwetu wataanza kutunyanyasa baada ya kutuibia sana madini yetu. Tujiulize sasa hivi Zimbabwe anayeumia ni Mugabe au wananchi wa Zimbabwe?
 
Mkandara,
Kwanza kabisa umeonyesha bias yako ambayo inadhihirisha kuwa to some extend the old politics teachings of Tanzania imetuinfluence. Sielewi kwa nini wewe ufikiri kuwa Matebele na Washona hawapatani kiasi hicho na vile vile eti walikuwa wasaliti (sielewi what is no. 5); ukweli ni kwamba wakati wa kupigania Uhuru Nkomo alikuwa moderate especially kuwa western backed. Mugabe alikuwa more socialist na hiyo ndiyo ilimfanya hata Nyerere ampende. Nyerere alifanya kazi kubwa sana kum-install Mugabe. sasa na wewe unachukua ileile cold war rethoric.
Kwa hiyo kwako wewe ku-waexterminate watu 20,000 kwa sababu tu alikuwa against na wazungu (as you say) ilikuwa sawa. Je unaweza kuniambia kwa nini baadaye alimfanya Joshua kuwa makamu wake, wakaungana. Only one thing alitaka kumcontain Nkomo.

Tukirudi nyuma, angalia na soma tena wakati wa uhuru na baada ya uhuru, Mugabe knew very well what he wanted; alijua kabisa alihitaji wazungu na vile vile the East kwa huhold power. Funua Lancaster agreement archives usome uone. Mugabe loves life siyo kama Mw. Nyerere. Anapenda british life style na alikuwa very close kwa Malkia kuliko mtu yeyote Africa. Katika matusi yake yote hajawahi hata siku moja kumtukana Malkia. Hebu funua zaidi kuhusu life style ya Mugabe halafu tu-argue.

Mkandara Mugabe hana chochote kigeni, na alivyofanya ni sawa na dikteta yeyote ile. He knows the "art of War". You cannot win a war without a barlel of gun; that is the fact. Aliwapa itikadi wanajeshi wake na supporters zake sumu yote amboyo inafanya waone kuwa Morgan ni kibaraka. Same kama Nyerere alivyotuambia mimi na wewe hatuaendelei kwa sababu wazungu ndiyo problem. Hadi kesho wanajeshi wa Zimbabwe, ZANU PF senior officials hawawezi kuachia ngazi, kwa sababu wako sure kuwa madhambi mengi lazima watalipishwa. Hawamwamini Morgan, hata mtu mwingine yeyote.

Kuhusu suala la Palestine, sioni kama lipo simple kama unavyofikiria wewe au mimi, very complicated; hata wa palestina wenyewe wako divided. Sasa sijui wewe upo kundi lipi. I was thinking if you wud discuss things on our back-yards, like Darfur where there is a cleansing which we will never mention because only Africans are involved!!


You said it my man! But wait, even in Darfur bado tunalalama kwamba ni conspiracy za marekani wanaotaka mafuta ya Sudan. Yaani tumeamua kwamba anything negative on our continent, lazima iwe na chanzo some where else. Yaani jana namwangalia Mugabe Egypt alivyokuwa anarushiana maneno na yule mwandishi wa BBC/CNN..ilikuwa aibu, aibu!!! mzee aliishiwa na uzalendo....kweli viongozi wetu ni reflection ya sisi wenyewe....Maybe not?

Mkuu somo unalolitoa hapa ni zito mno. Just happy to watch from the sidelines!
 
Fundio Mchundo,

Ni lini Mugabe ameacha kusema Morgan ni Kibaraka wa wazungu?..racecard ndio wimbo wake mkubwa hata ktk uchaguzi ni nyimbo za kishujaa against white supreme zinatumika kuliko swala la ardhi!..miaka yote toka akiwa chini ya Sithole it's all been about race. Mugabe anasema siku zote kuhusu Morgan kama ni kibaraka na kuwashutumu waingereza kuingilia zaidi uchaguzi wa nchi hiyo kuliko swala la ardhi..Ardhi inajulikana moja kwa moja kuwa kama mzungu anaitaka Zimbabwe basi bila shaka ardhi itakuwa mali yao..
Na kama unabisha nakuomba nipe hutoba zake zinazozungumzia sana ARDHI maanake wote hapa tunazijua zinazohusiana na MDC kuwa vibaraka wa wazungu..
Na sio kweli kuwa Mugabe alikuwa kibaraka wa wazungu hili naomba ushahidi kwa sababu wazungu wenyewe walijua kuwa Mygabe ni MJAMAA ndani ya roho yake!.. na maisha yake yote speach zake zilikuwa subversive..Kafungwa sana jela na alijichimbia Msumbiji huko ni mpango wa Cuba tu...
katika Utawala wake ni miaka ambayo nina hakika wanachama wote hapa JF wanamjua na kama kweli angekuwa akibebwa na wazungu tungemsikia sana! wazungu hawakosi kumpa sifa mtu wao...Lini Mugabe kashika front page ya magazeti ya Western..wazungu wenyewe wazimbabwe walikuwa wamekaa mguu nje ndani wakijua kuwa Mugabe anaweza badilika siku yoyote ile. walijaribu kwa zawadi na kadhalika lakini mkuu Mugabe alikuwa Mgumu siku kibao na hata Wandebele alokuwa akiwaua unajua kuwa wengi (majority) yao ni point five.. Bulawayo kuna point five kibao kwa sababu hawa ndio walikuwa karibu sana na wazungu kuliko Washona! Sasa unafikiri mzungu angempenda mtu huyu.. walikuwa wakimpigia mahesabu tu lakini hata siku moja mzungu hakumbeba Mugabe.....habebeki!

Mkandara!
Mheshimiwa, with all due respect, inaelekea wewe ni bigot. Unajaribu kuwahusisha hao watu weupe kila mahali hata pasipo na maana. Kuwepo kwa hao unaowaita kwa kejeli .5 sio ushahidi wa ukaribu wa Ndebele na watu weupe. Hivi kulikuwa na ndoa ngapi kati yao? Je kama walipatikana kwa kubakwa na kwa wanawake wao kulazimishwa kutembea na hao watu weupe? Wamerikani weusi karibu wote wana damu ya mzungu, kutokana na tabia ya wenye watumwa kutembea na watumwa wao! Hii si dalili ya ukaribu wa mmarekani mweusi na mtu mweupe.

Mara baada ya uhuru, Mugabe alikuwa kipenzi wa nchi za magharibi. Wakati huo wimbo wake ulikuwa ni reconcialition na Zimbabwe ni ya wote pasipo kujali rangi. Zimbabwe ikaonekana ni mfano wa kuigwa na Afrika ya Kusini. Unadhani wainereza wangempa Knighthood mtu wanayedhani ana adhma ya kibaguzi au ni wa mlengo wa kushoto? Alimwagiwa mapesa ya World Bank, investors wakawekeza kwa wingi. Mpaka Mkutano wa Jumuia ya mdola ukafanyika Zimbabwe mwaka 1991. Mkutano uliotoa Harare Declaration ambayo ilisimama kwenye haki na usawa wa binadamu.Kusema kuwa huyu bwana toka mwanzoni alikuwa hapendwi ni kuwa disingenuous!

Hamna shaka Mugabe ni msomi. Hamna shaka Mugabe alikuwa mwalimu. Lakini si hao hao wasomi ndio kwa kiasi kikubwa wamechangia kutuingiza katika matatizo tuliyonayo Afrika? Mugabe ni mzungumzaji mzuri lakini hii haina maana ni bingwa wa debate. Lini amewahi kuruhusu mtu kum'interview'? Lini amewahi kuingia katika Debate? Nyerere hakusoma kama Mugabe lakini alikuwa ni mzungumzaji na bingwa wa debate!

Unarudia tena kusema bila ku'substantiate' kuwa watu weupe wanawanyima haki yao ya ardhi. Mugabe si aliisha wafukuza miaka 8 iliyopita sasa bado unaona mkono wao katika kuwazuia wazimbabwe waliowengi kupata ardhi yao. Unakataa kuona kuwa mbali na matarajio ya wengi, ardhi hiyo wamehodhi Mugabe na cronies wake. Kwa nini sasa asilaumiwe?

Bias yako inaonyesha tena katika kuliingiza suala la Palestina. Unawalaumu watu weupe wote kwa msimamo wa serikali ya Marekani. Nchi za ulaya ndiyo zilizokuwa na zinaendelea kubeba hiyo serikali ya Palestina kuliko hata nchi za kiarabu. Nchi za ulaya zinajulikana kwa msimamo wao kuwatetea wapalestina. Lakini hauwezi kuwatetea wapalestina peke yao bila kuangalia haki ya myahudi kuwepo pale. Msimamo wako ni kama ule wa kudai kuwa Iran ndiye msemaji wa nchi zote za kiarabu, ukisahau kuwa kuna Misri, Jordan n.k. Unawachukia watu weupe hadi kuhoji kuwepo kwa watangazaji wao sehemu ya matukio! Hauna habari kuna watangazaji wa BBC wameuawa na waizraeli? hauna habari kuwa hicho chombo unachokilaani kwa vile unadhani ni cha watu weupe, wamefanya jitihada kubwa kuonyesha hali ilivyo upande wa Palestina? Au wewe unaangalia Al Jazeera tu?

Leo hii unaona vikwazo ni tatizo kwa sababu vinambana Mugabe na maswahiba wake? Yeye mwenyewe Mugabe wakati anapigania uhuru alikuwa mstari wa mbele wa kudai vikwazo viwekwe dhidi ya utawala wa Ian Smith. Alipoambiwa kuwa vitawaumiza watu wake, alisema kuwa hiyo ndiyo gharama ya uhuru! Sasa kama sisi tulio jirani tunashindwa (hatutaki) la kufanya kuhusu hali ya Zimbabwe unategemea walio mbali wana alternative gani zaidi ya sanctions? Wapeleke majeshi?

Mkuu JokaKuu.

Shukurani kwa maelezo yako ya historia ya mauaji ya wandebele. Kuna mtizamo tofauti kidogo na hayo uliyoyasema. Silaha kweli zilipatikana katika mashamba ya wakina Nkomo. Kinachobishiwa ni nani aliziweka humo! Inasemekana Mugabe alifanya hivyo ili apate sababu ya kuwashughulikia wandebele. Hii ni kama vile Ujerumani ilivyojishambulia kutoka Poland mwaka 1939 ili ku'justify' ushambulizi wake dhidi ya Poland na kuanzisha vita kuu ya pili!

Kisichokuwa na ubishi ni kuwa Mugabe yuko tayari kufanya chochote ili malengo yake yatimie hata kama watu wake watateketea. Unadhani angekuwa yeye ndiye Morgan, angejitoa kwenye uchaguzi? Thubutu, angekubali tu watu wake waendelee kuuawa na kuteswa.

Huyu ndiye Mugabe tunayemtetea. Hapana, ingawa ni mwafrika kama mimi, mimi siko kama yeye. Na ninakataa yeye kutumika kama mfano wa sisi ndivyo tulivyo. Ni cancer iliyojitokeza mwilini mwetu na ni lazima iondolewe.

Amandla.........
 
. Yaani jana namwangalia Mugabe Egypt alivyokuwa anarushiana maneno na yule mwandishi wa BBC/CNN..ilikuwa aibu said:
Hivi wewe mshikaji wangu una matatizo gani lakni? mbona nashindwa kukuelewa? sasa wewe mugabe amekutiaje aibu ? kwani wewe ni mzimbabwe?
una uhalali gani wa kufikiri kwamba kiongozi wa nchi yeyote ya afrika basi anawkilisha bara zima? bill klinton alivyobaka ofisini mbona wakanada hawakusema kwamba anawaibisha? utawezaje kuongea utumbo kama huo kweli? afrika ina nchi zaidi ya 50 na idadi ya watu isiyopungua milioni 700 sasa mtu mmoja atawakiloshaji watu woote hao? yaani mugabe afanya kitu halafu useme eti anatuabisha sasa kwa nani anatuabisha? mbona unakuwa kama mtoto wa darasa la tano yaani unashindwa kufikiri hata kitu kidogo kama hicho jamani? mbona hao wazungu unaowaabudu wao hawajijumuishi hivyo mbona hawasemi kuwa hitler, mbona wanorway au wabelgiji au waholanzi hawasemi stalin kawaaibisha?
bali wanasema ni wajerumani au warusi ndio wameaibika.. sasa kwa nini unataka kutokututendea haki lakini mbona unakuwa mchoyo namna hiyo?
hivi wewe manake unapenda sana kulalamika sasa ambu tuwekee wasifu wako hapa tuone wewe binafsi kama umefanikisha kitu chochote ktk maisha yako manake inaelekea ni mtaalaamu wa kurusha lawama sasa tuonyesha kama umeshawahi kuwa na mafanikio yeyote huna haja ya kuweka shule kwa maana hapo jibu lake wengi tunalo lkini fani zingine zezote ambazo umeweza kufankiwa ikiwa useremala, uashi atingo na ukafanikwa bila matatizo...
na ukidanganya tutajua tuu............
 
Back
Top Bottom