Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant

Western Propaganda Turns Mugabe into a Tyrant


Terrible Two!


0,1020,526255,00.jpg
 
Interesing Observer,

Mkuu labda bado hujanielewe..
Yaliyoandikwa na MDC ni kauli mbiu ambayo haiwezi kuchukuliwa kama ni ukweli wa sera na malengo ya chama hicho sawasawa na Mugabe na hiyo ZANU PF ambao waliichukua ardhi kwa kutumia sera kama au zinafanana na hizi za MDC lakini walichokifanya ZANU PF ktk utekelezaji wa azma hiyo ni tofauti kabisa....Ardhi imepewa viongozi na baadhi ya watu waliojulikana kama wapigania Uhuru. je, kuna ubaya kusema au kuona kwamba Morgan atawapa wazungu!.. Mugabe aliweza vipi ashindwe Morgan!
Hili ndio kosa la kimsingi tunalokubaliana sote kuhusu Mugabe kuwapa watu wake ardhi hiyo na hakuna sehemu nimesema Mugabe hakukosea au hakuwa na nia hiyo..Tuliomfahamu tulitegemea hili kutokea lakini bado haipotoshi ukweli kwamba ardhi ile ilitakiwa kupewa wananchi kwa kuunda sheria mpya ya umilikaji wa ardhi iliyokuwa koloni la kudumu la Muingereza..

Ni kwa sababu hii hii nasema kwamba hiyo kauli mbiu ya MDC haina ukweli wa kile wanachokusudia kukifanya...Na ushahidi ulikwisha tolewa siku nyingi na viongozi wa ISO ambao walipingana na MDC ktk swala la ardhi...
Wakuu nitarudia kusema maneno ya Mtu mzima huko nyuma kasema kwamba hata CCM wanasema MAISHA BORA kwa kila Mtanzania!...ni maneno ya kuvutia sana na yenye kila sifa, upendo kwa wananchi lakini Je kweli CCM wanafanya hayo?... Na kama hapana basi ndio sababu inayotupa sisi pumzi ya kuzungumza ubaya wa chama hiki. Ni empty promises za viongozi wa Kiafrika.
Morgan pamoja na chama chake cha MDC wanaelewa wazi kwamba Zimbabwe haiwezi kuinuka kiuchumi kama hawatarudisha ardhi hiyo.. Hizi zote ni siasa kama Mugabe alivyoitumia ardhi hiyo hiyo kuchukua tena ushindi wa kimbunga.

Kwa hiyo mkuu mimi hapa najaribu kutazama swala la ardhi kama ndio issue kubwa ya Mapinduzi ya Zimbabwe na nitawakumbusha kwamba chanzo cha haya yote ni Muingereza mtake msitake..

1. Katika makubaliano ya kusimamisha vita ambayo Ian Smith alikuwa akishindwa, ZANU, ZAPU na kile chama cha kina Sithole walikubaliana na Muingereza kusimamisha mapambano kwa ahadi ya kuigawa upya ardhi sawa kwa wananchi wake wakitumia kigezo tofauti iliyopo kutokana na rangi..
2. Utawala wa Ian Smith ulidai financial compensation kwa wananchi wake (wazungu) ambao wangepoteza ardhi hizo.. baada ya makubaliano haya kuwa ni reason of breach of title deed ambazo zinatambulika kisheria..
3. Muingereza alikubali kulipa ktk miaka 20 ifuatayo na hakutimiza ahadi hiyo hadi mwisho wa miaka 20.
4. Now, kwa mzungu bado anayo right ya ile ardhi kwa sababu compesation haikutokea - na Mweusi aliona haki yake ya kusimamisha vita imekufa.. kwa sababu hawakupigana kutafuta Uhuru kwa sababu ya kutawala nchi isipokuwa haki ya wananchi wote kumiliki ardhi.
5. Mugabe na baraza zima la bunge lao walipitisha kuchukuiliwa kwa ardhi hiyo toka kwa wazungu na kuwa chini ya serikali...

Toka hapo Zimbabwe ilianza kuwa na mgogoro wa kisiasa na kiuchumi. Ni Muingereza ambaye hakutimiza ahadi yake . kisha ni Muingereza huyu huyu baada ya uamuzi wa kuchukua ardhi aliyeshinikiza kuanzishwa kwa MDC dhidi ya ZANU PF....Morgan hakuwahi kuwa Politician hata siku moja, isipokuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi.. Mnakumbuka chama cha FORD Kenya kilichoanzishwa na kupewa misaada na Marekani?..
Mimi kama mkazi wa nchi magharibi naelewa fika siasa za nchi hizi kupandikiza mtu ama kikundi cha watu ktk nchi zenye viongozi wasiokubaliana na matakwa yao, na nilipoisoma ile report ya ISO Zimbabwe nilishtushwa sana. MDC waliwafukuza viongozi wote wa ISO kwa madai kuwa walikuwa wamekiuka taratibu na sheria za chama kutoa habari za ndani ya chama nje! MDC hawakukana malalamishi ya ISO na ndipo Mugabe alipodakia hoja hiyo na kuifanya issue kubwa ktk uchaguzi uliofuata.... sound familiar?.. siasa za kiafrika..

Kwa hiyo hata tukitazama vipi swala la Zimbabwe, bado Mugabe ni mshenzi mbovu kama viongozi wengine ambao hatutaki kabisa kuwatazama.. hao kina Morgan na MDC.. hakuna chunvi ktk maneno yangu na nitarudia kusema mtakuja nambia siku moja kuwa Mkandara alisema haya!..
Imani yangu nina hakika hata kusema kuwa Tulikosea sana - mtashindwa kwa sababu ndio utamaduni wa Mdanganyika..Utumwa wa akili bado ni kilema kikubwa kwetu.

Hata yule Kilema wa miguu mara nyingi hatakiwi kuitazama ajali iliyosababisha ulemavu wake lakini hapa nashangaa kabisa watu wanapotetea kuwa ni lazima ukubali ulemavu wako na kushindwa kwako kuruka mfereji hautokani na ajali ile...Kama wewe ni kilema nani alikwambia uruke mfereji even if it is the only way through!..
That's why mjadala huu umesimama tu kumtazama kilema mbishi Mugabe akijaribu kuruka mfereji wakati mimi nazungumzia kuwa sii tu ni kilema isipokuwa hawezi kuruka mrefeji huo kilema chake ni kikubwa kilitokana na ajali blaa blaaa blaaa!..

Bwana Mkandara,
Hapo juu umeongea mengi, labda kwa kudhani sawa, hujaweza kujustify mengi uliyoyasema. Ukiangalia zaidi umeongelea siasa tu kama wanavyoongea wanasiasa wengi bila kutuambia chronicle of events! Kama ungeangalia muda na matukio yote yaliyotokea basi utaona kuwa Mugabe is a real opportunist ambaye anawajua watu wake (Waaafrika). Kwanza ni vitu viwili vikubwa ambavyo Mugabe alivitumia. Mwaka 1999/2000, alitumia race card, ikamshinda, miaka iliyofuata 2002 alibakiwa na option moja tu, ardhi! Na hii ndiyo ilikuwa card ya mwisho; na option zimekwisha na watu wameshamwona naye ni bomu.
Tafadhali panga maelezo yako kwa matukio na wakati ndipo utaelewa kuwa Morgan si kibaraka kama unavyoona wewe, wazungu waliomsupport Mugabe mara ya kwanza ndio hawa hawa walimsupport Morgan baada ya kuona kwamba siasa zake at least zina ridhisha.

Bwana Mkandara, Bob ni mjanja tu na mchoyo wa madaraka; anza historia yake tangu anapigania Uhuru hadi leo na mambo aliyoyafanya. Uoni kwamba wazungu walimsaidia sana Mugabe, hata wakati alivyoua watu 20,000 kule matebeleland wazungu walikaa kimya? MDC haikuanzishwa na wazungu, bali wazungu wali-support MDC.
 
terrible Two!

0,1020,526255,00.jpg

Tema Mate Chini Na Useme "Nightmare"

Hivi Wakimfata Kikwete Hapo Bongo WATANZANIA Watajiunga na jeshi wakampiganie Nani?

MKAPA?

KIKWETE?

TSIVANGIRAI?

KICHAKA?

Mfisadi?

Ama TAIFA? NA KAMA TAIFA...LIPI HILO? SI LISHAUZWA? TUOMBE MUNGU WABONGO! NI NOMA!

Nilishamshauri Jk Aombe Msamaha Kwa Wazalendo Na Pia Arudishe Nchi Kwa "the People"

Wenzake Wamerudisha Ardhi....haya..kikwete..tunataka Uhuru!
TUKIANZIA NA MADINI!

YOU KNOW WHAT AM SAYIN...MEREMETA,TANI ZA MAGOLDI(TAN GOLD)
GREEN AND DEEPEST GREEN.

DAMN IT!

SASA MALI ZETU KUMBE MLIKUWA SIRI ZA JESHI?

KWELI LABDA MTUUWE!

ILA THIS TIME AROUND KAMA BADO HUJAONA WE'RE BOUT TO BE VICTOURIOUS...THEN WE KICHAA KA KICHAKA MWENYEWE UNAYETAKA KUTUPELEKEA BALAA AFRIKA!
 
Hatutaki Ukomunisti!
Hatutaki Ubepari!
Tunataka Uhuru Kwanza.
Ubinadamu.
Utu!
Maendeleo!
Sisi Si Sivyo Tulivyo!
Ni Nyie Viongozi Bagasi.
 
Hivi bado tu hamjaona hii vita ingeligawa bara letu?
Tanzania kungewaka MOTO nawaambieni.
Mahali kungekuwa salama ni HAPA USA NA HUKO CHINA!
HUKO BONGO TAYARI KUNA JOTO LA KUTOSHA!
MAKOMBORA YA MCHINA YAKISHUSHWA HAPO HAPATALIKA!
KISA MNAPIGANIA MFISADI!
 
HIVI NYIE WATETEZI WA MKABURU...NAULIZA HIKI.
MNAFIKIRI NYIE MNAOIMBA KAMA KASUKU MTAPONA?
AMA NA NYIE MKO US NINI?
AMA UCHINA?
Kwa wale mlioko bongo...MSIKUBALI MWANAJESHI WETU HATA MMOJA AENDE ZIMBABWE!
KWANI KWA KUFANYA HIVYO....MAKOMBORA YA MCHINA YALIYOKO ZIMBABWE,SOUTH AFRIKA NA KWINGINEKO MSIKOKUJUA...YATAMIMINIWA EVERYWHERE...KUANZIA DODOMA,DAR,KILIMANJARO,MWANZA,ARUSHA....ZOTE HIZO KIHAKI NA KWA SHERIA FLAN FLAN ZA KIMATAIFA KAMA TUKIPELEKA JESHI HUKO...BASI WANAWEZA KU DECLARE WAR!
NA TZ TUKO VERY WITHIN SA TARGET TAMU SANA!
TENA USIJE KUTA TAYARI WAPO NDANI YA BONGO!
MAANA BODA ZETU SISI WENYEWE?
HUKO MBEYA KULIKUWA NA ULINZI MZURI?
AMA ILE RADA MBOVU NDO SIRI YA JESHI YA KULIANGAMIZA TAIFA?
MAMA YANGU!
HUKO SIKO!
 
Interesting Observer,
Umesema nimezungumza mengi kwa kudhani niko sawa!.. ebu nipe darasa hapo kidogo maanake umesema mwaka 1999/2000 alitumia race card akashindwa!.. hapa alishindwa vipi?... maanake navyofahamu mimi mwaka huo ndio ulikuwa mwisho wa makubaliano yaliyowekwa kuhusiana na ardhi ambayo imeshikwa na makaburu (wazungu) now, unaweza vipi kulizungumzia swla hili bila kutumia racecard! Swala la awali ambalo lilikuwa chimbuko la Uhuru wa Zimbabwe lilirudi..
Mkuu wote kina Nkono, Sithole, Mugabe na wengine wote kilichowapeleka mwituni kilikuwa ni ardhi.. Swala la RACE halikuwa limepotea hata siku moja isipokuwa lilipozwa na makubaliano ambayo yangetumia haki zaidi baina ya race hizo.. makubaliano ambayo hayakutokea hivyo swala la race liliibuka upya kutokana na ardhi kutomilikiwa na weusi..
Hivyo huwezi kutenganisha ARDHI na race card kwa sababu ndio sababu kubwa ya UHURU wa Zimbabwe..
Siwezi kusema UCHUMI kwani Zimbabwe ilikuwa mbali sana kiuchumi chini ya Muingereza na Kaburu nahata Wazimbabwe wengi walikuwa na nafasi ktk shule nzuri kabla kichaa mwingine Ian Smith alipojaribu kuiga siasa za South Africa.
Kisha inashangaza sana kuona waafrika tukizungumzia race card kama vile kilikuwa ni kitu cha kawaida kabisa hali sisi kama Watanzania hatukuwahi kupitia race card waliyotumia wazungu.. Vitu kama Apartheid ni racecard lakini mapana yake ndiyo yanayoweza kuzua mgogoro kbaina ya wahusika.. Na Zimbabwe ilikuwa Ardhi!..
Wazungu wenyewe kwa kutumia race card walitunga sheria nyingi za umiliki wa ardhi (come on now aslimia 10 kushika over 70% ya ardhi mnaona sawa tu) Ni sheria hizi ambazo Mugabe na wote waliomtangulia walikuwa wakizipiga vita.. sasa arudishe swala la Ardhi na race card inawapa picha kuwa yeye ndiye mbaguzi hali sheria na katiba ya serikali mpya ya Zimbabwe inatofautiana kabisa na hali halisi...Atawambia nini wananchi wake!

Jamani vipi lakini hata kama Mugabe sii mtu mzuri lakini anazo haki ktk kile alichokuwa akikitetea. Tuna mchukia kwa haya anayoyafanya leo hii lakini haina maana kabisa kumtazama Mugabe kama vile ni mzushi tu.

Kisha mkuu ni vizuri unambie pale nilipokosea ili nipate kurekebisha maneno yangu ama kama ninayo hoja naweza kuipeleka pale panapohitaji maelezo zaidi..
 
Kuna anayebisha AFRIKA KUSINI HAWANA HAKI YA KUTUPIGA MABOMU AMA ZIMBABWE HAWATAKUWA NA HAKI YA KUTUTANDIKA KAMA TUKIPELEKA JESHI?

ULIZENI MUAMBIWE MUSIWE MASHABIKI!
AMA MNAFIKIRI NI KAMA KULE KISIWANI WAPI SIJUI VILE?

HAPO KUNA MBEKI..MUGABE...HAO WATU MWINGEREZA MWENYEWE KAPELEKESHANA NAO SANA TU.

LAKINI WANATAKA WANANCHI NAO AT LEAST WAONE MATUNDA YA UTAJIRI WAO!

WE HUJUI ZIMBABWE ILIPEWA JINA LA MTU BINAFSI ALIYEKUWA AKI IHODHI?

RHODESIA?

Hao wanajeshi huko bongo wanajuwa GUERILLA WAR?

BASI KAMA KWELI WATAKWENDA VITANI...WALAHI NAKWAMBIA I CAN BET YOU MY LIFE WAZIM NA WASAUZI WAMO BONGO!

KWANZA NOMA ZAIDI...MCHINA MWENYEWE YUMO BONGO KILA MAHALI!

MWAKA 2006 NILITEMBELEA BONGO HAKUNA MAHALI SIKUONA MCHINA!
 
Hata hayo matukio yote ni ni kama walivyo mset up Saddam tu kwani hata silaha za kumzima mpinzani wake mugabe alipewa na hao hao UK.
Na tukio la SADDAM na G8 SUMMIT...HUKU MANDELA AKIMWITA KICHAKA KICHAA....MLITAKA MUGABE AFANYAJE?
 
Hivyo Basi...vita Hakuna!
NA PIA SAY NO TO AFRIKAN PEOPLE STARVATION...STARTING WITH ZIMBABWE!
 
Na wale wanaodai kuwa hii haikuwa proxy war...Wasome hii habari especially kwenye highlight!

Zimbabwe's Mugabe sworn in after discredited vote

  • <LI class=publication>AP foreign
  • , Monday June 30 2008
By ANGUS SHAW
Associated Press Writer
HARARE, Zimbabwe (AP) - Zimbabwe's longtime ruler Robert Mugabe was sworn in as president for a sixth term Sunday after a widely discredited runoff in which he was the only candidate. His main rival dismissed the inauguration as ``an exercise in self-delusion.''
Just hours after electoral officials said Mugabe won Friday's presidential runoff, which observers said was marred by violence and intimidation, the 84-year-old leader sounded a conciliatory note.
``Sooner or later, as diverse political parties, we shall start serious talks,'' he said in a speech following his swearing-in. He also had promised talks on the eve of the vote.
Mugabe, Zimbabwe's leader since independence from Britain in 1980, was expected at an African Union summit that opens Monday in Egypt, where he was to face fellow African leaders who want him to share power with his main rival, Morgan Tsvangirai.
Tsvangirai, leader of the opposition Movement for Democratic Change, told Associated Press Television News that Sunday's inauguration was ``meaningless.''
``The world has said so, Zimbabwe has said so. So it's an exercise in self-delusion,'' he said.
Tsvangirai said he believed members of Mugabe's ZANU-PF party were ready for talks.
``I think that the reality has dawned on all the elites in ZANU-PF,'' Tsvangirai said. ``Without negotiating with the MDC this is a dead-end.''
African and other world leaders have condemned Friday's vote. Human rights groups said opposition supporters were the targets of brutal state-sponsored violence during the campaign, leaving more than 80 dead and forcing some 200,000 to flee their homes.
Residents said they were forced to vote by threats of violence or arson from Mugabe supporters who searched for anyone without an ink-stained finger - the telltale sign that they had cast a ballot.
On Sunday, Human Rights Watch said in a statement that Mugabe supporters beat people who couldn't prove they voted.
Tsvangirai withdrew from the race because of the violence, though his name remained on the ballot and his supporters may have spoiled their ballots rather than vote for Mugabe.
The electoral commission said total results showed more than 2 million votes for Mugabe, and 233,000 for opposition candidate Morgan Tsvangirai. Turnout was put at about 42 percent, and 131,000 ballots had been defaced or otherwise spoiled, apparently as an act of protest. Neither candidate got credit for the spoiled ballots.
In the opposition stronghold of Bulawayo, official results showed Mugabe got 21,127 votes and opposition candidate Morgan Tsvangirai had 13,291, while 9,166 ballots were spoiled.
A high number of spoiled ballots had been noted earlier Sunday by Marwick Khumalo, a member of parliament from Swaziland who led a team of election observers from across the continent under the auspices of the AU-sponsored Pan-African Parliament.
Khumalo said some ballots were defaced with ``unpalatable messages.'' He refused to elaborate, but left the impression the messages expressed hostility toward Mugabe, who has been accused of ruining Zimbabwe's economy and holding onto power through fraud and intimidation.
Tsvangirai won the most votes in the first round of presidential voting in March, but not enough for an outright victory. Official results were not released for more than a month after that vote.
In recent days, African mediators have been pushing for Mugabe and Tsvangirai to negotiate a power-sharing agreement.
A draft resolution written by AU foreign ministers during two days of talks before the summit condemned violence in general terms and called for dialogue but did not criticize the runoff election or Mugabe. A copy of the resolution was obtained by The Associated Press.
Participants in the meetings at Egypt's Red Sea resort of Sharm el-Sheikh said Mugabe would not be publicly condemned at the summit by fellow Africans, who would continuing urge him to engage in power-sharing.
Mugabe said on the eve of Friday's vote he was open to talks, but pressed ahead with the election, apparently hoping a victory would give him leverage at the negotiating table. It now appears he will be able to draw little legitimacy from the runoff.
Khumalo, the observer, urged African and regional leaders to ``engage the broader political leadership in Zimbabwe into a negotiated transitional settlement.''
With the election discredited and attention turning to the possibility of negotiations, Mugabe's role in any future government could be a sticking point.
Tsvangirai said in an interview with The Sunday Telegraph of Britain that Mugabe might be allowed to stay on as ceremonial president of a transitional government, with himself as executive prime minister.
``It's being considered within our structures,'' the paper quoted Tsvangirai as saying.
Also Sunday, a U.S.-led push to punish Zimbabwe ran into resistance from China, which can veto U.N. penalties sought against its African ally.
After talks with Secretary of State Condoleezza Rice, China's foreign minister said Beijing favors negotiations between Mugabe, who was sworn in for a new term Sunday, and the opposition.
``The most pressing path is to stabilize the situation in Zimbabwe,'' Yang Jiechi told reporters at a news conference with Rice. ``We hope the parties concerned can engage in serious dialogue to find a proper solution.''
President Bush said Saturday the U.S. was working on ways to further punish Mugabe and his allies. That could mean steps against his government as well as additional restrictions on the travel and financial activities of Mugabe supporters. The U.S. has financial and travel penalties in place against more than 170 citizens and entities with ties to Mugabe, the White House says.
Bush also wants the U.N. Security Council to impose an arms embargo on Zimbabwe as well as travel bans on Zimbabwe government officials.
The government of Zimbabwe has followed a sham election with an illegitimate inauguration,'' deputy State Department spokesman Tom Casey said. ``The United States calls upon all members of the AU to reject the June 27 election, to denounce Robert Mugabe's inauguration.''
Rice has said the U.S. plans to introduce a resolution in the council this coming week. The United States holds the council's presidency until July 1, but appears to face an uphill battle in getting several important members to agree to any penalties.
In addition to China, both Russia, also a permanent veto-wielding council member, and elected member South Africa have opposed action on Zimbabwe, saying the situation is an internal matter.
Mugabe was once hailed as a post-independence leader committed to development and reconciliation. But in recent years, he has been accused of ruining Zimbabwe's economy and holding onto power through fraud and intimidation.
The official inflation rate was put at 165,000 percent by the government in February, but independent estimates put the real figure closer to 4 million percent.
Since the first round of elections, shortages of basic goods have worsened, public services have come to virtual standstill, and power and water outages have continued daily.
----- Associated Press Writer Paul Schemm contributed to this report from Sharm el-Sheikh, Egypt.
 
Sasa Hayo Makampuni Yanayoigombea Afrika Kila Kukicha!
Tutafika Kweli?
Kwa Nini Wasiingize Utu Wawasaidie Masikini Wa Afrika Kupata Maendeleo?
Afrika Hahiitaji Misaada Ya Vyakula!
We Have Arable Land.
We Need Means To Utilize It To The Best For Our Benefit And The Next Generation.
We Dont Neccessarily Need A Bunch Of Medicine For Preventable Diseases.
We Need Means To Overcome The Enviroment...hence Prosperity!
Mazingira Mabovu=magonjwa!
Mfano Ni Kipindu Pindu Kinachowapeleka Peleka Hapo Kwenye Hilo Jiji Lenu La Bongo Mnaloona Kama Lishaendelea!
Jengeni Nchi Na Si Kuridhika Na Kukalia Politics Ambazo Badala Ya Kutuwekea Wazalendo Madarakani Mnatuwekea Sijui Nini Vile?
 
Nani Anabisha Sasa Si Mchina Na Mmarekani Hapo?
Nani Anasema Ni Mugabe Na Tsivangirai?
Coalition Ya Kikwete Ni Mbovu!
Hakuona?
Hawa Watu Bana!
 
Kama kweli Bush anamchukia Mchina kiasi hicho...Ni kivipi anamkopa mabilioni kila kukicha ili aende IRAQ?

Halafu in turn anageuka na kusema tupigane naye!
Halafu kuna MAMLUKI wanakubali!

WAENDE WAO!WATANZANIA MSIKUBALI NA PROPAGANDA ZA MUGABE HIVI..MUGABE VILE!

MASLAHI YETU KWANZA.
TUDAI RIPOTI NA HAKI ZETU KWENYE ISSUE ZOTE ZA UFISADI!
TUKIANZIA NA ZITTO KESHO HUKO DODOMA.
 
Na kwa wale wanaotaka hint.
WAMAREKANI WAJANJA...WALIONA MBELE.
SO watampa sapoti OBAMA.
Kwani kuna movement kuanzia BARA ZIMA LA ULAYA!
NA AFRIKA!
BUSH ALISHAIUNGANISHA DUNIA NZIMA KWA KITENDO CHAKE CHA KUTAKA VITA KILA SIKU!
VIONGOZI WETU HAWAKUONA?
Jamani...Ni vipi tena?
Dunia nzima iliandamana against vita vya IRAQ mara baada ya kuona kuwa hata Saddam mwenyewe kwa ubaya wake aliuwa na silaha za magharibi!
Sasa hakuona kuwa somo la IRAQ HAKUNA ATAKAYEFAGILIA VITA ZIMBABWE?
AMA KWELI!
ANAJUWA NINI KIMEMWANGUSHA BLAIR?
NA HATA GORDON MWENYEWE HANA NGUVU NA HAJUI AFANYEJE KWANI AMEKUTA OFISI NA MASIGNATURE TAYARI!
KWAMBA SASA NI ZAMU YA KICHAKA KUMSAIDIA KUM SADDAM MGABE!
 
Wamarekani Wameshagundua Kuwa....vitendo Vichafu Vya Bush..vimepelekea Hishma Ya Taifa Hilo Na Hata Wazungu Wenyewe Kushuka!
Kwani Tabu Zetu Ni Hayo Makampuni Yao Na Mafisadi Wetu!
We Want Freedom!
 
Kikwete ushauri wangu huu.
Waambie hao jamaa...KINA SINCLAIR...BUSH KAWAARIBIA SANA TU!

Hivyo MIKATABA IVUNJWE MARA MOJA!

KAMA NI MIPYA...HATA KAMA NI WAMAREKANI...HAKIKISHA INAMNUFAISHA MNYONGE!

HALAFU...HAPO NI KAMA IN CASE UKO MADARAKANI.

NA KUWEPO KWAKO MADARAKANI KUNATOKANA NA HILI...

OMBA WATANZANIA MSAMAHA.
RIPOTI ZOTE ZISOMWE.
VUNJA MIKATABA!

ZINGATIA MAPENDEKEZO YOTE YENYE MANUFAA.

HATUJALI KAMA NI MCHINA AMA MMAREKANI!

KWANZA CHANGANYA WOTE NA ATAKAYEKUBALIANA NA DILI NZURI YA KUTUFAIDISHA...THEN KAMATA DILI!

HATA HIVYO...NI LAZIMA UKWELI UWEKWE WAZI,NA MSAMAHA KWA WATANZANIA! NA SI MAMBO YA SIRI ZA JESHI.

NA PIA MKITAKA...MSHIRIKI KWENYE MCHAKATO WA KUMPATA MZALENDO KWA NIABA YA WANANCHI.

MKILETA MIZENGWE MTAARIBU!

NA HAO MAFISADI WENGINE WAKITAKA WAPONE....MALI ZAO WALIZOIBA ZITAIFISHWE.

PESA ZIRUDI MARA MOJA!

ILA NI BAADA YA MAKUBALIANO NA SERIKALI MPYA KWAMBA HATUTAWASWEKA NDANI!
a)Mkiwashirikisha watanzania wote ambao sasa masikio juu!
b)Mkisema ukweli
c)Mkikubali kuwajibika.
d)Mkishiriki bila mtandao wa ccm ya zamani kwenye mchakato wa namna ya kumove forward!
e)Zungumza na wadau wote wa nchi kwenye namna ya kumove forward na si kukumbatia maslahi binafsi ama ya chama!
Msipoisafisha hii nchi sasa hivi nani atafanya hivyo?
Style ya kujisafisha mliyoichaguwa ilishindwa...Na hivyo UUNGWANA KWELI KAZI.

HAPO NI KAMA MKITUBU!

MSIPOFANYA HIVYO...TAIFA LITATUMBUKIA MATATIZONI!

KAMA HAMWEZI KUMSOMESHA BUSH NA KUMWELEZA KUWA UMAARUFU WAKE NI MBAYA MLIKOSEA!

NA MLIKOSEA KWASABABU MLIFIKIRI MTAWEZA KUFICHA UFISADI WA EPA.NK

SASA NA KAMA MKITEGEMEA BUSH ATAKUPA SAPOTI KWENYE HIYO KASHFA YA UFISADI...SAHAHU!

SEMA UKWELI...NA KWA KUANZIA...USIKATE HOTUBA YA ZITTO!

KAA NA WAUNGWANA WENGINE ILI KAMA KWELI WEWE MZALENDO...BASI MUURUDISHE UHURU WETU!

ASANTENI.
 
Mkandara,
nilipoongelea race card na ardhi card sijui umenielewa vipi. Narudia tena kuwa baada ya Mugabe kuboronga uchumi wa ile nchi, na kuona kuwa amezongwa, alibaki na card mbili tu! Race na Ardhi. Elewa kuwa tangu ule mkataba wa Lancaster mambo hayo yote yalielezwa vizuri sana. Ardhi na hata status ya wazungu waliobaki Zimbabwe. Mugabe alikuwa rafiki mkubwa kwa Wazungu. Akina nyerere walishamwambia wazi kabisa katika vitu vya kwanza kabisa kufanya akichukua madaraka lazima aangalie suala la ardhi. Kama ni kutaifisha basi afanye haraka. Jiulize kwa nini hakutaifisha ardhi muda mfupi baada ya kutawala hadi angoje miaka 20? Wewe kwa haraka utasema Waingereza walishindwa kufanya financing waliyoahidi Lancaster. Lakini pamoja na mengi Mugabe alikuwa darling wa Uingereza. Alipata support yote aliyoitaka. Na alizidi kuwa rafiki.

kilichomtibua Mugabe ni baada ya Waingereza kuona kuwa Mugabe and cronies were too corrupt, na uchumi ulianza kuporomoka. At this time Zimbabwe needed a change. Mzee hapo ali-loose support ya Uingereza; na wakati ule baada ya MDC kufanya parliament election akagundua kwamba nguvu zake zimepungua. Ghafla kama alivyokuwa na ujanja wake, akajua kuwa card zake mbili zilizopo ambazo angefaulu azitumie. Akampakaza Morgan, kwamba kawekwa na wazungu, na wazungu ndiyo wanamsupport. Vile vile uingereza na Marekani ndiyo wanataka kurudi wachukue nchi kupitia Morgan. Wewe na mimi tukaamini kuwa Morgan ni kibaraka wa Wazungu; na siye waafrika ni rahisi sana kuamini kuwa matatizo yetu huletwa na wazungu. Hii race card ilisaidia kidogo, lakini kufikia mwaka 2002 alikuwa hana njia nyingine.

MDC na ZANU-PF wote walishasema kuwa ardhi ndiyo uti wa mgongo wa watu weusi lazima umilikaji wa ardhi usahihishwe. Hata wazungu wngi waliomiliki mashamba hayo wengi waliafiki kuwa in long term ardhi lazima ipewe watu weusi. Si suala tu la ZANU-PF; very open, hata Lancaster lipo. Baada ya Mugabe kupoteza viti kwenye parliament akawaonya wazungu kuwa, wakiendelea na kumsupport MDC atanyang'anya mashamba yao. Sasa wewe fikiria kwa nini anyang'anye mashamba kwa sababu tu wazungu wanapmsupport Morgan? Hii card ikafanya kazi. Hata hivyo watu wananchi wa Zimbabwe wakamstukia; maana baada ya uchaguzi na mashamba kunyang'anywa hakuna makabwela waliopata.

Sasa hivi hizo card zimekwisha na sasa hana option; kaja na violence.

Mkandara, kiongozi hata kama alikuwa mzuri kiasi gani, kama kishaua kiasi hiki na wewe bado unaona aliyoyafanya ni mazuri, basi wengi inabidi tuwasamehe; hata Sadam Hussein, Idd Amini, nk walikuwa watu wazuri against Westerners; but killiong your own people and startving them to death? this is a tyrant!
 
.....Mugabe anajidanganya tuu,ataishia The Hague tuu na ita happen soon,na mauaji ya 1982 ndio yatakuwa issue,kweli mzee anajidanganya huyu na kibaya zaidi hao cronies wake nao wataishia jela tuu,seems watu wamesahau why the hague iko pale na kuna very strong case & evidence to be made against Mugabe and his cronies na wataanza na mmoja mmoja...soon mtasikia.
 
.....Mugabe anajidanganya tuu,ataishia The Hague tuu na ita happen soon,na mauaji ya 1982 ndio yatakuwa issue,kweli mzee anajidanganya huyu na kibaya zaidi hao cronies wake nao wataishia jela tuu,seems watu wamesahau why the hague iko pale na kuna very strong case & evidence to be made against Mugabe and his cronies na wataanza na mmoja mmoja...soon mtasikia.

Si waanze na Kagame na Museveni basi..maana wameuwa kweli kule Congo..au Hawana evidence?? au The Hague haiyaoni ya Congo inayaona ya Zimbabwe tu??
 
Back
Top Bottom