nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,253
ukila sharti uliwe-jkNi kweli werema ni janga la taifa. Mi nashindwa kuelewa hivi mh Dr JK mbona wateule wake karibia asilimia kubwa wana upungufu wa maadili? Au ni kwa kuwa ni usalama wa taifa wanajua wao ndiyo mamlaka? Au usalama wa taifa hawajui public ethics? Ukweli hatujawahi kuwa na wateule wa rais wenye kukosa uwezo wa kufikiri kama hawa wateule wa Dr
mteuzi mwenyewe boksa mkononi,maadili ziro!