Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

Kama watu wanaingia kwa kuhonga, wanaachaje kutumika na wanasiasa?
Sio tu kuhonga, wengine wanaingia jeshini wapate mishahara ya dezo, maana hakuna kazi za kufanya..kulitakiwa kutafutwe vita mahali popote pale wapelekwe hawa ili wajue maana ya kazi ya jeshi..sijui tuna viongoz gan, hata msumbiji jirani zetu hawataki kuwapeleka..kazi yao iliyobak ni mstaafu kuwaanzishia vyuo hata havieleweki, sijui kunduchi mambo gani sijui..yaani eti priority ya jeshi ni kusoma kozi za kulinda amani..kwenye nchi za wengine..mambo ya ajabu kabisa..hatuna jeshi!
 
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
Mkuu, utasakwa sana.
 
Mnavilaimu tu bure vyombo vya ulinzi na Usalama

Ila ukilinganisha takwimu zetu za utekaji na nchi nyingine mfano Mexico na Marekani utaona Tanzania ni heaven kabisa.

Kukua kwa media kumesababisha mijadala kuwa mingi na taarifa nyingi unverified kuwepo mitandaoni.

Mtu anapost unverified story inakuwa consumed hivyo hivyo ilivyo.

Tuwasaidie tu wafanye kazi zao ila hali yetu sio mbaya kuweza kuzua taharuki namna hii mpaka Kuanza kujudge kazi za watu wengine ambao tumewaamini na kuwakabidhi dhamana hizo.
Pumbavu Sana wewe ,siku Mona ndugu yako au wewe utekwe na kufirwa au kuuawa ndio urudi hapa kuandika upuuzi ,shwain
 
Kweli Mkuu jeshi limeshindwa kumiliki Migodi na kuwekeza kwe Makaa ya mawe na kuwekeza kwenye Sekta za Ujenzi na kilimo wao kazi yao kwenda kazini kufyeka na kujifunza kupiga kwata na Band, Magufuli alikua anwaingisza kwenye shughuli za Uchumi, Alivyoingia huyubMamw nikamsikia anasema kazi ya Jeshi ni kujifunza mafunzo ya kimedani na siyo kufanya shughuli za kiuchumi.
 
Zamani kwenda jeshini kulikua na vigezo vingi sana hasa ukakamavu, uzalendo hukuti jeshini habari za rushwa na kashfa za hovyo.
Siku hizi kama hauna kadi ya CCM, huendi TISS , Hupewi cheo.
Yaani jeshi na greenguard ni ngumu kuwatofautisha vitoto vimerendemka, nikiwa Dodomu kuna mwanajeshi wezi waliingia kwake na akapiga yowe kuomba msaada, zamani ukisikia kwa mjeshi mnaogopa hata kwenda kuiba mboga za majani.
Juzi juzi hapa kuna mmoja alileta malalamiko bima zao zimefanya nini sijui. Mpaka wanajeshi nao wanalalamika. Halafu hata kutumia id yake akashindwa. Akatumia anonymous
 
Sio tu kuhonga, wengine wanaingia jeshini wapate mishahara ya dezo, maana hakuna kazi za kufanya..kulitakiwa kutafutwe vita mahali popote pale wapelekwe hawa ili wajue maana ya kazi ya jeshi..sijui tuna viongoz gan, hata msumbiji jirani zetu hawataki kuwapeleka..kazi yao iliyobak ni mstaafu kuwaanzishia vyuo hata havieleweki, sijui kunduchi mambo gani sijui..yaani eti priority ya jeshi ni kusoma kozi za kulinda amani..kwenye nchi za wengine..mambo ya ajabu kabisa..hatuna jeshi!
Uko sahihi sana, nimewahi kusema huku mara nyingi, hili jeshi linalokaa muda wote likiwa halifanyi kazi yoyote yenye tija maana yake ni nini? Halafu unakuta mwanajeshi anastaafu hata veuita hajawahi kupigana vita kisha waanasema ana utumishi uliotukuka na sifa zisizo za kweli. Kwanini wasitumike kulima chakula kipelekwe kwenye ghala la taifa ili kustabilize bei ya vyakula? Ama watumike kujenga nyumba za bei nafuu kwa wananchi?

Wanalipwa mshahara mikubwa, mikopo kwenda kucheza darts huko jeshini, matokeo yake ndio wanatumika na ccm kutisha na kuua wananchi ili wabaki madarakani.
 
Zamani kwenda jeshini kulikua na vigezo vingi sana hasa ukakamavu, uzalendo hukuti jeshini habari za rushwa na kashfa za hovyo.
Siku hizi kama hauna kadi ya CCM, huendi TISS , Hupewi cheo.
Yaani jeshi na greenguard ni ngumu kuwatofautisha vitoto vimerendemka, nikiwa Dodomu kuna mwanajeshi wezi waliingia kwake na akapiga yowe kuomba msaada, zamani ukisikia kwa mjeshi mnaogopa hata kwenda kuiba mboga za majani.
Mkuu jeshi limevamiwa na Waswahili, sikuhizi kwenye chuo cha mafunzo ya maafisa Monduli wanaimba mashairi ya kumsifu Samia siku ya kupewa vyeo
 
Uko sahihi sana, nimewahi kusema huku mara nyingi, hili jeshi linalokaa muda wote likiwa halifanyi kazi yoyote yenye tija maana yake ni nini? Halafu unakuta mwanajeshi anastaafu hata veuita hajawahi kupigana vita kisha wsanasema ana utumishi uliotukuka na sifa zisizo za kweli. Kwanini wasitumike kulima chakula kipelekwe kwenye ghala la taifa ili kustabilize bei ya vyakula? Ama watumike kujenga nyumba za bei nafuu kwa wananchi?

Wanalipwa mshahara mikubwa, a mikopouu kwenda kucheza darts huko jeshini, matokeo yake ndio wanatumika na ccm kutisha wananchi ili wabaki madarakani.
Mkuu jeshi letu limekua la Comedian, Siku ya Mashujaa wamemuokota Brigedia wa Mchongo na kumtambulisha alipigana vita ya Kagera na kulipua Daraja, huo wote ni Uongo mkubwa Makamanda wengi wao waliokua mbele kwenye Vita ya kagera wanajulikana na wengi wao wamefariki na waliobaki hai ni Wachache sana na huyo tapeli wao hayumo.
 
Je huyo mwanajeshi ni mstaafu au wanasema bado yuko kazini?
 
Back
Top Bottom