were is Rukus!

Duh! nimesoma vibaya au ? Rosemarie anamtafuta Uncle Rukus ? talk of opposite's attract. Kajaa tele kule Jukwaa la Wakubwa na kwakuwa hupiti kule ni vigumu kuonana.

Mny'kiti naomba muongozo; sheria zetu zina tamka wazi kuwa kuwa ni kosa kwa mshirika kutoa kauli ya kuudhi zidi ya mshirika mwenzake.kifungu # 21,B.hivyo basi Namtaka ndugu Uporoto ufute kauli yake......
 
Nipo ndugu, nilipotea siku mbili hizi mtaani kwangu kulikuwa na msiba mkubwa sana......Eeh hivi kumbe Rukus nae ni celebu?
Tumbo lote hilo ukose kuwa celeb bana lol!
Mny'kiti naomba muongozo; sheria zetu zina tamka wazi kuwa kuwa ni kosa kwa mshirika kutoa kauli ya kuudhi zidi ya mshirika mwenzake.kifungu # 21,B.hivyo basi Namtaka ndugu Uporoto ufute kauli yake......
Nafuta kauli na kuomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea na chochote kilichoelekea kushusha hadhi ya Uncle Rukus hapa Jey Efu au kwa hawa ma-guest ambao kutwa kuchwa hushinda nasi hapa wakila chabo.
 
Tumbo lote hilo ukose kuwa celeb bana lol! Nafuta kauli na kuomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea na chochote kilichoelekea kushusha hadhi ya Uncle Rukus hapa Jey Efu au kwa hawa ma-guest ambao kutwa kuchwa hushinda nasi hapa wakila chabo.
Haya tunaweza kuendelea na mjadala......Aisee umecheck ile thread kule chumba cha mwisho bondeni?Yule mrembo ametutoka majuzi, hali ni mbaya sana mtaani kwangu maana hakuwa mchoyo kabisa iliwakarimu wazee kwa vijana kulingana na mahitaji yao...
 
uncle rukus mara ya mwisho tulionana kwenye post moja ya mambo ye net,nilikumis sana mkuu,nilikuwa nafikiri labda na wewe umebadili id!
 
uncle rukus naomba ufafanuzi kwenye hili
 
Uncle vp?nakumbuka uliahidi kushusha mapics zaidi ya kilichokuwa kinatokea BBA zaidi ya ile Ernest na yule dada yetu lkn hukufanya hivo mkuu,, kulikoni?
 
uncle rukus mara ya mwisho tulionana kwenye post moja ya mambo ye net,nilikumis sana mkuu,nilikuwa nafikiri labda na wewe umebadili id!

Nakumbuka aisee alimanusra mnichape ngumi we na Sharobalo.... Nitarejea kwenye kukwaa letu mda si mwingi!
uncle rukus naomba ufafanuzi kwenye hili
Nadhani Uporoto amekujibu, maana hata nikikufafanulia utashindwa kunielewa maana nasikia huna ufunguo wa icho chumba cha bondeni.
Hii ilikuwa taarifa kwa ajili yangu ipotezee dear.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom