Wenye waume JF..TAHADHARI.

oi...! Utakuwa humridhishi Mumeo...
 
Nipo Sweety. Nipo sana tu. Habari ya deskmate?
Halafu mi nashangaa, mbona wewe ulipo jua ninasoma na deskmate uliniruhusu kuchonga pensil yake darasani, bora tu jiuoni arudi nyumbani? lolest!
Deskmate hajambo kabisa, alienda kijijini kuvuna vitunguu ndio mana unaona kapotea, kule net hakuna ndugu yangu... Ila usijali atarejea siku sio nyingi....

Mie nilikuruhusu wewe tu manake nakupenda ila kwa wengine NOOOO!
 
Deskmate hajambo kabisa, alienda kijijini kuvuna vitunguu ndio mana unaona kapotea, kule net hakuna ndugu yangu... Ila usijali atarejea siku sio nyingi....

Mie nilikuruhusu wewe tu manake nakupenda ila kwa wengine NOOOO!
Basi mfundishe Mrs Ma2mbo hiyo SELECTIVE GENEROSITY. lol
 
Mmmh...mfunde mumeo akuone weye 2, acwe macho juu. .afu jiamin na kaz yako ma', wapangaj wackuhamishe mwenye nyumba
 
wako bize
wanarudi home baada ya kuibwa
Jichunge sana, utaibwa sasa hivi
Lol!Una maana nitaibiwa nini?Mke?

Ama unamaanisha mimi nita "ibwa"lol! (kiswahili kigumu tafadhali mwenye lugha rahisi hapo tusaidiane)

@St Ivuga, naona unafanya kweli kumpa Lizzy likes kila posti yake, are sure you aint gonna get in trouble?Ama Mwali yuko open?lol
 
..anayeibwa kakubalii? Aletwe uwanjan tumulize kwanini aibwe mtu mzima kama yeye...na mkewe yupo ndan?je huwa anafatwa hukohuko chumbani kwa mkewe ucku(bibie akishalala)..ama anatoroka!ili tujue kwel anaibwa au anaiba
 

We Mushi unawangia mpaka LIKEs zangu? Stop it bana. . .let SI do what he promised!!
 

Hahahaha. . . mama wa kwanza andika hivi.

"Mr President found me and made me his Firstlady. . .
And I, the Queen, have already found my King, there is no place in our kingdom for a anyone else. "
Hii itawakimbiza hata hao "vijizi" lolz . .vinavyommendea Mr Prezzo.

Au "Fataki, Vijizi, Wakware ogopeni. . .tuna mbwa mkali"
 
We Mushi unawangia mpaka LIKEs zangu? Stop it bana. . .let SI do what he promised!!
Ha ha ha, hiyo "mpaka" ina maana gani?

What else nimesha "wangia" zaidi ya like?
 
Wewe mwenyewe uta'IBWA'
jinsia ya ME imekuwa scarce commodity mtaani na jf
Ni mwendo wa kuibwa tu

Hebu jichunguze upo ulipotakiwa kuwa? Au ushahamishwa makazi?

Kama una MKE mfiche sana
Kuna Operation Tindikali inakuja
Asije akajeruhiwa bure

 
inaonyesha jf members wanakutanaga face to face..mimi namchanaga sana prezidaa naogopa usalama wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…