Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,261
Magufuli ni dikteta huku membe alikua normal citizen ndo utafauti huoUnaushahidi ama unalopoka lopolopo.
Magufuli ni dikteta huku membe alikua normal citizen ndo utafauti huoUnaushahidi ama unalopoka lopolopo.
Membe ni mzoga kwa sasa halina ubishi. Kama ambavyo JPM mlimuita mzoga.Mimi nimekukumbusha hata wewe ni mzoga, sababu wewe ndo umemuita membe mzoga
Punguza mahasira mkuu utakufa na ma presha kwa kukomaza fuvu kwa watu usio wajua.We jamaa nguruwe kweli, yaani mimi nipoteze muda wangu kujaribu kukuthibitishia wewe jambo?
Utakua umerukwa na akili wewe si bure
Badala ya kumfukia wako bize kuomba aonewe huruma...Fukieni mtu wenu mnatubana na mkionanvipi kazikweni nae
Hakuna mpasuko yule kinara wa kupandikiza chuki alishafariki march 2021Mkuu
Taifa limejengwa kwenye misingi ya chuki tangu mwaka 2005 hadi leo.
Tunavuna kike ambacho waasisi wake wanaanza kupukutika
Badala ya kuwasema sana hao unaowamulika leo, piga goti kuwaombea maana tunapoelekea ni kwenye mpasuko dhahiri
100%Haya ndio matokeo ya kuua paka wa jirani kwa kumuita jina baya. Wako akiuliwa na kuitwa jina baya na wewe usilalamike
Binadamu wote ni mizoga watarajiwaMembe ni mzoga kwa sasa halina ubishi. Kama ambavyo JPM mlimuita mzoga.
Membe hana impact ya maana kama Magufuli. JPM was commander in chief of the armed forces and Membe was a wannabe President ila hakufanikiwa.Magufuli ni dikteta huku membe alikua normal citizen ndo utafauti huo
Ona ulivyo poyoyo, kuna sehemu nimemtaja Membe kwenye comment yangu? Au kuna sehemu nimeongelea ubaya au uzuri kwenye hiyo comment?Kwa hiyo wewe ndo Mungu anahukumu Membe hana baya na mtu na Mugufuli ni mbaya hana jema? Pumbavu kabisa wewe kichwa maji!
Nendeni mkamfukie huyo jamaa yenu ambaye taifa limemzira sababu ya kauli zenu na genge lake.. acha kuomba aonewe huruma humu...We jamaa nguruwe kweli, yaani mimi nipoteze muda wangu kujaribu kukuthibitishia wewe jambo?
Utakua umerukwa na akili wewe si bure
Tumia Akili waliosababisha haya ni hao walioongea maneno ya kufuru dhidi ya Magufuli.Magufuli hakuwahi kusema maneno ya kufuru dhidi ya mtu yoyote aliyofariki.usirudie kusema huo ujinga tenaHakuna mpasuko yule kinara wa kupandikiza chuki alishafariki march 2021
Nqskia amepewa nickname ya "KWENDAZAKE"Membe ndio MWENDAZAKE
Sawa mkuu, bahari imetulia.Magufuli ni dikteta huku membe alikua normal citizen ndo utafauti huo
Hahahah huyo mzee akidondoka ningali nipo hai watu watakunywa bia nyingi sana na nyama choma.Nendeni mkamfukie huyo jamaa yenu ambaye taifa limemzira sababu ya kauli zenu na genge lake.. acha kuomba aonewe huruma humu...
Pia mpe salam mzee makamba na vijana wake... waambie taifa limekaa kitako likisubiri mzigo udondoke...
nyambaaaafff... wee endelea kutoka povu..
Wazuri hawafi - mzee makamba.
Umeandika mambo mengi nonsenseKatika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.
Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.
Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.
Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.
Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.
Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.
1 The 4:13-18 SUV
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Bahari ilitulia tokea march 17 2021Sawa mkuu, bahari imetulia.
Ulivyo zwazwa sasa, ulishawahi kunisoma humu mimi nikimpigia chapuo Membe au Makamba?Nendeni mkamfukie huyo jamaa yenu ambaye taifa limemzira sababu ya kauli zenu na genge lake.. acha kuomba aonewe huruma humu...
Pia mpe salam mzee makamba na vijana wake... waambie taifa limekaa kitako likisubiri mzigo udondoke...
nyambaaaafff... wee endelea kutoka povu..
Wazuri hawafi - mzee makamba.
Sasa membe ni raia wa kawaida amefariki unataka apewe heshima gani hakua rais wa nchiNendeni mkamfukie huyo jamaa yenu ambaye taifa limemzira sababu ya kauli zenu na genge lake.. acha kuomba aonewe huruma humu...
Pia mpe salam mzee makamba na vijana wake... waambie taifa limekaa kitako likisubiri mzigo udondoke...
nyambaaaafff... wee endelea kutoka povu..
Wazuri hawafi - mzee makamba.