Wenye utimamu msihuzunike wengine wanaposhangilia kifo cha Membe

Hakuna lolote la maana uliloandika team wasafi hawafi wewe
Kwanza si jambo jema kushangilia hata kifo cha mtu ambae mmemuhukumu nyie kama binadamu kuwa ni muuwaji sijui mkosesha amani,mbona kuna wengine hawakukosa amani ndio utambue waliokosa amani kulikuwa na walakini.

Hukumu ni juu ya Maulana na sio wewe binadamu dhaifu.

Upepo umegeukia kwenu sasa mmekuja kujifanya wastaarabu na wavha Mungu mnaojua jema na Baya na kuandika maelezo mengi wakati Kwa wengine mlishangilia na kufanya sherehe.

Tanzania ni nchi huru na kila mtu yuko huru kufanya anavyojisikia bila kuvunja sheria sasa kama mtu hajahuzunika unataka kumlazimisha ahuzunike?

Acheni watu wafanye yanayowapa furaha bila kuingiliana

Pambaneni na msiba wenu na kila mtu acheze mechi zake.
 
Usifikiri wote ni maounguani kama nyie na huyo Makamba wwnu akiyeyaongea hayo. Ninyi enzi hizo mlikua mnashangilia kila kitu, wakati sisi huyo Makamba tulimpinga na na tulionya hata kitendo cha viongozi kupenda kumwita na kumpa nafasi ya kuongea.
Kwa hiyo unapo comment jua upumbavu ni wako mwenyewe
Ni kama wale wafuasi wa team ya mpira fulani bwana yule alipo kuwa anaongea mambo ya hovyo kuhusu team x (watani wa jadi) walikuwa wakimshangilia kwa nguvu zote alipo kwenda team x na kuanza kurudisha madongo wakaanza kumchukia kwamba ana maneno ya hovyo Naya kuudhi.

Binafsi sijawahi kumkubali Mzee Makamba tokana na kauli zake mbovu na kinywa chake kisicho na staha katika mang'amuzi na matumizi ya maneno lakini sababu alikuwa anafurahisha alipewa nafasi na bila shida aliongea maneno ya hovyo uku akipigiwa makofi, lakini sasa mambo yamebadilika ya mzee yule kupinga jiwe kizani kwa wafuasi wa RIP Wana tapa tapa
 
Kumbe hujanielewa kabisa.

Mimi nipo ninaandika hapa si kwa sababu ya wema wangu, ujanja wangu au ujasiri wangu, bali ni kwa rehema za Mwenyezi Mungu ambaye huwanyeshea mvua watu, huwapa hewa watu wote, wema na wabaya.

Hakuna aliye mtakatifu ila wapo wanaopenda kuwa watakatifu, hao ndio wakeshao kuitafuta hekima ya Mungu.
Wewe ni mzuri hutakufa, kengelesi
 
Acheni kuuma uma maneno muasisi wa siasa za chuki ndani ya nchi hii anajulikana.
Hivi kabla ya kufikiria haya yote kwann hamjiulizi kuwa hizi siasa za chuki mbona hazikuwepo kipindi chote mpaka zije kuonekana baada ya Jiwe kuingia Madarakani?

Kiufupi Magufuri ndo muasisi wa hizi siasa za chuki na amewaambukiza mpaka wafuasi wake na ndo hao hao wanao endeleza kazi ya jiwe kusambaza chuki ila kwa sasa hizo chuki zao hazina madhara kwa sababu hawana nguvu yeyote wamebaki kubweka na kutukana hovyo hovyo kwenye mitandao ya kijamii.

Kiufupi wafuasi jiwe wamesha athirika kisakolojia baada ya kupoteza Madaraka kwa ghafla na katika hali ya kushangaza hali takuwa walidhani wangebaki na hayo Madaraka milele ,na ndio maana wako tiyari kufanya chochote ili mradi wapate furaha bila kujali hicho kitu ni kitu cha aina gani.
Ni bora uchukie/uchukiwe na wachache na uwapende/ upendwe na wengi kwa faida ya wengi na kwa faida ya kizazi cha leo na kesho.
 
Ukitaka kuona mihemko ya watu soma michango ya huu Uzi,hisia zimetawala zaidi na mwisho wamepoteza maana halisi ya Uzi.

Kifo ni hatua ya mwisho katika maisha ya mwanadam hivyo sote tu wapitaji tu katika dunia hii wale walio wekeza matumaini makubwa kwa binadamu wenzao katika maisha pale kifo kinapo tokea hubaki na masikitiko ndani ya mioyo yao hivyo hubaki kutafuta faraja tu hata kwa vitu visivyo na msingi.
TUliza kamasi, bahari imetulia 1-1,
 
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.

Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.

Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.

Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.

Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.

Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.

1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Unasshau nchi hii ina Makundi mawili Pro-JPM na against-JPM! Wanaofurahi ni voice of the voiceless ya Pro-JPM
 
Acheni kuuma uma maneno muasisi wa siasa za chuki ndani ya nchi hii anajulikana.
Hivi kabla ya kufikiria haya yote kwann hamjiulizi kuwa hizi siasa za chuki mbona hazikuwepo kipindi chote mpaka zije kuonekana baada ya Jiwe kuingia Madarakani?

Kiufupi Magufuri ndo muasisi wa hizi siasa za chuki na amewaambukiza mpaka wafuasi wake na ndo hao hao wanao endeleza kazi ya jiwe kusambaza chuki ila kwa sasa hizo chuki zao hazina madhara kwa sababu hawana nguvu yeyote wamebaki kubweka na kutukana hovyo hovyo kwenye mitandao ya kijamii.

Kiufupi wafuasi jiwe wamesha athirika kisakolojia baada ya kupoteza Madaraka kwa ghafla na katika hali ya kushangaza hali takuwa walidhani wangebaki na hayo Madaraka milele ,na ndio maana wako tiyari kufanya chochote ili mradi wapate furaha bila kujali hicho kitu ni kitu cha aina gani.
Nonsense.

Magufuli mlimchukia kwasababu ya kuwabana mafisadi, wala rushwa ,wazembe na nyie vyeti feki.

Hamnaudhibitisho wowote unao mfanya kuwa mtu mbaya kama mnavyo dai.

Kinyumechake mipango mizuri yote ya maendeleo ya nchi inayoendelezwa sasa ni kutokana na juhudi na uthubutuwake, Kamahuoni hilo na ulifurahiya kifochake wewe ni mtu bure kabisa.
 
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.

Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.

Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.

Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.

Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.

Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.

1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Wakati mnaanza ushenzi wa kushangilia vichwa mlikuwa mmekopesha wapi? Hujaona shangwe bado, subiri vifijo na nderemo siku yaja
 
Ni bora uchukie/uchukiwe na wachache na uwapende/ upendwe na wengi kwa faida ya wengi na kwa faida ya kizazi cha leo na kesho.
Faida gani faida ya kuchochea chuki za kisiasa?
Nenda hapo kenya na Rwanda upewe historia jinsi gani chuki zilivyo sababisha mauwaji ya kutisha.
 
Uzi bora kabisa huu! Tatizo umevamiwa na wasio na akili wengi, lakini kwa kuwa umesema watu wasihuzunike kutokana na uwepo wa watu weeengi wasio na akili basi tunaupitia na kuwasoma kwa furaha tu. Nafikiri na mleta mada nawe ni hivyo hivyo, unawasoma kwa furaha tu.
Walewale mmesahau kuwa Mungu ni wetu sote

Kulia kupokezana

Tulieni sindano ziwaingie
 
Sema nyie watu ni wanafiki Sana , uzuri Mwenyezi Mungu ni neutral , imagine bila mshipa wa aibu unaandika na Mafungu ya Biblia ili kuhadaa watu , uzuri humu JF ID zote zilizokejeli kifo cha JPM tunazijua , au tufukue reply zako humu boss .....
Huyo ni punguani.
 
Mkuu haya mambo hukupaswa kuyaandika leo kama dhamira yako ni kujenga...

Ulipaswa kuandika mapema zaidi

Maana wanaoshangilia leo hawakua na tabia hiyo kabla...

Wamefundishwa...

Hiki ni kisasi baada ya wao kushangiliwa msiba wao...

Tujifunze kutotenda kile tusichopenda kutendewa...

Ukiwa na watoto usifurahi mtoto wa jirani akifa.
 
Walewale mmesahau kuwa Mungu ni wetu sote

Kulia kupokezana

Tulieni sindano ziwaingie
Mtoa mada mada amesema tusihuzunike kuzungukwa na mapunguani, tufurahi tu. Nami nafurahi tu. Kwa akili ya kawaida tu inaonyesha ni namna gani kuna kundi lina matatizo makubwa na pengine Mungu ameruhusu hili la membe kutokea ili watu wajifunze.

Hivi, kama sio kuchanganyikiwa, JPM, aliyekuwa raisi, unamlinganisha na BKM kweli? Mbona naona huku ni kuchanganyikiwa?

Nimefurahi marafiki wa Membe hata hawajatoka kutengeneza propaganda kuwa ameuawa kama ambavyo tunashuhudia katika vifo vingine.
 
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.

Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.

Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.

Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.

Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.

Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.

1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Wewe zhombi kweli.

wakati wanafurahia kifo Cha magufuli ulikuwa Bado tumboni mwa mzazi wako??

nyie ndo watu msio na faida YOYOTE kazi kuegemea upande Mmoja WA wagombanao.

idiot
 
Back
Top Bottom