Wenye utimamu msihuzunike wengine wanaposhangilia kifo cha Membe

Wenye utimamu msihuzunike wengine wanaposhangilia kifo cha Membe

There you are...
umefunguka sasa kama ulishangilia au laa... haiwezekani ulete utopolo huu wa kulishwa na kina lisu utake taifa zima likuamini, wananchi wengi wamekataa huu utopolo, utopolo huu unabaki kwa wale maboya kama wewe waliokuwa wanafaidika na njia za panya ila wakapigwa pini...
Acha watu wafurahie kifo cha membe huku wakisubiri cha shauku cha makamba na timu yake...
Tulia dawa ikuingie tu
Lisu ameingiane tena mbona sijamtaja lisu kabisa
Una mental health na uko desperate kamwone daktari
 
Mataahira hao, sasa hivi wanashangilia hadi ndege ikidondoka, basi likidondoka, wagonjwa wakifa...wanashangilia kika kitu hao.
Kwa hiyo wewe ndo Mungu anahukumu Membe hana baya na mtu na Mugufuli ni mbaya hana jema? Pumbavu kabisa wewe kichwa maji!
 
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.

Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.

Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.

Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.


Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.

Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.

1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Kazikwe nae Rondo 🤣🤣🤣
 
Tarehe 3 may 2022, membe aliporejea tena CCM alisema "bahari imetulia na mungu ameingilia kati ugomvi wake" leo mnataka tusikitike kufo cha fala yule?

Wewe mtoa mada mi miongoni mwa watu waliokua wanatoa nyuzi za chuki kwa marehemu kila siku, mnafikiri hatuoni? Membe na wenzie wanachukiwa sana sana na jamii ya wapenda haki.

Watu tumesuuzika mioyo yetu.. wauaji wanalia sana wanapofiwa...
Hahahahah ikiwauma sana wakazikwe na mzoga wao Rondo
 
Nonsense.

Magufuli mlimchukia kwasababu ya kuwabana mafisadi, wala rushwa ,wazembe na nyie vyeti feki.

Hamnaudhibitisho wowote unao mfanya kuwa mtu mbaya kama mnavyo dai.

Kinyumechake mipango mizuri yote ya maendeleo ya nchi inayoendelezwa sasa ni kutokana na juhudi na uthubutuwake, Kamahuoni hilo na ulifurahiya kifochake wewe ni mtu bure kabisa.
Magufuli ni kipenzi cha watanzania walio wengi ila ni mwiba kwa vyeti feki na mafisadi wapiga deals ambao hawazidi hata kwenye 3% ya population yote ya taifa.
 
Wewe ndiye utakuwa punguani.

Ni wazuri pekee ndiyo tuliambiwa hawafi au umesahau? Sasa kwa nini watu wasisherehekee mtu mbaya kuondoka kwenye jamii?

Somo lilieleweka, acheni nongwa.

It's the same boiling water that hardens an egg, softens a potato.
Huyu aliyefariki naye aliwekwa kwenye orodha ya wazuri wasiokufa?
 
Uzi haumuhusu lissu bali membe
Hiyo ya lissu ni kiwakilishi umesema wewe kwa maoni yako na sio sheria
In short acha ujinga inaonekana uko obssesed na lisu hadi kwenye mambo ambayo hausiki
Wewe una vimelea vya ukilaza fulani hivi, ni kwamba uko kilaza kupitiliza mpaka haujui kuwa ni kilaza..
Umesema wewe jpm alikua muuaji, muonevu... mie nimetambaa na biti humo humo kwa kupanua wigo zaidi. Sasa unatoka povu.
Unapoongea kauli za jpm aliua, alitesa... kuna wale vilaza ambao walikua wako mstari wa mbele kuchochea hizi kauli. Mmoja wapo ni huyo jamaa nimemtaja na povu limekutoka... na nitaendelea kumtaja ktk kila comment unayoijibu ili povu likutoke vizuri...
WAZURI HAWAFI - mzee makamba.
 
Uzi bora kabisa huu! Tatizo umevamiwa na wasio na akili wengi, lakini kwa kuwa umesema watu wasihuzunike kutokana na uwepo wa watu weeengi wasio na akili basi tunaupitia na kuwasoma kwa furaha tu. Nafikiri na mleta mada nawe ni hivyo hivyo, unawasoma kwa furaha tu.
Fukieni mtu wenu mnatubana na mkionanvipi kazikweni nae
 
Si uungwana kufurahia vifo vya wanadamu wenzetu lakini wanadamu wenzetu wamezifanya nyoyo zetu kuwa migumu kwa matendo yao mabaya dhidi yetu hata tunaona vifo vyao ni furaha kwetu........
Walipommaliza JPM waligonga na shampeni kabisa na kula pilau kuku tena kwa matangazo kuwa Mungu ameamua ugomvi, bahari imetulia.

That was the highest degree of rudeness and lack of empathy in mankind.
 
Ukitaka kuona mihemko ya watu soma michango ya huu Uzi,hisia zimetawala zaidi na mwisho wamepoteza maana halisi ya Uzi.

Kifo ni hatua ya mwisho katika maisha ya mwanadam hivyo sote tu wapitaji tu katika dunia hii wale walio wekeza matumaini makubwa kwa binadamu wenzao katika maisha pale kifo kinapo tokea hubaki na masikitiko ndani ya mioyo yao hivyo hubaki kutafuta faraja tu hata kwa vitu visivyo na msingi.
Zikweni nae mkausome makaburini
 
1"Wazuri hawafi"-YUSUF MAKAMBA.

2"MUNGU ameamua ugomvi Bahari imetulia"-NAPE NNAUYE.

3"Wanaompenda Magufuli wakazikwe nae Chato"-ZITO KABWE

4"Mkiona Tanzania nipagumu kukaa hamieni BURUNDI"-MWIGULU NCHEMBA.

5"Magufuli hatasimama tena[emoji38][emoji1787]-BERNALD MEMBE.



Hizi ni kauli zenye maumivu kwa Taifa.
Tatizo hawakujua wako wachache
 
Point unashangilia kifo cha membe kwa baya lipi alilofanya
Jiwe alitesa wapinzan wake na kuwaua kwa victim walikua na haki ya kushangilia kifo chake
.
IMG_20230327_072032.jpg
 
Mkuu haya mambo hukupaswa kuyaandika leo kama dhamira yako ni kujenga...

Ulipaswa kuandika mapema zaidi

Maana wanaoshangilia leo hawakua na tabia hiyo kabla...

Wamefundishwa...

Hiki ni kisasi baada ya wao kushangiliwa msiba wao...

Tujifunze kutotenda kile tusichopenda kutendewa...

Ukiwa na watoto usifurahi mtoto wa jirani akifa.
Haya ndio matokeo ya kuua paka wa jirani kwa kumuita jina baya. Wako akiuliwa na kuitwa jina baya na wewe usilalamike
 
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu wenzake, yaani awe muuaji, au kama binadamu huyo uwepo wake huwafanya binadamu wenzake wasiwe na amani, waishi kwa hofu, yaani awe ni hatari kwa amani na ustawi wa binadamu wenzake.

Sasa wamezuka watu, ambao naamini ni punguani, wanasema eti wanafurahia kifo cha Bernard Membe (Mungu amrehemu mja wake). Jambo linaloleta faraja kubwa, hao watu punguani, hakuna hata mmoja aliyesema kuwa anafurahia kifo cha Bernard Membe kwa sababu alikuwa ni mtu mbaya. Hakuna aliyesema kuwa Membe alikuwa muuaji au alikuwa hatari kwa ustawi wa jamii ya Watanzania au alisababisha watu kukosa amani, au kuishi kwa hofu, au alikuwa chukizo kwa mtu yeyote yule. Mtu akikuchukia ukiwa huna kosa wala uovu wowote, hustahili kuhuzunika, utambue tu kuwa mtu huyo ni mgonjwa wa akili, na wagonjwa hawa wa akili tuwahurumie na tuwakubali kuwa ni sehemu ya jamii yetu. Wapo watu wengi ambao wapo kwenye mstari unaotenganisha walip wazima na wagonjwa wa akili. Hawa hawaokoti makopo, ila utawajua ni wagonjwa wa akili kwa kauli na wakati fulani kwa matendo yao yanayokosa ustaarabu na hekima.

Watu hawa sababu pekee wanayoitoa ni kuwa wanafurahia Membe kufariki kwa sababu Mzee Makamba alisema wema hawafi, sasa wanashangaa kwa nini mtu mwema amekufa. Maana yake ni kwamba wanakubali kuwa Membe alikuwa mtu mwema.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa mtu akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali, anakudharau, anakuona na wewe ni mjinga. Kauli ile ya Mzee Makamba kuwa watu wema hawafi, kama alimaanisha kufa kwa mwili, basi ilikiwa kauli ya kijinga, na wale walioikubali na sasa kuifanya kuwa ni reference, hakika watakuwa wajinga na punguani. Ilikuwa kauli ya kijinga ndiyo maana hata Rais Samia aliikataa palepale.

Sote tunajua wapo watu wengi waliyofanya mambo mengi makubwa ya kutukuka Ulimwenguni, hawapo Duniani, wakati majambazi yapo hai, na mengine yapo gerezani. Ukifanya reference kwenye kauli ya kijinga, unaonekana ni punguani wa akili.


Tunamwomba Mungu wa rehema uipumzishe mahali pema peponi Roho ya ndugu yetu Bernard Membe uliyemwita kwako kwa kadiri ya mpango wako kwa maisha yake.

Poleni sana wafiwa. Basi tafakarini maneno haya, na yawape amani ya Bwana.

1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
Mkuu
Taifa limejengwa kwenye misingi ya chuki tangu mwaka 2005 hadi leo.

Tunavuna kike ambacho waasisi wake wanaanza kupukutika

Badala ya kuwasema sana hao unaowamulika leo, piga goti kuwaombea maana tunapoelekea ni kwenye mpasuko dhahiri
 
Back
Top Bottom