Thankssasa elekeza nguvu kwenye biashara utafanikiwa bado hujachelewa
Ratiba inajaaje wkt umri huo vijana wengi ni ma jobless?Umri waemiaka 24-35 unakatika mapema sana
Kwasababu ratiba ya kijana hapo inakuwa imejaa kuanzi asubuhi hadi jioni
Nimekuwa interested hapa, natamani kusikia zaidi.Kuoa alienizidi umri aisee natamani nimuache lakini sioni sababu ya msingi ya kumuacha
We umejuaje ka vibanda ss30+ mnaojinadi mmejenga wengi wenu ni vibanda, ukikuta kanunua na gari la mil 15 basi ndio anajiona kayamaliza maisha na kutamba mtaani.
Kawaida sana, we bado masikini tu na hujayapatia maisha.
Kwahiyo mzee unaumwa kila siku au una terminal illnesses?Kutokuoa aisee maana nimetimiza 30 juzi tareh 26.4. Nina nyumba ila now ninaumwa basi nyumba nzima nipo peke yangu baba mzazi amefariki nina mama na babamdogo tu nao wanamajukumu yao basi dah nawaza ningekuwa na mke angenipa kampani kubwa sana.
Nimesema wengi wao, na nimeandika makusudi kwa sababu ndio ndoto za kijana wa Tanzania na hujikuta wamemaliza maisha na kuridhika huku wakitamba mtaani na mitandaoni.We umejuaje ka vibanda ss
Kivipi mkuu ulisikiaga nini? na unaona nini! kabla hata sijajazia nyamaNimekuwa interested hapa, natamani kusikia zaidi.
Na najua hata ukisema, utasema kile nilichokisikiaga humu nikabisha leo nayaona.