Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Habari Wanajukwaa,

Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi utakayotumia kwa mwanao atakaokuja ukiwa kama baba kumuwezesha kuweza kuja kuwa tajiri endapo atakapokuomba umuongoze.

Kwa mikakati ipi utakayotumia na ushauri upi utakaompa kijana wako kuweza kumiliki milioni mia moja kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.

JamiiForums, home of great thinkers.

Wote kwa pamoja tujifunze.
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
 
Heb tuambie, ni utajiri wa 100M au cash bank 100M

Kama utajiri wa 100M inawezeka akikaza na ukawa na nidhamu ya pesa,

Ukiweka 700k UTT kila mwez kwa miaka 6 unakuwa na kama 82M

Ko hio 18M ndo inabidi uwe na mali nyingine, it possible ila sio kazi rahisi,

Kwa maana inabidi uwe unakipato cha si chini ya 1.5M monthly toka una miaka 24,
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Kibongobongo mkuu 30 mbona karibu sana

Bongo kuna msemo "maisha huanzia miaka 40"
 
Assets plus cash in general, kuwa na worth ya 100M
Hiyo pesa ni ndogo sana! Hiyo ni dola 42,000, kuna vijana wadogo tu, wanazungusha crypto
Kibongobongo mkuu 30 mbona karibu sana

Bongo kuna msemo "maisha huanzia miaka 40"
Huo msemi unamaanisha 40 ni umri wa kuanza kutumbua ulichokusanya from 20 - 39!! Kula bata bila stress ya pesa
 
Inawezekana ukiwa mjanja na kufanya shughuli zenye kipato kikubwa .

Ukiweza kujibrand online mapema ukiwa na miaka 25 unaanza harakati za kujibrand online . mfano kuwa kama kina mwijaku, hamissa mobetto, baba levo unatengeneza net worth ya milioni 100 kabla ya miaka 30.

Zama hizi hela ipo kwenye entertainment industry. Online entertainment inakutajirisha fasta kama hauna aibu na unajua kufosi vipaji
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Huyo kijana wa 25yrs kuwa na 100m labda kama awe hajapita shule otherwise it's hard
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
I like your spirits💪👌
 
Inawezekana ukiwa mjanja na kufanya shughuli zenye kipato kikubwa .

Ukiweza kujibrand online mapema ukiwa na miaka 25 unaanza harakati za kujibrand online . mfano kuwa kama kina mwijaku, hamissa mobetto, baba levo unatengeneza net worth ya milioni 100 kabla ya miaka 30.

Zama hizi hela ipo kwenye entertainment industry. Online entertainment inalitajirisha fasta kama hauna aibu na unajua kufosi vipaji
Yani mtaji inakua ni wewe mwenyewe
 
Fene Utajiri haufundishwi labda kama kutoa Support kwa huyo mtu, Lakini kutoa (muongozo) guidelines kwenye mchakato wa Wealth Building ni ngumu na ni kwasababu mhusika ata miss some characters ambazo ndizo zinazo propell Mafaniko into further steps. Hustle build characters(Maisha yanamtengeneza mtu)

Nadhani la msingi unaloweza kumfanyia ni pale akiwa mdogo ajifunze vitu vitakavyo msaidia kutengeneza utajiri kutoka kwako Baba
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Khaaa jamani humu kuna watu waovyo sana,eti miaka 25 amiliki million 100,hii haiji kichwani kabisa je huyu kijana alimaliza chuo lini,jamani jamani tusilishane matango pori humu sisi sote tunajielewa huwezi miliki million 100 ukapoteza mda humu,kusema la kseli kwangu mimi namiliki nyumba 2,gari 1 pikipiki za boda boda 4 heka 50 huwa nashika million 30 tena nina miaka around 34
 
Milion 100 cash at bank or assets/biashara yenye thamani ya milion 100?

Either of 2, mbona umeweka target ya mbali hivyo? Miaka 30 ni umri wa kuelekea uzee! At that age kama ni malengo au dreams, basi uwe na assets zenye thamani isiyopungua milion 400

Milion 100 iwe target ya kijana wa miaka 25!!
Ukisomq maoni ya wanajf unaweza kuona kama ulikuja duniani kutalii tu
 
Habari Wanajukwaa,

Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi utakayotumia kwa mwanao atakaokuja ukiwa kama baba kumuwezesha kuweza kuja kuwa tajiri endapo atakapokuomba umuongoze.

Kwa mikakati ipi utakayotumia na ushauri upi utakaompa kijana wako kuweza kumiliki milioni mia moja kabla ya kufikisha umri wa miaka 30.

JamiiForums, home of great thinkers.

Wote kwa pamoja tujifunze.

Labda uwe na kipaji.

-Muziki
-Michezo
-Maigizo etc

Hapo utapata Kina feisal,Dayamondi,Kanumba walishika 100 below 25.
 
Inawezekana ukiwa mjanja na kufanya shughuli zenye kipato kikubwa .

Ukiweza kujibrand online mapema ukiwa na miaka 25 unaanza harakati za kujibrand online . mfano kuwa kama kina mwijaku, hamissa mobetto, baba levo unatengeneza net worth ya milioni 100 kabla ya miaka 30.

Zama hizi hela ipo kwenye entertainment industry. Online entertainment inakutajirisha fasta kama hauna aibu na unajua kufosi vipaji
Hili nalikubali mkuu, mfano ulio hai ni Mandonga japo yeye kashapita hiyo 30 ila ulichosema kinahusiana
 
Back
Top Bottom