ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,652
- 90,101
It's simple, wenye gari kubwa most likely wana magari madogo kwa hiyo hizo V8 hazitembei kila siku, lakini pia ukiendesha gari ya thamani lazima zile rough za barabarani utaachana nazo. Hizi "baby walker" ndio bingwa wa rough..Huu mji unashangaza kuna magari no C na D yamechoka sana na kuna Land cruiser no A na B bado zinawaka sana hasa V8