Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,424
Mbu tatizo ni kwamba una ngazi mbili, usipokua makini moja inaweza kuporomoka na kusababisha inayobaki nayo ikose nguvu ya kukuweka juu. Kwahiyo vyovyote utakavyofanya hakikisha wewe uliyeko katikati umejibalance vizuri,that's all....ngoma ipo kwenye kujishusha bana....imagine maisha yote umepigania kufa na kupona kuipanda ngazi hiyo ushafika kileleni unagundua kuna priorities nyingine inabidi uzi sacrifice...
...bado nacheza 'sandakarawe' nini zaidi kazi yenye kipato kizuri vs familia...