OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 104
- 151
Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano:
Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani.
Vikao vya Mke na Mume vinatakiwa kufanyika dk120 kwa kila mwezi, hata kama hakuna mgogoro kwakua ndoa ni Taaisis basi ni muhimu sana Mke na Mume kua na vikao rasmi tofauti na maongezi ya kawaida na mipango ya kila siku.
Vikao vitaleta upendo wa kudumu kwa kila mmoja kutoa vifundo kifuani kwake, kuongea bila kujitetea, pia hupunguza chuki zilizofichika na husaidia kushughulikia masuala kabla ya kulipuka.