Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Hili hapa Suluhisho la kisaikolojia na Afya ya akili katika mahusiano:

Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani.

Vikao vya Mke na Mume vinatakiwa kufanyika dk120 kwa kila mwezi, hata kama hakuna mgogoro kwakua ndoa ni Taaisis basi ni muhimu sana Mke na Mume kua na vikao rasmi tofauti na maongezi ya kawaida na mipango ya kila siku.

Vikao vitaleta upendo wa kudumu kwa kila mmoja kutoa vifundo kifuani kwake, kuongea bila kujitetea, pia hupunguza chuki zilizofichika na husaidia kushughulikia masuala kabla ya kulipuka.

im-439262.jpeg
 
Wengi wanataka kulinda ndoa zao, lakini hawajui njia halisi ya kufanya. Suluhisho ya kisaikolojia na Afya akili katika mahusiano:

Msisubiri magomvi ndio muweke vikao vya ndoa, kila ndoa ina misukosuko na migogoro ambayo ni mikubwa, midogo au ya wastani.

Vikao vya mke na mume vinatakiwa kufanyika dk120 kwa kila mwezi, hata kama hakuna mgogoro kwakua ndoa ni taaisis basi ni muhimu sana Mke na mume kua na vikao rasmi tofauti na maongezi ya kawaida na mipango ya kila siku.

Vikao vitaleta upendo wa kudumu kwa kila mmoja kutoa vifundo kifuani kwake, kuongea bila kujitetea, pia hupunguza chuki zilizofichika na husaidia kushughulikia masuala kabla ya kulipuka.

View attachment 2803431
Ahsante sana lakini maisha/kila ndoa haifanani na ni muhimu kuendana na mahitaji na matarajio ya mwenzi wako...
Hivyo hilo la kukaa kwa pamoja mara kwa mara ni moja ya njia muhimu ili kuijenga ndoa imara na yenye furaha
 
Ni ngumu kugombana na mtu ambaye ameshakueleza madhaifu yake, unaweza kumuadhibu mtu lakini kumbe ni hali ya kutopata nafasi kujieleza vizuri. Mtu anapojieleza unaweza kupata takwimu yake ya kufikiri na akili yake inapoelekea na hapo sasa unapata njia ya uishi nae vipi na kwa mrengo upi.
 
1. Kaweka Kucha Feki, ilihali anataka mwanaume Halisi, Shenzi Kabisa
2. Kwenye Sex Utelezi hawana tena, mpaka utumie mafuta, sawa na Mpiga Nyeto ?

KATAA NDOA
Kucha feki ni kwa ajili ya kukuvutia wewe mume wake,

Kupoteza hamu ya tendo la ndoa, ni shida ya kitabibu inayofahamika kitaalam kama (Hypoactive sexual desire disorder (HSDD), pia hufahamika kama kupoteza hisia ya tendo (Loss of libido) ndio janga kubwa linalo wakumba wanawake walio wengi bila kujali umri.

Kuna uhusiano kati ya hali ya uke kuwa mkavu na kushuka kwa kiwango cha homoni ya ''Estrogen''.
Mara nyingi mwanamke mwenye uke mkavu wakati wa tendo la ndoa hukabiliwa na upungufu wa kichocheo cha 'Estrogen".

Tatizo hili linaweza kumtokea mwanamke yeyote yule hata kama hajakoma hedhi.
Homoni ya ''Estrogen" ni homoni inayosaidia kudumisha ulainisho, mvutiko (elasticity) na uzito wa ukuta wa uke kutokana na utepe wake. Viwango vya chini vya ''estrogen' vinaweza kusababisha kukonda, kukauka, na kuvimba kwa kuta za uke.
 
Ni ngumu kugombana na mtu ambaye ameshakueleza madhaifu yake, unaweza kumuadhibu mtu lakini kumbe ni hali ya kutopata nafasi kujieleza vizuri. Mtu anapojieleza unaweza kupata takwimu yake ya kufikiri na akili yake inapoelekea na hapo sasa unapata njia ya uishi nae vipi na kwa mrengo upi.
💯 karibu upate elimu mama Ms eyes japo hujaniamkia kabisa.
 
Upumbavu huu
wigi je ? kucha, kope feki , ngozi feki
nani anataka huo ujinga ? alaf yeye anataka ME aliye Real ?
matako feki, mpaka papuchi feki, maana hazina ute tena, mpaka lub ihusike
Inatagemea ulimkuta nayo au aliyapata kwako, ikiwa ulimkuta nayo basi ataendelea kujiweka hivyo kwasababu hayo ndio yaliyokuvutia wewe, lakini kama hukumkuta nayo kamwe hawezi kujiweka hivyo kwasababu hayo sio haiba yako.
 
Hizi ni akili za waliopotea unaishi na ngedere utegemee ufanye vikao na ngedere huo ni uzuzu, kataa ndoa kataa kuoa
Ngedere hufugwa, ikiwa utamfuga mtu basi tambua yatakayokukuta baadae, lakini ikiwa utaishi na kumuweka kama binaadamu basi kuna faida baadae. Kumbuka ungedere unaujenga wewe na ubinaadamu pia unaujenga wewe, mwanamke ni mtu wa hisia ni lazima ucheze vizuri na hisia zake.
 
Back
Top Bottom