Wema wa rais Samia usiooonekana

Wema wa rais Samia usiooonekana

ANACHOKOZWA SANA, 0CT 29 WANGEANDAMANA KWENDA JANGWANI au kugoma kupiga kura tu nani angewagusa ? Unavamia kituo cha polisi? Unachoma ATM? Unachoma TRA office? Unachoma gas station za watu binafsi Kumaa ninaaa, mikundu ya mama zao walionzisha yaani walioanzisha na kubaki sijui kwa nini huyu mama anawaachunia wangeliwa wote, Mpka leo nikiwakumbuka nasisimka naataka niombe kujitolea kuwapasua vichwa dhambi nibebe mimi
Kuna Ushahidi mwingi sana kuonyesha watu wasio na hatia wakipigwa risasi majumbani kwa sababu hiyo hii argument ya kusema Waliouliwa tarehe 29/10/2025 walikuwa ni wavamizi inatupwa dirishani,Watoto wadogo pia walipigwa risasi..Ushahidi unawafunga vibaya sana,hata argument ya kusema Waandamaji walikuwa na Silaha inatupwa dirishani..
 
Kifo cha James Temba kingetokea awamu ya MAGU mngetokwa mapovu sana
 
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa

2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu shukran yao ni matusi

3. Aliwalipa hela ya ruzuku hadi wakapata jengo la ofisi lakini wameishia kumtukana

4. Rais samia akawaruhusu wafanye maaandamano bado wakaamua kumtukana

5 Rais samia akaomba 4 R akahudhuria sherehe ya bawacha bado wamemtukana

6 Rais samia kawaomba tufany siasa za staha wakaanza matusi, yule mvuta bangi Mdude Nyagali kiboko ya nyigu , na wadada huko mitandaoni wakazidisha matusi kawavumilia

7 . Rais samia alikutana na dada shetani Mange kimambi, Mange akaomba kibahasha akapewa lakini akaishia kutukana

8. Rais samia aliwaachia mafisadi hela zao ili wafanye biashara lakini waijenge nchi yao wamegeuka kufadhili wapinzani wake kisa wivu tu

USHAURI

Binadamu afugiki na afadhiliki, Uraisi ili kazi iende lazima uwe mkono wa chuma kweli kweli

1. Wanaotaka kuleta chokochoko inatakiwa hadi bibi zao waanze kupata siku zao wakikumbuka waliyoyapata wajukuuu wao, wa risasi apate zawadi ya risasi , wa kufungwa afungwe maisha , wa kunyongwa iwe ndani ya miezi 2 toka hukumu , kesi mpaka rufaa iwe miezi 4 tu isizidi, Yaani toka kukamatwa , kesi , rufaaa mpaka kunyongwa ni miezi 6 tu jumla
2. Punguza wafanyakazi wa serikali wabaki wachache wenye ufanisi haswa, wengine wengi wawe na nidhamu , wazembe fukuza

3. wazembe wala rushwa ni kufungwa na kufilisiwa haraka sana yaani mtu aogope hela ya serilkali

4BANA wakwepa kodi hasa hasa makampuni makubwa ya wageni ya madini wanatuchezea sana

4 Kwenye ukandarasi kuna wizzi na uzembe sana mfano barabara ya mwenge tegeta ilitakiw iwe imeisha 2024, Bababara yetu ya bypass uyole mwaka wa nne mkandarasi yupo site sioni chochote ( Huku nipe kazi ya kuwachomesha maana nawajua sana nisilipwe chochote ila hela inayookoka tujenge barabara za vijijini ni aibu maeneo nyeti ya uzalishaji barabara za vumbi, au tujenge refinery

5 Mwigulu anatatua kero nyingi sana, je mwenezi CCM, wakuu wa mikoa na wilaya wapo wapi ? ina maana hawatoshi fukuza wote na wafunge jela ambao wana rundo la kero hawazazishughulikia
RIP Ally Kibao
 
Kuna Ushahidi mwingi sana kuonyesha watu wasio na hatia wakipigwa risasi majumbani kwa sababu hiyo hii argument ya kusema Waliouliwa tarehe 29/10/2025 walikuwa ni wavamizi inatupwa dirishani,Watoto wadogo pia walipigwa risasi..Ushahidi unawafunga vibaya sana,hata argument ya kusema Waandamaji walikuwa na Silaha inatupwa dirishani..
ndugu siku ile hata ungekuwa wewe mtu wa dola ungekuwa umechanganyikiwa unasikia mara huku mara kule inawezekana ukilenga kule ukakosea au ukayumba ikaenda kwingine , wale wezi wasingelianzisha silaha ingetumika ya nini?
 
Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa

2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu shukran yao ni matusi

3. Aliwalipa hela ya ruzuku hadi wakapata jengo la ofisi lakini wameishia kumtukana

4. Rais samia akawaruhusu wafanye maaandamano bado wakaamua kumtukana

5 Rais samia akaomba 4 R akahudhuria sherehe ya bawacha bado wamemtukana

6 Rais samia kawaomba tufany siasa za staha wakaanza matusi, yule mvuta bangi Mdude Nyagali kiboko ya nyigu , na wadada huko mitandaoni wakazidisha matusi kawavumilia

7 . Rais samia alikutana na dada shetani Mange kimambi, Mange akaomba kibahasha akapewa lakini akaishia kutukana

8. Rais samia aliwaachia mafisadi hela zao ili wafanye biashara lakini waijenge nchi yao wamegeuka kufadhili wapinzani wake kisa wivu tu

USHAURI

Binadamu afugiki na afadhiliki, Uraisi ili kazi iende lazima uwe mkono wa chuma kweli kweli

1. Wanaotaka kuleta chokochoko inatakiwa hadi bibi zao waanze kupata siku zao wakikumbuka waliyoyapata wajukuuu wao, wa risasi apate zawadi ya risasi , wa kufungwa afungwe maisha , wa kunyongwa iwe ndani ya miezi 2 toka hukumu , kesi mpaka rufaa iwe miezi 4 tu isizidi, Yaani toka kukamatwa , kesi , rufaaa mpaka kunyongwa ni miezi 6 tu jumla
2. Punguza wafanyakazi wa serikali wabaki wachache wenye ufanisi haswa, wengine wengi wawe na nidhamu , wazembe fukuza

3. wazembe wala rushwa ni kufungwa na kufilisiwa haraka sana yaani mtu aogope hela ya serilkali

4BANA wakwepa kodi hasa hasa makampuni makubwa ya wageni ya madini wanatuchezea sana

4 Kwenye ukandarasi kuna wizzi na uzembe sana mfano barabara ya mwenge tegeta ilitakiw iwe imeisha 2024, Bababara yetu ya bypass uyole mwaka wa nne mkandarasi yupo site sioni chochote ( Huku nipe kazi ya kuwachomesha maana nawajua sana nisilipwe chochote ila hela inayookoka tujenge barabara za vijijini ni aibu maeneo nyeti ya uzalishaji barabara za vumbi, au tujenge refinery

5 Mwigulu anatatua kero nyingi sana, je mwenezi CCM, wakuu wa mikoa na wilaya wapo wapi ? ina maana hawatoshi fukuza wote na wafunge jela ambao wana rundo la kero hawazazishughulikia
Tunachojua ni kuwa ameua Watanganyika zaidi ya 10,000 hayo mengi ni sawa na kujilisha upepo tu.
 
ndugu siku ile hata ungekuwa wewe mtu wa dola ungekuwa umechanganyikiwa unasikia mara huku mara kule inawezekana ukilenga kule ukakosea au ukayumba ikaenda kwingine , wale wezi wasingelianzisha silaha ingetumika ya nini?
Hao watu Dola walichanganyikiwa au walipigwa upofu??Ushahidi wa kutosha ulirekodiwa na kurushwa online,Mauwaji na hata zile arbitrary detention zilizokuwa zinafanywa,wale watu walikuwa wamevunjwa Miguu na kuchomwa na pasi kuonyesha jinsi Dola ilivyokuwa Ina torture watu wasio na hatia zilifanikiwa kusambazwa vizuri tu,lengo la kuzima Internet au kupunguza speed ya Internet ili kusifanyike documentation kuzuia future prosecution ilishindikana,ndio maana hata kubadilisha narrative imeshindikana na kila sababu inayotolewa kujaribu kujitetea inashindikana.
 
Naunga mkono hoja, kwa sisi wenye jicho la tatu, kuna kitu nilikiona kwenye huu wema wa Rais Samia, na nikakiandika humu, Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila... tatizo langu mimi, niliwaandikia tuu wale wenye jicho la tatu!, it's very unfortunately Chadema wao jicho hilo hawana, they are just too blind to see, wangekuwa na jicho hilo, saa hizi tunavyo zungumza hapa, Tundu Lissu angekuwa Ikulu!

Sikiliza nilicho mshauri Lissu

P
Kaka paschal, nipo hapa nasikiliza kipindi cha jenerali ulimwengu akiwa na mzee warioba.

Mtu mwenye akili timamu...atakujibu ulicho kisema kaka paschali NI MTOTO KUMZAA MAMA YAKE... Is it possible???!!
 
It is a good program, nimekiangalia jana, kiukweli, Jaji Warioba ndie the one and only man anayemuishi Mwalimu Nyerere, hataki ujinga!, hili jambo ni kubwa, rais kaunda tume, ikitarajiwa itakuwa public, Maza kausunda kwenye kijaluba chake!.

Ila Waandishi wa Nyerere type tupo!. Baada ya kile kilichotokea Dodoma ile January, 2025, nilimuandikia Dada Barua Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Kilichokeo October 29 ni mwanzo tuu!, mengine makubwa, magumu zaidi, yanafuata!.

Asante kaka,
Hapo kwenye makubwa, magumu zaidi.
Hii kauli inatupa / inanipa uoga it means hata KUANDIKA ANDIKA HUMU MTANDAONI / MIKWAJU INAWEZA KUKUFIKIA/ KUMFIKIA MTU 🤔
 
Mimi najihesabu ni mmoja wa wana jf, wakweli kabisa, toka ndani ya nafsi yangu, na amimi usiamini, baadhi ya ukweli wangu huwaudhi watu wanaopenda uongo, amini usiamini JPM alinipenda sana, kwasababu, humu alikuwa anaingia mwenyewe, anasoma mwenyewe, anakasirika sana kuambiwa vitu humu, ila mwisho wa siku, alikuwa anavikubali na kubadilika, hivyo tumemsaidia sana, tofauti na Rais Samia, yuko too busy, hapati muda wa kupita humu, na sina reference ya kubadili jambo lolote kwa vile jf imesema, JPM kabadili mambo mengi kwa kuambiwa humu jf, hata hivyo, nimeendelea kuwasisi wana jf, nchi ya Tanzania ni nchi yetu, na Rais Samia ni Rais Wetu, tuna wajibu wa kumsaidia, kwa kumshauri the right thing to do!. Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom