Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Kwa mf kwa nini asiwe na urafiki na wewe, yaani angefika mbali.
 
i feel so sad to WEMA. Ppl humu ndani jaribuni kuvaa viatu vyake jamani. Najua hakuna ambae vitamtosha.

Haviwez kututosha kwa kuwa sisi sio waswahili kama yeye, vinamtosha yeye na hao mashoga zake wa tandale
 
Umesema ukweli mtupu..ambacho watu hawakielewi ni kwamba mama yake Wema alikuwa ni mchepuko wa Made Sepetu kwani yule made alikuwa na mke na watoto wakubwa tu kule Zanzibar.Watoto wote was yule mzee wapo njema na mmoja ninaemjua ameoa katika familia ya Karume.Wakati mzee yupo ubalozini alukuwa na halo watoto wake.Wema alizaliwa tz tena sinza wakati Mzee kasharudi nchini na kuwa Waziri.Wema alisoma pale shule ya Academic Mikocheni.

tena wale wamesoma mmoja km sikosei ni wakili hv
ila haww wenzangu....mmmhhhh
 
Yaani huyu mkuu wa mkoa anarukia hao Malaya wa bongo movie...duh Sasa hivi tutasikia yupo na Lulu!

Kweli ukitaka kujua tabia ya Mtu mpe pesa au cheo.

Ni kweli mpe hela au cheo na akiamia kwa Lulu awe makini la sivyo tutamsahau.
 
Bora aachane na marafiki angekua anasikiliza ushauri wa mamake asingefika hapo. Rafiki mzuri ni yule akufaaye kwa hali zote nzuri au mbaya ila hawa bongo movie hamna rafiki wa kweli.

Mi naona hao wanaomuacha ndio wanafanya uamuzi sahihi, kwa tabia yake ni bora wajiepushe, na kama ameanza ngada tena
 
Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Kibaya zaidi marafiki zake yeye huwa anataka afanye anachotaka yeye Wema. Awabebeshe mikoba, wakati wa kutembea yeye awe mbele, na vi amri amri kibao na ndio huwa wanagombana. Katika maisha ya kawaida haya kiukweli Wema ni mkorofi sana kwa wenzake. Kama siyo Snura kuna mtu alikuwa rafiki yake alilalamika sana kwenye interview moja hivi Radio Mawingu.
Kuacha hivyo mie nimeishi jirani na anapokaa kule, hao walinzi nakwambia mpaka unawaonea huruma boss wao anapokuja. Akiongea nao ni kuwafokea mwanzo mwisho mpaka huwa wanatamani aondoke tu lakini ndio hivyo wanavumilia kwa maana ya tumikia ------ upate mradi wako.
 
Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Umetumia lugha kali,malaya wenzie duuh!too judgemental
 
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.
yeye ana class gani?katika kundi hilo umetaja yeye ataishia kutumwa soda.ndio mana hataki.
 
Umetumia lugha kali,malaya wenzie duuh!too judgemental

Kwa idadi ya wanaume aliotembea nao bila ya kuolewa anaingia kwenye la wafanya umalaya..mi nawakumbuka Kanumba,Chaz baba, CK,Diamond wengine jazia wewe
 
tena wale wamesoma mmoja km sikosei ni wakili hv
ila haww wenzangu....mmmhhhh

Ndio ni mwanasheria na karibuni aliteuliwa kuwa Jaji..wale walisoma vizuri tu na walikuwa na made Sepetu alipokuwa balozi..kwa waliojwenda msibani hao watoto wake walikuwa mstari wa mbele.
 
Ndio ni mwanasheria na karibuni aliteuliwa kuwa Jaji..wale walisoma vizuri tu na walikuwa na made Sepetu alipokuwa balozi..kwa waliojwenda msibani hao watoto wake walikuwa mstari wa mbele.

ni ngumu sana hasa kwa familia zetu hizi watoto wa bi mdogo kuenda sambamba na watoto wa ndoani
nawaonea huruma sana
 
Atakuwa yeye anamatatizo marafiki,wapenzi hawadumu kwake
 
Ni kweli.
Ila friendship yako itamnusuru, ata-adapt your lifestyle.

Mhhhhh! Unanichanganya hapa.Lifestyle yangu ipi? Kwanza mimi jobless ataanzia wapi kua na rafiki kama mimi? Yule angepata wadada wenye biashara zao kubwa mjini hapa ndio watamnusuru na hiyo tabia yake ya kutegemea wanaume.
 
Hata mimi hapo ndipo panaponishinda maana na umbea wangu wote sijuagi kama yule jamaa kaoa au lah.
Sasa hadi wewe mtu wa siasani hili hulijui limenitatiza kidogo.

Ana mke kabisa wa kanisani!! Harusi alifanyiwa na Don Six na Don Mdimu!!
 
Umesema ukweli mtupu..ambacho watu hawakielewi ni kwamba mama yake Wema alikuwa ni mchepuko wa Made Sepetu kwani yule made alikuwa na mke na watoto wakubwa tu kule Zanzibar.Watoto wote was yule mzee wapo njema na mmoja ninaemjua ameoa katika familia ya Karume.Wakati mzee yupo ubalozini alukuwa na halo watoto wake.Wema alizaliwa tz tena sinza wakati Mzee kasharudi nchini na kuwa Waziri.Wema alisoma pale shule ya Academic Mikocheni.

Yes alisoma Academic na enzi hizo ilikuwa shule ya kishua ndio maana yai lake linalainisha mkate. Lakini Wema angekomaa kidogo na shule angetoka kichizi ila na kuingia bongo movie mapema kulimchanganya kidizaini ,,but sio lazima aliyezaliwa ushuani atoboe ni malengo tu,, anaweza akapata marafiki bora ni kiasi cha kuwa na marafiki wenye positive attitude tu na yeye kuamua kubadili baadhi ya vitu fulani ,, brand yake anaweza akaitengeneza upya ,, Ila she was very cute/sweet girl enzi zake wakati huo vijana sisi watu wazima tunaogopa kumharibu ,, na sijui hiyo mikorogo aliitoa wapi?
 
Back
Top Bottom