Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Shoga mimi sipo Tz, naishi Capetown, nimezaliwa na kukulia uku, so usiifananishe Capetown na hyo mitaa yenu ya ajabu ajabu mnayoiita uzunguni..

hedeweeee! uwiiiiiiii! Shost ukipita Mitaa ya J'burg msalimie rfk yangu anaitwa Wency almaarufu as kijojo. Upo shoga
 
hedeweeee! uwiiiiiiii! Shost ukipita Mitaa ya J'burg msalimie rfk yangu anaitwa Wency almaarufu as kijojo. Upo shoga

OOh!! I'm sorry, the day after tommorow i will be moving to USA, so i can't do that for you, I'm very sorry...
 
OOh!! I'm sorry, the day after tommorow i will be moving to USA, so i can't do that for you, I'm very sorry...

warereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Warumi acha fix bn. Tutaonana kesho kwenye foleni. Sepenga wa Wema Oyeeeeeee.
 
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.

Umemuupgrade wema kupita kiasi... Birds of the same feathers flock together... Hao kina Aunty ndo class yake kwa sababu wanafanana tabia...

Wema hawez akawa na urafiki na klynn hata kwa siku 2 ... Mtu anawaza dramma kila siku tu
 
I meant maisha aliyokua nayo Wema na shule alizosoma, hakupaswa kua na marafiki kama kina Aunty. Alijiharibu mwenyewe na hizo tabia za ajabu ambazo hakukua nazo za kupenda drama zisizokwisha. Alishindwa kujua group yake ni ipi toka mwanzo, lakini hakupaswa hata kua karibu na hao marafiki alio nao leo kama angejitambua.

yeye ana class gani?katika kundi hilo umetaja yeye ataishia kutumwa soda.ndio mana hataki.

Mjini hapa hakuna Marafiki wa Class wala Grass , unadhani hata hao kina Kylin hawatetani ?? Umri wake kwa sasa haitaji Marafiki wa kugandana gandana , unakuwa nao Washkaji nyakati fulani fulani basi, sio Mnalala, Mnaamka, Mnapika, Mnaenda Club halafu Msigombane , hiyo haipo Duniani hiyo !
 
I meant maisha aliyokua nayo Wema na shule alizosoma, hakupaswa kua na marafiki kama kina Aunty. Alijiharibu mwenyewe na hizo tabia za ajabu ambazo hakukua nazo za kupenda drama zisizokwisha. Alishindwa kujua group yake ni ipi toka mwanzo, lakini hakupaswa hata kua karibu na hao marafiki alio nao leo kama angejitambua.

Kusoma shule nzuri sio kigezo bado, kuna watu wamesoma nchi za nje na bado wana tabia za ajabu, hyo ni hulka ya mtu tu
 
ndo maana mimi marafiki zangu wengi ni jinsia tofauti na yanguuu wanawake sio aisee
 
Mhhh poleee yake rafiki anapogeuka adui inaumiza sana coz anakuwa na sir I zako nyingi ndo mkome wanawake kuamini sana rafiki kwamjini hakuna shots huhuhu
 
Back
Top Bottom