Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

you are so pathetic men, it will take you only 6 and even minimal minutes to get centre by privet car au unaongelea haice unajishangaza binafsi na huna ulijualo kuhusu tengeru.
hii lugha ni ngumu ,sawa?
sa usijilazimishe saaaana kuitumia!
kwanza mashushu kwa kingreza hayanogi!
 
How do you mean by that? Can u put it clear??

I am alluding a Shakespearean line, spoken by Cassius to Brutus in "Julius Caesar".

"The fault, dear Brutus, is not in our stars. But in ourselves, that we are underlings".

Tatizo si nyota/bahati mbaya ya mtu, tatizo mtu mwenyewe na mapungufu yake.
 
I am alluding a Shakespearean line, spoken by Cassius to Brutus in "Julius Caesar".

"The fault, dear Brutus, is not in our stars. But in ourselves, that we are underlings".

Tatizo si nyota/bahati mbaya ya mtu, tatizo mtu mwenyewe na mapungufu yake.

I like the lines...
 
Mjini hapa hakuna Marafiki wa Class wala Grass , unadhani hata hao kina Kylin hawatetani ?? Umri wake kwa sasa haitaji Marafiki wa kugandana gandana , unakuwa nao Washkaji nyakati fulani fulani basi, sio Mnalala, Mnaamka, Mnapika, Mnaenda Club halafu Msigombane , hiyo haipo Duniani hiyo !

kweli kabisa mi sinaga rafiki si kwa jua nimegombana nao noo
nnae mmoja na yuko mbali sana kigoma huko kuonana kwenyewe mara chache
wengine ni washkaji tu wa kawaida tu tena wa kazini na wa kiume ndo wengi sana
sipendi sana usnitch kwa kweli
na watu wangu wa karibu ni ndugu zangu ndo hvyo yaani

mi ushoga siuwezi mwenzenu wengi naona kupotezana tu na ukiona ke ni rafki yangu bas kuna ishu nafatilia au napiga nae
siku zote tafuta mtu ambae mkikaa % ya maongezi ni kuhusu maendeleo ila story za kujadili watu jf inantosha sanaaa...
 
Last edited by a moderator:
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.
huko nako wema hafit wala nae ataenda kuonekana takataka tu ye mwenyewe vigodoro aende kwa k-lyn na nancy ha ha ha atakimbizwa ka paka mwizi
 
Back
Top Bottom