Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Ana mke kabisa wa kanisani!! Harusi alifanyiwa na Don Six na Don Mdimu!!

Duuuuh! Basi hatari.Ila hapo kwa mdimu nimebaki njia panda.Ni nyoka mwenye makengeza?

cc: mito jibu hili hapa.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh! Basi hatari.Ila hapo kwa mdimu nimebaki njia panda.Ni nyoka mwenye makengeza?

cc: mito jibu hili hapa.

Don Mdimu Yule ambaye ambaye ameaga juzi ambaye ana ushindani mkubwa sana na Don Nywele nyeupe!! Kwa kifupi Don ambaye anamuwakilisha Rais nje ya nchi
 
Last edited by a moderator:
Umesema ukweli mtupu..ambacho watu hawakielewi ni kwamba mama yake Wema alikuwa ni mchepuko wa Made Sepetu kwani yule made alikuwa na mke na watoto wakubwa tu kule Zanzibar.Watoto wote was yule mzee wapo njema na mmoja ninaemjua ameoa katika familia ya Karume.Wakati mzee yupo ubalozini alukuwa na halo watoto wake.Wema alizaliwa tz tena sinza wakati Mzee kasharudi nchini na kuwa Waziri.Wema alisoma pale shule ya Academic Mikocheni.

C naskia mama alikua beki 3 wa mzee ndio akapindua serikali halali....mana kuna kaka yke mwanasheria huko znz kma sikosei
 
Ndio ni mwanasheria na karibuni aliteuliwa kuwa Jaji..wale walisoma vizuri tu na walikuwa na made Sepetu alipokuwa balozi..kwa waliojwenda msibani hao watoto wake walikuwa mstari wa mbele.

Mke mkubwa alikua mzungu au mwarabu hao wakubwa nliona picha ni mashombeshombe sio damu ya kondoa
 
Don Mdimu Yule ambaye ambaye ameaga juzi ambaye ana ushindani mkubwa sana na Don Nywele nyeupe!! Kwa kifupi Don ambaye anamuwakilisha Rais nje ya nchi

Nakumbuka alifungia dom kma sikosei six na mdimu ndio mabos wke mpka kapata udc
 
Dog is a good friend.

kwa vile yupo anonymous ndio maana unahisi ni mzuri mwambie aanze kubanana na wema kama kupe na ng'ombe uone kama hawatatifuana, wema ana ubabe flani alafu anapenda kuabudiwa sana, asipochange hiyo attitude hatadumu na either girlfriend or boyfriend.
 
Yes alisoma Academic na enzi hizo ilikuwa shule ya kishua ndio maana yai lake linalainisha mkate. Lakini Wema angekomaa kidogo na shule angetoka kichizi ila na kuingia bongo movie mapema kulimchanganya kidizaini ,,but sio lazima aliyezaliwa ushuani atoboe ni malengo tu,, anaweza akapata marafiki bora ni kiasi cha kuwa na marafiki wenye positive attitude tu na yeye kuamua kubadili baadhi ya vitu fulani ,, brand yake anaweza akaitengeneza upya ,, Ila she was very cute/sweet girl enzi zake wakati huo vijana sisi watu wazima tunaogopa kumharibu ,, na sijui hiyo mikorogo aliitoa wapi?

To be candid, sjaona yai lake!....huwa anawababaisha mashostito wake wa uswahilin.. Asa we m2 ka uncle ekiel akimuona mama uzuri anaongea kiswanglish chake cha magumashi c lazima amtetemekee??... Ukitaka kuamini kuwa bidada english yake ya kuunganisha na gundi concentrate na in my shoes zake! Bidada miyeyusho yule duuh... Mara utasikia " this time around amaaaa, i was in arusha regions amaaaa!!... Yaaan niliishia tu kumuonea huruma! Kwa nin asiongee tu kiswahili?? Kuna haja ya meneja ake kumtreat katka hili.

Haa haa eti yai duuuh!!
 
Yes alisoma Academic na enzi hizo ilikuwa shule ya kishua ndio maana yai lake linalainisha mkate. Lakini Wema angekomaa kidogo na shule angetoka kichizi ila na kuingia bongo movie mapema kulimchanganya kidizaini ,,but sio lazima aliyezaliwa ushuani atoboe ni malengo tu,, anaweza akapata marafiki bora ni kiasi cha kuwa na marafiki wenye positive attitude tu na yeye kuamua kubadili baadhi ya vitu fulani ,, brand yake anaweza akaitengeneza upya ,, Ila she was very cute/sweet girl enzi zake wakati huo vijana sisi watu wazima tunaogopa kumharibu ,, na sijui hiyo mikorogo aliitoa wapi?

Hahaaaa unenayo ni sahihi kabisa mi nadhani bongo movie ni kijiwe kinacho waharibu wasichana wengi ambao hulemaa na maisha ya kuhongwa na waume za with.That's why baada ya soko la kuuza nyago kufa wengi wao wanalazimisha mziki kwa kucheza uchi ili waendelee kuishi mjini
 
C naskia mama alikua beki 3 wa mzee ndio akapindua serikali halali....mana kuna kaka yke mwanasheria huko znz kma sikosei

Yes ameteuliwa kuwa Jaji..na wengine wapo njema sana tu..ila nahisi kama wanamtenga Wema kutokana na tabia zake kwani ni aibu kwa familia yao inayoheshimika sana.Sijasikia Wema kutembelea kaburi la baba yake kule Unguja ila kila siku anashinda akilia kwenye makaburi ya nyota uchwaraa...ni jambo linalokwaza sana
 
Huyo karithi akili z ujombani kuleeee......ndio mana yuko hivyo hawezi kubadilika
 
Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Leo nifah umesema jambo lenye busara sana. Kuna siku huwa unatulia hasa. Kamata like
 
Tatizo kubwa la wema hutaka marafiki zake wawe kama watumishi wake na kuwawekea masharti anayoyataka yeye. Wengi humkubalia kuwa marafiki pale wanapokuwa na matatizo ya kifedha, wakisha fanikiwa wanakataa kuwa watumwa au watumishi. Hapo ndo wema hutumia ulimi wake kutoa lugha zisizo na staha.

Urafiki siyo kuingilia uhuru wa mtu, niambie nani alishawahi kuwa rafiki wa Wema? Hakuna hata mmoja, wote walikuwa karibu yake kama watumishi wake. Fuatilieni haya nisemayo na mtakubaliana nami.
 
Don Mdimu Yule ambaye ambaye ameaga juzi ambaye ana ushindani mkubwa sana na Don Nywele nyeupe!! Kwa kifupi Don ambaye anamuwakilisha Rais nje ya nchi

Mkuu huyo ni nanihii pale, mimi napita hapa Mtama hapa naelekea Tandahimba nikifika nitachangia zaidi
 
Mkuu huyo ni nanihii pale, mimi napita hapa Mtama hapa naelekea Tandahimba nikifika nitachangia zaidi

Hahahahahaa usipate shida ligati nimeshamjua.Hata hivyo nilikua namuhisi huyohuyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom