Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Marafiki hawatafuti km mabwana jamani... huwa wanakuja automatic.... sasa ye anatafuta marafiki wa ukubwani kilazima.... kwani ye amekulia wapi mpk asiwe na marafiki wa since day one..... au aliwaacha baada ya kua maarufu....
 
Kwani lazima awe na marafiki? Mbona mi sina rafiki na nnaishi, ye afanye mambo yake... kila mtu awe rafiki yake ndo hatakua anaumia kila mara
 
Marafiki wa kike kidogo wanapenda ushindani, sikushauri uwategemee sana. Kama ukiweza achana nao. Hawana tija hao.
 
Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Umenena nifah
 
Maana yangu kua cyo w kishua n wa kawaida tu kma wengine

haijui geografia ya Arusha huko Tengeru na USA river ndio wanapoishi washua sasa ukiona kijani kiingi usifikiri huko ndani kuna nyumba za kawaida kuna majengo ambayo unayaonaga tu kwenye movies tembea maeneo hayo vizuri uone alafu hauwezi hata siku moja kumlinganisha Nancy sumari na wema sababu wamekulia mazingira tofauti sio nancy sumari tu na wema hauwezi kuwalinganisha watu wa Arusha na wabongo wengine yaani kuna tofauti tu automatically hata mwenyewe unaijua.
 
Maisha yao yalikua poa cz baba yao alikua tajiri kipindi cha miaka ya 90 alikua anachimba tanzanite ila alikua anakaa tengeru,kiukweli nancy yuko poa cyo kma dada yke nakaya
ivi wewe ni mbulula wa wapi ina maana kukaa Tengeru ndio inakuwaje kwanza unajua tengeru ilipo unajua kuna mahoteli mangapi makubwa ya kitalii tengeru, unajua tengeru kuna Mabank mangapi, unajua tengeru kuna chuo kikuu, unajua tengeru kuna hospital kubwa, we mbulula unajua inakuchukua dakika 6 kutoka arusha city centre kufika tengeru hakuna tofauti yoyote ya arusha city centre na tengeru we mshamba. au kama sijakuelewa vile una maanisha nini unaposema Tengeru sababu watu matajiri wanaishi tengeru kutoka arusha city centre mpaka tengeru nauli ni 400 usifikiri ni mahali mbali sana na inaonekana hata Arusha hujawahi fika we mbulula.
 
Wewe mbulula acha kuropoka tengeru ni arumeru haiko arusha mjini istoshe hizo dk 6 ufike mjini labda kwa chopa.......hata karatu kuna mahoteli y kitalii so napo ni mjini
 
Tofauti mmoja kakulia jijini mwingne arumeru
sasa nimekuwekea picha na ushahidi kukuonesha legacy ya Tengeru Tanzania na Africa kama hujui Tengeru ndio eneo la pekee kuwafadhili wakimbizi wa kizungu waliokuwa wanakimbia vita huko Poland wakimbizi hao wa kizungu walikua wanalelewa Tengeru Arusha na ndio mana mpaka saivi kuna wazungu wengi maeneo hayo. be care.

th
PolFirs352a(h280).jpg
th
th
 
Nimejikuta namuonea huruma kiukweli.Lakini tatizo la Wema anapenda urafiki na mastar/malaya wenzie ambao mwisho wa siku huishia kugombana.
Kwanini asiwe na rafiki wa kawaida tu asiyependa mambo ya mjini? Tena awe mdada mwenye shughuli zake za kimaendeleo hakika angembadilisha sana.

Naomba nimuunganishe na wewe
 
Wewe mbulula acha kuropoka tengeru ni arumeru haiko arusha mjini istoshe hizo dk 6 ufike mjini labda kwa chopa.......hata karatu kuna mahoteli y kitalii so napo ni mjini

so what kama ni arumeru unajua wilaya ya arumeru inaishia wapi na whats your concept basically sababu mpaka saivi sikuelewi unai categorize arumeru as least developed part of the region or what hell??????
 
Wewe mbulula acha kuropoka tengeru ni arumeru haiko arusha mjini istoshe hizo dk 6 ufike mjini labda kwa chopa.......hata karatu kuna mahoteli y kitalii so napo ni mjini

you are so pathetic men, it will take you only 6 and even minimal minutes to get centre by privet car au unaongelea haice unajishangaza binafsi na huna ulijualo kuhusu tengeru.
 
Haviwez kututosha kwa kuwa sisi sio waswahili kama yeye, vinamtosha yeye na hao mashoga zake wa tandale

Ni kweli shoga, lakin siamin km ww ni wa MASAKI,O'BAY,UPANGA.Uckute nawe ni wa hukohuko Warumi.
 
ivi wewe ni mbulula wa wapi ina maana kukaa Tengeru ndio inakuwaje kwanza unajua tengeru ilipo unajua kuna mahoteli mangapi makubwa ya kitalii tengeru, unajua tengeru kuna Mabank mangapi, unajua tengeru kuna chuo kikuu, unajua tengeru kuna hospital kubwa, we mbulula unajua inakuchukua dakika 6 kutoka arusha city centre kufika tengeru hakuna tofauti yoyote ya arusha city centre na tengeru we mshamba. au kama sijakuelewa vile una maanisha nini unaposema Tengeru sababu watu matajiri wanaishi tengeru kutoka arusha city centre mpaka tengeru nauli ni 400 usifikiri ni mahali mbali sana na inaonekana hata Arusha hujawahi fika we mbulula.

Nimeishi tengeru, ni kweli unayoyasema, sio mbal na mjin ni dakika 4 tu
 
Ni kweli shoga, lakin siamin km ww ni wa MASAKI,O'BAY,UPANGA.Uckute nawe ni wa hukohuko Warumi.

Shoga mimi sipo Tz, naishi Capetown, nimezaliwa na kukulia uku, so usiifananishe Capetown na hyo mitaa yenu ya ajabu ajabu mnayoiita uzunguni..
 
Wewe mbulula acha kuropoka tengeru ni arumeru haiko arusha mjini istoshe hizo dk 6 ufike mjini labda kwa chopa.......hata karatu kuna mahoteli y kitalii so napo ni mjini

Thamani yako kubwa sana kiongozi!!achana nae huyo anaetafuta umaarufu kupitia jina lako humu ndani!!anaujua sana mji kwasababu hana kazi za kufanya,we mpotezee tu
 
Back
Top Bottom