Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 933
ye ndo mkamilifu peke ake?
Mimi nimemuelewa sana, maana hata mtu uwe mkamilifu kiasi gani, ila kua na marafiki wa kukutana ukubwani mh ni shida.
ye ndo mkamilifu peke ake?
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.
una phd ya urafik
Wema atachanganyikiwa baada ya miaka mitatu.
Mtu mzima anatawaliwaje?????
Ni kweli hata akikuona umehuzunika hukurukia rukia hukuchangamkia, akiona hauelekea hukunja mkia wake na ujilaza chini kusikilizia unanini leo, akiona unauziwa, wakwanza kupambana na anayekudhuru, lakini njoo kwa paka akikosa maziwa tu, anajiweka pembeni au anahamia baa kunakopatikana mabaki ya samaki.
Nasikitika sana wambea wenzangu siku mmepukutika geniveros siku izi haonekani, Dinazarde yupo busy, Heaven on Earth nae haeleweki, akina chige na Matola nao siku izi wamekuwa hadimu, jukwaa linapoa, namis tuwe kama zamani loh, nimeshawazoea kwa kweli, naumia vibaya kuwakosa, Mrembo by Nature nae sijui kapata danga gan uko china ata umbea hataki siku izi mamakibunju nae kakata mguu mazima, Madame B kapata mzungu sijui
Ajiangalie kwanza yeye...maybe yeye ndio chanzo cha matatizo...
alafu hiyo picha..khaaa..
Kama anamiaka 64 vile
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.
Ila inaonekana ana mke sema ndo hivyo tena anaendekeza umalaya. Kuna mahali binamu kasema hivi.....nasikia kafumwa na mume wa mtu hotelin
Pia Diva Beyonce naye kwa jibu alilonipa hapo juu nahisi naye anasema disii ana mke, sema ndo hivi bado anaendekeza mechi za mchangani
IVi zari ana shoga kweli?
hivi disii hana mke au umalaya tu unamsumbua?
Kajala anachambwaje uko insta, halafu anajikausha kama sio yeye
Samahani, baba ake kuwa balozi haimaanishi basi ndio alikuwa millionare kama unavyompamba,ivi unawajua watoto wa mabalozi vizuri? Achana na mabalozi wa miaka 87, nazungumzia mabalozi as ambassador, kwanza sijawahi kuona mtoto wa balozi akawa bongo movie, wema ndio wa kwanza, mtoto wa balozi anategemea kununuliwa gari na wanaume? Anaishi kwa kutegemea wanaume? Ebu usitake kuchafua title za watu wenye heshima zao bwana
Huyo wema anakaa sinza, kalelewa na kukulia apo sinza mori, kwao hawana maisha ya kutisha kihivyo ukawadanganye hao washamba, alibahatika tu kusoma shule nzuri, wema ni mswahili na ndio maana anaendana na waswahili wenzie ,kama angekuwa sio mswahili asingeambatana na waswali, upo apo? NDege wafananao ndio walukao pamoja, wema hawezi kukaa na akina nancy kwa sababu wema ni mbea, mnafiki na anapenda majungu na anawaza wanaume tu na sio maendeleo na ndio maana anaambatana na watu wenye akili kama zake, kwa hyo usiwadanganye watu eti wema wa kishuaaa mmxiuuuu, wakishua labda kwa hao bongo movie wenzao