Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Wema Sepetu: Sina bahati na marafiki

Ha ha ha ha ha asante binamu kwa kujali.
Sina tatizo lolote kabisa, kuwa na amani tu.

Nasikitika sana wambea wenzangu siku mmepukutika geniveros siku izi haonekani, Dinazarde yupo busy, Heaven on Earth nae haeleweki, akina chige na Matola nao siku izi wamekuwa hadimu, jukwaa linapoa, namis tuwe kama zamani loh, nimeshawazoea kwa kweli, naumia vibaya kuwakosa, Mrembo by Nature nae sijui kapata danga gan uko china ata umbea hataki siku izi mamakibunju nae kakata mguu mazima, Madame B kapata mzungu sijui
 
Last edited by a moderator:
Haswaaa binamu

Ushoga wa kufuatana fuatana makalioni mwisho wake sio mzuri

Kwanza hivi aunty na wema wakikutana wataongea nini cha maendeleo????

Ndio mwanzo ku anty ku-feature in my shoes na kupangiwa mashart aone anaonewa

Ushosti unadumu kama mnaonana for a reason hata kama ni mara kwa mara ila mnaonana mnafanya lililowakutanisha kila mmoja anasepa kwake...ila huu wa kula kulala kuamka kujamba kunya pamoja???? Thubutuuuuuu mwisho lazima mmoja aone anapelekeshwa

Wema nae abadili aina ya marafiki ( kama anataka kusonga mbele kuwa kama kina nancy (kimaendeleo lkn)) hawa marafiki wa kuwaza mwanaume gani mwenye pesa wambebe hawana dili

Anyway binamu ubuyu wa kajala na mh dc umeupata? Nashangaa hauumwagi au ndio mambo ya cyber crime??? Hahaha

NImesahau binamu, ivi ulipata umbea wa kajala juzi? Yani ni shidaa, nasikia kafumwa na mume wa mtu hotelin mmh, tena alikuwa hawara wa batuli pia
 
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.

Umeongea point ya maana sana tu ndo za marafiki wa uswahili walivo mkitofautiana kidogo anaenda Ku side na yule ambaye mlikua hampatani. Anti angekua yuko matured ange achana naye kiutu uzima wale sio kwenda kwa kajala mzima mzima. Bongo movie hawanaga classy yoyote aisee, ila nadhani amejifunza kuwa na marafiki wenye mambo ya kiswahili lazima mkosane tu.
 
Marafiki wa wema wote ni waswahili hata hafanani nao, sio class yake, ndio maana hawadumu.
Marafiki wa vigodoro nao ni marafiki? Group ya Wema ni kina Irene Kiwia, Faraja Kota, K-lynn and the like. Sio hizi takataka! Sijui hata analalamika nini? Aachane na hawa waswahili atafute marafiki wa class yake aone kama hawatadumu.

Hao kina klyn hawawez kuwa karibu na wema hhhhaaa
 
Last edited by a moderator:
Shida nyingine aliyonayo wema anataka adui yake, pia awe adui yako!! hapo ndo wengi wanaposhindwa kuendana naye. Ila generally ukiondoa tabia yake ya umalaya nadhani wema ana huruma fulani hivi na upendo wa dhati kwa marafiki zake, sema ndo hivyo tena hilo la adui yake adui yako linawashinda wengi

Point yako nainunua.Anapenda kuish maisha ya team flan so ukiwa kwake asikuone na watu wa team nyingine.
 
of course Wema is right, adui yako ni adui yangu pia, hata George W Bush aliuambia ulimwengu baada ya kulipuliwa world trade centre nanukuu" you are either with us or with them, theres no in between", huwezi ukawa rafiki yangu na rafiki wa adui yangu pia, huo ni unafiki unaitwa.. kwahio miss Sepetu ni kweli marafiki wake wengi ni wanafiki tu.. kingine family background ni tatizo, Wema kakulia mauzunguni kwa diplomat dad, wapi na wapi anakua na marafiki wa uswazi akina aunt na huyo kajala? hao ni watoto wa uswazi aachane nao aige akina Kylin na kina Nancy.. matawi kwa matawi na waswazi kwa waswazi.. mbona haiitaji rocket science hio!!pole!
 
NImesahau binamu, ivi ulipata umbea wa kajala juzi? Yani ni shidaa, nasikia kafumwa na mume wa mtu hotelin mmh, tena alikuwa hawara wa batuli pia

Hehehehehe ndio huoooooo binamu
K nae kwapua kwapua

Halafu alivyo na gundu mwanaume hachelewi kufulia

Binamu tutashtakiwa sitaki mie ujueeee
 
Asante nirushie kwenye M-pesa mkuu sasa hivi
 
Mwenzangu tufungwe tu, kisa cha kujibana na kiu ya nafsi? Watupishe apa mxiuu, nasikia lile danga lilikuwa la batuli kajala akamkwapua wakalala wote hotel, nyie huyu kajala mmh
 
Asante nirushie kwenye M-pesa mkuu sasa hivi

HUyo wema ajaribu basi kuwa karibu na mimi, sitamsaliti, nitampenda kwa moyo wangu wote na kumfichia siri yako, hatojuta kwa kwel
 
Enzi za ujana wangu pale Kijitonyama hostel aka CRDB hostel aka kabinti kalikua kanapita Kakiwa Sec ni family ya kawaida kama watanzania wengi ila naskia kila siku mnamsifia wa kishua
 
Ndio nashangaa
 
HUyo wema ajaribu basi kuwa karibu na mimi, sitamsaliti, nitampenda kwa moyo wangu wote na kumfichia siri yako, hatojuta kwa kwel

Haaaaaa binamu we umpende wema kweli!!!???? nifah njoo usikie binamu anavyoongea huku
 
Last edited by a moderator:
of course Wema is right, adui yako ni adui yangu pia, hata George W Bush aliuambia ulimwengu baada ya kulipuliwa world trade centre nanukuu" you are either with us or with them, theres no in between", huwezi ukawa rafiki yangu na rafiki wa adui yangu pia, huo ni unafiki unaitwa.. kwahio miss Sepetu ni kweli marafiki wake wengi ni wanafiki tu.. kingine family background ni tatizo, Wema kakulia mauzunguni kwa diplomat dad, wapi na wapi anakua na marafiki wa uswazi akina aunt na huyo kajala? hao ni watoto wa uswazi aachane nao aige akina Kylin na kina Nancy.. matawi kwa matawi na waswazi kwa waswazi.. mbona haiitaji rocket science hio!!pole!

Samahani, baba ake kuwa balozi haimaanishi basi ndio alikuwa millionare kama unavyompamba,ivi unawajua watoto wa mabalozi vizuri? Achana na mabalozi wa miaka 87, nazungumzia mabalozi as ambassador, kwanza sijawahi kuona mtoto wa balozi akawa bongo movie, wema ndio wa kwanza, mtoto wa balozi anategemea kununuliwa gari na wanaume? Anaishi kwa kutegemea wanaume? Ebu usitake kuchafua title za watu wenye heshima zao bwana

Huyo wema anakaa sinza, kalelewa na kukulia apo sinza mori, kwao hawana maisha ya kutisha kihivyo ukawadanganye hao washamba, alibahatika tu kusoma shule nzuri, wema ni mswahili na ndio maana anaendana na waswahili wenzie ,kama angekuwa sio mswahili asingeambatana na waswali, upo apo? NDege wafananao ndio walukao pamoja, wema hawezi kukaa na akina nancy kwa sababu wema ni mbea, mnafiki na anapenda majungu na anawaza wanaume tu na sio maendeleo na ndio maana anaambatana na watu wenye akili kama zake, kwa hyo usiwadanganye watu eti wema wa kishuaaa mmxiuuuu, wakishua labda kwa hao bongo movie wenzao
 
Shida nyingine aliyonayo wema anataka adui yake, pia awe adui yako!! hapo ndo wengi wanaposhindwa kuendana naye. Ila generally ukiondoa tabia yake ya umalaya nadhani wema ana huruma fulani hivi na upendo wa dhati kwa marafiki zake, sema ndo hivyo tena hilo la adui yake adui yako linawashinda wengi

Sio malaya ni kama ulivyosema anahuruma sana.
 
NImesahau binamu, ivi ulipata umbea wa kajala juzi? Yani ni shidaa, nasikia kafumwa na mume wa mtu hotelin mmh, tena alikuwa hawara wa batuli pia

Mwanaume mwenyewe makonda
 
Back
Top Bottom