Huyo hamjui wema kadandia basi kwa mbele tena huo ubalozi n wa zimbabwe kma sikosei....mtu kakulia mtaa wenye gest,bar plus madanguro eti ushuani halafu mshauri wke maza wke akili y beki 3
Ni jambo l mda tu atadata
Duuh mnampamba wema nae wakishua kweli majanga.....wema kakulia mtaa wenye bar,gest,madanguro plus wauza mbunye toka lini mori ikawa ushuani.
Huyo hajawahi kua n class au marafiki wenye class zaidi y wauza mbunye w bongo movie,jiulize kwanini marafiki zke wengi w ajabu kuanzia mashoga,wacheza vigodoro jibu cz nae walewale
Huyo nancy nae cyo y kishua hata tone baba yke alikuaga n hela zamani hizo kakulia tengeru nje ya jiji l arusha tena maisha y shambani
Enzi za ujana wangu pale Kijitonyama hostel aka CRDB hostel aka kabinti kalikua kanapita Kakiwa Sec ni family ya kawaida kama watanzania wengi ila naskia kila siku mnamsifia wa kishua
Diva Beyonce udaku nilioupata ni kuwa aliyemuandalia hiyo baby shower ni huyo huyo ka.j.a.l.a... Ili kumkill softly mama uzuri.
Mwenzangu eti pale sinza mori meeda bar ni pa kishua!!????kha! Tatizo waongeaji wengi kuhusu kwao ni wa mikoan, hawapajui.. naumbu
Shida siyo kuwa mtoto wa kishua!
Kwa hiyo kama wazazi wangu hawakusoma na kuwa na exposure ndo na mie niwe hivyo.
Nancy yupo vizuri hata kama hajatoka ushuani.
Maana yangu kua cyo w kishua n wa kawaida tu kma wengine
Kama bado anatumia atapotea muda si mrefu au ndo maana dada yake wa hiari anawaumbua wauza unga
Heheee kwa hivyo status ya Wema na Nancy zimelingana!!?
Diva Beyonce udaku nilioupata ni kuwa aliyemuandalia hiyo baby shower ni huyo huyo ka.j.a.l.a... Ili kumkill softly mama uzuri.
Shida siyo kuwa mtoto wa kishua!
Kwa hiyo kama wazazi wangu hawakusoma na kuwa na exposure ndo na mie niwe hivyo.
Nancy yupo vizuri hata kama hajatoka ushuani.
Nancy anajiheshimu sana hata kama ana background ya madongo kuinama. Kikubwa ana uki classy flani hivi unaomfanya aheshimike.
Mbona kwa mrekebisha tabia walisema ni dc mako
Itakua aisee huyu mdada ni noma hata kwa kuiba mabwana wa wenzake. Na atakua alifanya kumkomesha aisee ajirudi bana Hata ka Wema alihongwa kumlipia hela ye ana roho ya kipekee aisee.
hapo pekundu siyo kwamba ulimaanisha wilaya? au mi ndo network haijanasa vizuri
Hebu ukiupata ning'ate sikio kidogo.