Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

Diamond ni mchezea wanawake tu!! Wema ndugu yangu nae alishindwa tu kupambanua mambo, wewe hiyo pete unavishwa na mtu akiwa hi na mibangi kichwani tena amelewa chakari, hakuna cha kwenda kwa wazazi na kutangaza nia..........amekaa ndani ya nyumba na kujiona amefika yeye ndo mama mwenye nyumba(Mrs Diamond)., Masikini, kweli wanawake sisi Mungu atuhurumie tu kwani saa nyingine sijui akili zetu tunaweka wapi pindi tukutanapo na mijanaume na kujiona tumefika nymbani!! Kama wenye ndoa zao huwekea nyumba ndogo pembeni itakuwa Wema uliyewekwa kinymba?? wakati umefika sisi wanawake tutambue kuwa wanaume hata wapewe nini hawafugiki ndani ni kama wamelaaniwa vile........

Wema my ndugu kama unapita huku JF, jaribu tu kutafuta life yako, kama ni vidume vipo tu vingi mtaani utapata kwa wakati wake. thamani yako iko wapi hata kama utajiheshimu vipi? heshima ni kuheshimiana, kama huyu diamond leo yuko na jack, jokate nk...(na hao ni hawa unaowajua, je usiowajua) anakudahlilisha tu mtaani. Tupa kuleeee n take ur life

Ila MIJANAUME NDIVYO ILIVYO.... HATA IPEWE NINI LAZIMA TU IONJE ONJE
 
"Mnyika afumaniwa hotelini na
Changudoa"....habari kama hii
nikiikuta sehemu nitashtuka sana
na kujaribu kuipitia kwa umakini.
Huyu ni mtu mwenye akili timamu
kabisa ambaye unaweza kujiuliza
kwa nini anafanya hivi. Lakini
mimi Edo Kumwembe...kamwe
siwezi kufuatilia habari za
Diamond na Wema. Hivi kwa nini
watu wanafuatilia habari
zao?...huyu mmoja ni mtoto wa
uswazi tu kabana pua ametoka
kimuziki...huyu mwingine
amezaliwa achezewe. agrrrrrrrr
inanikera kweli kuona mtu yuko
serious anasoma habari zao.
Wabongo tuache kupoteza muda!-
Edo Kumwembe
 
"Mnyika afumaniwa hotelini na
Changudoa"....habari kama hii
nikiikuta sehemu nitashtuka sana
na kujaribu kuipitia kwa umakini.
Huyu ni mtu mwenye akili timamu
kabisa ambaye unaweza kujiuliza
kwa nini anafanya hivi. Lakini
mimi Edo Kumwembe...kamwe
siwezi kufuatilia habari za
Diamond na Wema. Hivi kwa nini
watu wanafuatilia habari
zao?...huyu mmoja ni mtoto wa
uswazi tu kabana pua ametoka
kimuziki...huyu mwingine
amezaliwa achezewe. agrrrrrrrr
inanikera kweli kuona mtu yuko
serious anasoma habari zao.
Wabongo tuache kupoteza muda!-
Edo Kumwembe

Kwaio Edo Kumwembe unashangaa watu kufatilia habari za hawa watoto, ujishangai na wewe kupoteza muda kuzifatilia??maana usingekoment bila kuzifatilia...alafu suala la chini mbona halina cha mtu makini!!...acheni dunia izunguke.
 
Kwaio Edo Kumwembe unashangaa watu kufatilia habari za hawa watoto, ujishangai na wewe kupoteza muda kuzifatilia??maana usingekoment bila kuzifatilia...alafu suala la chini mbona halina cha mtu makini!!...acheni dunia izunguke.

Haya tunayoyaona, haya tunayoyatenda ndiyo yanayo fanya dunia izunguke, tusijiulize sana haya yote tumeyakuta......
 
jokate kaliwa na kobie yule wa boa bank'hafu unategemea mtoto kama jokate ajipitishe diamond amuche!!! Hata mimi namla'diamond ur true player dude'tafuna tu hao watoto tena ikibidi wapake afuta uko makalioni'.
kobie ana cheo gani??
 
Kwaio Edo Kumwembe unashangaa watu kufatilia habari za hawa watoto, ujishangai na wewe kupoteza muda kuzifatilia??maana usingekoment bila kuzifatilia...alafu suala la chini mbona halina cha mtu makini!!...acheni dunia izunguke.

Huyo Edo wala hayupo hapa mimi nimenukuu status yake tu.
 
Mtoto wa uswazi tandale kwa mtogole anakandamiza mamiss kwa kwenda mbele....
 
Miaka 50 ya uhuru oyeeeeee.vijana hela inawasumbuaa asa kama kweli jocate kapita kwa kipara itakuwaje maana nasikia kipara nae atafuata tiba ya ndizi huko gambia ama?
 
Ila hii story itauza sana ,kama ni kweli Jokete yuko na Diamond?

Nilikuwa siifuatilii sasa naanza rasmi kuifuatilia.

Ni reality show isiyo editiwa.
 
Ni mgawano wa virusi......na si lingine.....huyu jamaa Diamond ataishia kuwa na Mkusanyiko Kokofyo wa Virusi(MKV)

Mkuu mimi mwalimu wangu ni bambucha kwa hiyo hata hich kiswahili sielewi, jee utanisaidiaje kuelewa hicho kitu Mkusanyiko kokofyo wa virusi
 
Sasa kwa nini ya Mwammy imefungwa? Au yeye si selebu?

Hata ya celebrity wa Kupiga picha za uchi Nsia Swai imetolewa kabisa, leave alone kufungwa! Ni kama vile haijawahi kuwepo JF!
Dada Mwamvita ni mtoto wa Kigogo aliyemng'oa Tido Mhando TBC! Hamtaki Jamii forum iendelee kuwepo??
Just thinking aloud.....
 
Back
Top Bottom