Wema Sepetu adai Jokate Mwogelo kamuibia Diamond wake

ndio maana anagombaniwa na wadada??
Mwenye uhakika na hili........pliizzzzzzzzzz hahahahaha leo..........

asa mwenye uhakika zaidi ya hao nani>...afu ukishapewa huo uhakika ndo iweje..uende?my hairs:car:
 
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond
alimwacha wema peke yake nyumbani kwake
na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Hivi kumbe hata jf habari za u turn huwa mnazijadili maanake huwa naona watu wanauponda sana,kumbe kuna washabiki wengi tu wa uturn hata huku?
Kweli u turn imetisha.
 
Wema ni nani? Diamond ni nani na huyo jokate ni nani? Wamefanya nini kikubwa hadi muwajadili namna hiyo? Tafdhali nijulisheni ili nami niweze kuchangia!!!
 
The saga continues
Na Imelda Mtema

KISHINDO cha Jokate Mwegelo ni kizito, kimeingia ndani ya uhusiano wa brazameni, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Wema Sepetu kisha kuwafanya wawili hao kila mmoja kushika hamsini zake.Wema, amefunga virago, ameondoka nyumbani kwa Diamond, Sinza Madukani, Dar es Salaam kwa mtindo wa "wanakwenu kwa heri, nimechoka masimango, narudi nyumbani kwetu leo."Madai ‘yanahiti pointi' kuwa Diamond na Jokate wapo kwenye penzi jipya lenye nguvu, Wema ameligundua hilo, ameona ni maji marefu, kwa hiyo amejiweka pembeni kuepuka…​
 
Siwezi poteza muda wangu kuchangia mambo ya wapuuzi hawa, ngoja nilog off then nikaangalie mazao yangu shambani yanavyoendelea.
 
ni wauza nyago na mwili aseepaliilia kwa bidii sana
hawa hawana ishu wala nini
ni wapuuzi wanaopenda
kuonekana kwenye media
kama dozi ya panadol
i mean asubuhi saa6 na jioni

ukivuna hayo mahindi unishtue asee

who is jokate,wema, and diamond????? napita tu naenda shambani kupalilia mahindi....
ni
 
pesa mbaya sana. Kiukweli ninavyoelewa ni kuwa hawa masupastaa wa bongo hupenda kulinda majina yao kupitia kashfa za kujitungia. Hili lipo wazi. Hata kama ni kung'arisha jina, jokate amekosea sana, na anakosea sana.

Binti ana elimu nzuri, ni mzuri, ana jina mjini kabla ya dimond... Asijiharibie status yake kwa kupenda kujihusisha na kashfa za hawa bongofleva na wacheza filamu wa kike na wa kiume. Mwisho wa siku pesa kiboko.

Na dogo dimond pia namkubali kwa kazi zake ila wenye akili na malengo yao wasijitafutie umaarufu kupitia hawa watoto wa juzi ambao wanategemea sauti na nyota
 
haka ka wema nilikasikia jana kakisema maneno mbfumbofu
kuhusu jokate chane claus tv

Ila according to Jokate mwenyewe amesema alikuwa kikazi zaidi, kwani walikuwa wanashoot video ya Wimbo mpya wa Diamond sijui unaitwa Mawazo. Hivyo ni vizuri ushahidi ukawekwa wazi kuliko kuchafuana, Je Wema aliwakuta live wakifanya mapenzi? Au Kisses tu?
 
The saga continues
Na Imelda Mtema

KISHINDO cha Jokate Mwegelo ni kizito, kimeingia ndani ya uhusiano wa brazameni, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Wema Sepetu kisha kuwafanya wawili hao kila mmoja kushika hamsini zake.Wema, amefunga virago, ameondoka nyumbani kwa Diamond, Sinza Madukani, Dar es Salaam kwa mtindo wa "wanakwenu kwa heri, nimechoka masimango, narudi nyumbani kwetu leo."Madai ‘yanahiti pointi' kuwa Diamond na Jokate wapo kwenye penzi jipya lenye nguvu, Wema ameligundua hilo, ameona ni maji marefu, kwa hiyo amejiweka pembeni kuepuka…​

Hovyo, JF inapoteza mwelekeo sasa ndio maana kwenye pages za nyuma nilisema

JF=Shigongo (global publishers)

Ni kama vile hatuna issue ya maana, wabunge wanajiongezea posho za bure, walimu hawajalipwa malimbikizo!
 
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Hebu click hapa chini umsikilize Wema akilalamika

Wema akilalamika kuhusu jocate - - YouTube
 
Huu ni upuuzi yawezekana wema kaona hajaandikwa siku nyingi akaamua kutoka hivyo. Jokate msomi hana haja na hawa akina Diamond. Wema Mcharuko dy/dx

huyu jokate ni mwakwaya mzuri wa victory choir pale st peters catholic church ibada ya kiingereza na pia ni msomaji wa masomo.

siamini hizo ni tuhuma tuu. huyu wema analake jambo.
 
Acheni wapuuzi wakimbizane na huu ulimwengu. Wanafikiri wataumaliza. Hawana akili kweli.
 
HII KITU NIMEKIPATA KWA MSAADA WA MTANDAO WA DUBAI
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Kwa kweli mie kama mwanamke imeniuma Jocate anaelewa kabisa hii couple kila mtu anaikubali kwanini aingilie mapenzi yao?

Alafu nilidhani ni siri kumbe sio siri naona hata magazeti ya udaku leo wamerusha hii habari.
Dah wana uturn ni kwa masikitiko makubwa mno nawaletea habari hii, Jokate kamnyakua Diamond kutoka kwa wema. Yani navyowaeleza ni kwamba kwa siku nne mfululizo diamond alimwacha wema peke yake nyumbani kwake na kwenda kukaa hotelini na jocate.

Haka kajamaa noma yani kanaangusha mizigo ya maana hadi nakaonea wivu

9f2b06664921b2e7.jpg

eti hapa napo keshapita

wema21.jpg

hapo napo tayari

jokatenew.JPG

Huyu nae tayari kesha chapwa nao

diamond.bmp

Kajamaa kenyewe ukikaona sasa, hata nyama hakana.Kweli madem hamnazo..
 
Wema ni nani? Diamond ni nani na huyo jokate ni nani? Wamefanya nini kikubwa hadi muwajadili namna hiyo? Tafdhali nijulisheni ili nami niweze kuchangia!!!
na wewe ni nani??
 
hivi kweli mtoto Jokate ni wakuonea huruma , kama kadata kwa msanii huyu, nikikutana na Baba yake Pale Mango au Pachoto nitamwomba ampe ushauri na saha , ikishindika nitaenda kumwona padre pale St Peter amumwagie maji ya baraka kutoka kwenye majinamizi haya kwani pale hakuna ndoa ni kutumika tu, mie mwanakwaya mwenzake nimehuzunika sana kuona mtoto huyu kakosa wa kumuoa mpaka anajichanganya na hawa wauza sura, au wema amerudi na stail yake ya kuchokoza mambo ili aandikwe, niliacha kusoma magazeti ya Udaku kwa sababu ya KIUMBE wema na vituko vyake. Karibu kwenye mtandao wa VVU kama umejitakia.
 
Back
Top Bottom