Wema, diamond... Hakuna ndoa

Wema, diamond... Hakuna ndoa

Penzi kama kiti cha basi,
Ukishuka anakaa mwengine.
Anapatikana wapi huyu binti nami niingie kwenye list?
Ila tu mi sio Superstar ingawa fedha ya kumlea ninayo
 
Tulishajua hao wote ni watoto!!ila wema atulie sana atafute mtu alimzidi umri kama 15yrs awe amesha settle atulie huyo ndio atamfaa sio yule diamond ambae ana struggle maisha yake kwa sasa na familia yake ambayo anasema ni hali chini!!Wema ana kila atakacho toka familia yao!!
 
dududud huyu demu kweli sungura tope kweli jamani,nina wasiwasi huyu demu atakuwa hivo mpaka maisha yake yote atakuwa analiwa uroda hivohivo na kumwagwa na inaonekana nan matatizo ya kuona mbali anafikiri kwa kutumia sehemu nyeti tu na si pengine coz kitendo cha kumwambia diamond amrudishe mama yake tandale ni ujinga, huyo demu ni **** uuuuu.
 

Ngoma ikilia sana ujue inakaribia kupasuka na lisemwalo lipo kama halipo, basi li njiani laja! Hatimaye Wema Isaac Sepetu na Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond', wamemwagana rasmi

Ilikuwa ni Jumanne, saa mbili usiku, Diamond ‘Platinum' aliita vyombo vya habari katika Hoteli ya Lion Sinza jijini Dar es Salaam na kufunguka:

"Washikaji, nimewaita hapa nifunguke mbele yenu kuwa nimemmwaga rasmi yule demu (Wema) kwa sababu hapatani na mama yangu (Sandra Sammy).

"Kwanza Wema amekuwa akinilazimisha nitengane na mama yangu, yaani nimrudishe kule Tandale tulipokuwa tukiishi mwanzo , halafu mimi na yeye tuishi Sinza (Madukani), jambo ambalo sipo tayari kulifanya.

TUKIO ZIMA LA KUPIGANA CHINI LIPO HAPA << WEMA NA DIAMONDI WAACHANA>>



walitongozana kimyakimya, walioana kimyakimya basi waachane kimyakimya. hayo ni matumizi mabaya ya media. lakini kwa kuwa ni udaku, ndo kazi yao
 
walitongozana kimyakimya, walioana kimyakimya basi waachane kimyakimya. hayo ni matumizi mabaya ya media. lakini kwa kuwa ni udaku, ndo kazi yao
Unajua utoto ni shida sana, alipomtongoza hakuita waandishi wa habari na kudeclare sasa anaingia vitani kumtongoza Wema lakini kuachana anaita waandishi wa habari ili iwaje? Halafu mapenzi yana kurudiana baada ya kuyaweka mambo sawa sasa sijui kama ataita tena waandishi wa habari kuwajuza jamani nimerudiana na Wema! Halafu Wema amshukuru Mungu yule dogo si saizi yake musiki wa kibongo ni kama uganga, mganga fulani anavuma halafu ghafla anapotea hivyo hivyo wanamuziki, yuko wapi Mr Nice, Babu aka Insp Haroon n.k
 
huyu Wema atulie sasa na atafute mtu mwenye heshima zake.....hawa kapuku sijui huwa anawatoa wapi.....huyu diamond alitaka sifa ili aonekane nae yumo
 
Wema mama , tulia, hii dunia haiishi, hebu kaa chini utulizane. Chukuwa livu nenda mbuga za wanyama kakae huko mwezi mzima wewe na nature tu, ukirudi achana na hii dunia ya anasa haina mwisho mwema. Kama kujulikana ushajulikana sana, hakuna wakupinga hilo iliobaki utulizane uutumie umaarufu wako kwa kutenda mema na kuwa mwema.
 
Wema njoo nikupe faraja ya moyo. Achana na vitoto hivyo visivyojua nini maana ya mapenzi. Njoo nikupe mikuno mama.
 
Wema mama , tulia, hii dunia haiishi, hebu kaa chini utulizane. Chukuwa livu nenda mbuga za wanyama kakae huko mwezi mzima wewe na nature tu, ukirudi achana na hii dunia ya anasa haina mwisho mwema. Kama kujulikana ushajulikana sana, hakuna wakupinga hilo iliobaki utulizane uutumie umaarufu wako kwa kutenda mema na kuwa mwema.

Tupo pamoja double f.
 
Sasa kumuacha mtu mpaka utangaze kwenye magazeti...?!!!

Sijui kwanini hawa watu wanapenda kuishi maisha yao kwenye magazeti, alafu wakianikwa na kuandikwa kwenye udaku wanaanza kulalamika..
Kuacha au kuachana ni kitu cha kawaida.., ila kutangazia umma ni utoto
 
Wema kama hafaam ana nyota kama ya Amina chifupa(ac)yenye mafanikio sasa kila mtu anataka apitie hapo ili atoke mfano wa watu kama shigongo,nchimbi,vicky kamata walikwaruza na AC,na wakawa maarufu alipokufa tu wote sasaivi hawavumi.Imeamia kwa wema yeye kupitia mgongo wake watu kama kina chalz baba,kanumba,blue na diamond wanavuma kupita nyota ya mwanadada na kumwacha,kwaiyo Wema hawe makini kama umaarufu anao asipende kutumika na hawa wajinga wanaojiita mastar atafute mtu wa kawaida wataishi maisha ya raha mustarehe.
 
Yaani kaita waandishi wa habari kabisa! Duh hii kali. Kutokana na hali halisi kuwa tuko nyuma kimaendeleo, ingebidi tutumie muda wetu vizuri ikiwezekana kukimbia wakati wenzetu wanatembea, mwandishi kukaa na kuandika habari za kijinga na kitoto kama hz za mwimbaji anyejulikana dar es salaam tu!, ni upuuzi uliopitiliza! Tutumie muda wetu vizuri ili tufikie malengo ya milenia! tuache kufuatilia huu ufuska wa hawa vijana na kusahau mambo ya msingi.
 
haya mapete ya kuvalishana maclub midnight mmelewa chakari haya pole wema ni pm nikupe ushauri achana na wauza sura
 
Back
Top Bottom