Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
- Thread starter
- #161
Ila we ndo kiongozi. Ndo maana ban znakupata daily
Last edited by a moderator:
Sema ninachokinena??Ndiyo ninauhakika kwanini nimwagwe wakati iknow how to luv??lolzhiiivviiiii.................una uhakika na unachokiandika hapa!!!???
kwa hyo Bishanga analea mimba isiyo yake
Sema ninachokinena??Ndiyo ninauhakika kwanini nimwagwe wakati i know how to luv??lolz
Nipo sahihi. sweetlady ni mzazi mwenzangu.
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.![]()
Nani anamtaka mzigo huyo? Bishanga tu ndo kajitolea kumsaidia
Unajua kucheza?
angalia vizuri ushirikiano wa macho yako. Nywele za mtoto ni kama zangu kabisa.
Ina maana unataka kum bishia au?
Mbona watalea kumi
mzee acha mkwala. Mjukuu wako umemwona?
Acha ubishi wewe Nicas Mtei.............. "Niliyezaa nae".....Ina maana kwamba yeye afanyaye mwingine jambo lile lile kwa kufanana mHapo kwenyeuda na wakati.
Hapa jibu sahihi ni ..... @Sweetlady amejifungua mtoto ambae nilihusika na kushiriki katika kumpa Ujauzito.
kwa maana mnaweza mkawa wengi mmehusika, esp nitonye, lakini mwisho wa siku akatoka amefanana nawe kwa maana ulishiriki.
hapo kwenye red hilo ni sawa na kurefusha maana ile ile niliyosema
Mfano
1. Yule dada niliyezaa nae pale hospitali, amefariki, hapa ana maana kwamba, Yule dada ambae walikuwa wamejifungua kwa muda mmoja mtoto (labda anaweza akawa ni wa kitanda cha jirani) amefariki.
Sema tu sisi watanzania tunapenda sana kurahisisha neno mpaka likaonekana liko sahihi.
Neno sahihi hapo kwenye red ni Yule dada tuliyezaa pamoja pale hospitali
Kama kweli unakijua Kiswahili vizuri...........nipe tofauti kati ya
1. Nimezaa nae na ......maana 1 (a)
2. Tumezaa wote.....(hii hapa nipe maana 2, (a) na (b))
Ukinijibu hapa wewe kichwa.