Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo umeridhika na hali hiyo??? Usije niona nakuchonganisha na Nicas Mtei lakini kitendo chake cha kutojua amchukue sweetlady au laaaah namuona kama fisimaji vile!!
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.![]()
bora umwambie manake isijekuwa na yeye anajishaua kumbe kauziwa mbuzi guniani
ah ah! chezea ramadhani igondu na kikosi kazi chake? Lazima ukae chini
nilihairisha bado ana hela chezea billionea no.1
Kwa hiyo umeridhika na hali hiyo??? Usije niona nakuchonganisha na Nicas Mtei lakini kitendo chake cha kutojua amchukue sweetlady au laaaah namuona kama fisimaji vile!!
Vifaa vyenye ncha kali lazima vitumike hapo
Umeonae?...... Huyu Nicas Mtei analeta utani eeh.....
Ahsante sana Nicas Mtei ......nshakaribia dia....kunyonyesha kazi ndio mana unaona napotea lol
hujambo?
ndugu yako nitonye ndo alilipia kila kitu ili tufanye vipimo.... ameishia kuumbuka yeyeConfirm !
Kwa sisi tukujuao Nicas Mtei, hapakua na haja hata ya kwenda poteza visenti vyako kulipia vipimo!
Hilo nembo lako hass'aaa!