ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ngoja aje mwenye mke wake wote mtainngia mitini nyie si nicas wala mungi
Hahahaha tena A+ lol
ngoja aje mwenye mke wake wote mtainngia mitini nyie si nicas wala mungi
apate A achekwe alitapata alama O huyo
huna habari kuwa tumefunga ndoa na tena yuko hapa karibu yangu anacheka hii comment uliyotoa hapa hujui muda si mrefu nitampatia mwana? wewe karagabao ndo hivyo tena tunaojua kulea tumeshaingia dimbani kazi kwako bibie unadanganywa na yuyo nicas mtei
Macho yako yana matege?
shughuli bado ngoma inogile sijaicheza bado
Unajua kucheza?
Nicas Mtei hajui kama DNA nayo inaweza kuwa hacked! usiliache hilo dili akili kumkichwa! tena mwambie stock ijae kwa wingi. supu kwa sana, mbuzi mzima kila baada ya siku mbili, usijali manke ukishindwa tunafungua bucha letu
Mi ndio huwa nawapeleka watu pande
Afu Nicas Mtei inaonekana huyu bibie @SL mayai yake yapo fetilaiz fastafasta !
Si ni umdunge nyengine?
Duuuh...... Alifunika mbayaaaaa
mh....... Haya msalimie sana
mwenye mke ndo nani? akija atamchukua sweetlady, mtoto atabaki
na ukikua utakuwa hivi kabisa
na sio yule si wako ni wa nitonye muache mwenyewe amlee au unataka mtoto nenda Bugando Hospital hebu Mentor nisaidie hapa akafanye kule hospital vile..............!
Napenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.![]()
Najua hajui siujamjua alivyo mshamba!Kama anajua?