sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
wewe kutoka shule yao kufanya mtihani watoto 300,000 yeye alikuwa wa 200,000 kati yao we huoni alivyofunika yani si mchezo
Hahahahaha lolest...... Heri mimi sijasema
wewe kutoka shule yao kufanya mtihani watoto 300,000 yeye alikuwa wa 200,000 kati yao we huoni alivyofunika yani si mchezo
wewe kutoka shule yao kufanya mtihani watoto 300,000 yeye alikuwa wa 200,000 kati yao we huoni alivyofunika yani si mchezo
Najua hajui siujamjua alivyo mshamba!
We nae toa majungu hapa........ Mie nna nini kwani?
ingekuwa majungu ni mtaji basi wewe ungekuwa tajiri zaidi ya Mengi
Dada hujambo?
Dada hujambo?
mm sijambo? umenimiss kaka yani kaka nilivyofanywa leo na shem wako Mentor we acha tu si kanidunda kama ngoma mwenzio eti kisa nimepost kitu ajapenda kule jukwaa la mahusiano basi kanisema sana na kasema lazima atanirudisha kwetu, kaka Filipo na dada gfsonwin wameniombea msamaha na sasa niko naye hapa kanyamaza mithili amewekewa morta mdomoni ana cha kusema , kaka nimeishi na wewe wala sijaona ukimdunda mkeo cheupe, namshangaa yeye kosa dogo tu utafikiri ni mkurwa na wakati hatoki pande hizo jamani we acha tu nimekoma sirudii tena mie kaka
hahaaaaa.......... tena Moromboo kabsaaaaaa
hahaaaaa.......... tena Moromboo kabsaaaaaa
Akikuzingua hamia Airtel
Akikuzingua hamia Airtel
Mh....... Ili iweje?
hahahaha. Acha mtoto anyonye. Kazi aliyokuja kufanya humu dunian sio ndogo
ahhh kumbe mlichangia mmoja kaweka mbegu wewe ukadecorate ndio maana mnafanana sababu ya wewe kuwa wa mwisho kufanya finishing, hongera mkuu waitwa baba nani thatha..............?