Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Hahahaaaaaaa.................... ban kwa afya wewe wacha umbea!............... ulisema sweetlady siyo mjamzito........ ulidhani amekula maharage............:mimba:

hiyo ni picha yake wakati ule ana mimba.....
 
Inawezekana humjui sweetlady wewe, huyo mtoto angalieni kila kiungo mtakuta kinafanana na baba ake mwingine, huyo mtoto ana baba tisa, mark my words...!

Acha majungu yako wewe... Vipimo vya kisayansi ndo vimethibitisha ndio maana nimekuwa na guts za kuandika humu..... Nina uhakika kabisa
 
Inawezekana humjui sweetlady wewe, huyo mtoto angalieni kila kiungo mtakuta kinafanana na baba ake mwingine, huyo mtoto ana baba tisa, mark my words...!

Khaaaaaaa!!!!! Huu sasa ni zaidi ya umbea dot com daaah!!!!! We Baba V hebu niache mzazi ninywe supu kwa amani......... Hao baba tisa hebu waorodheshe hapa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom